
Dogo Janja kurudishwa kijijini na TipTop, unanini cha kusema kuusina na ishu nzima..
Permalink Reply by bruno akulumuka on June 14, 2012 at 2:43pm
Permalink Reply by Natty Mussah on June 14, 2012 at 2:47pm
Permalink Reply by Dre Mathias on June 14, 2012 at 3:48pm Well ..nachoweza sema dogo ni qwere but naweza kusema amepoteza bahati ya kuaa pale
Permalink Reply by Joseph "JOSEFLY" Muhozi on June 14, 2012 at 9:15pm MADEE anatakiwa kujua kua yule ni mtoto so asi-deal na mtoto kama anadeal na mtu mzima na ndo tatizo lake lilipoanzia...Madee mwenyewe anahitaji mafunzo ya malezi ya mtoto kabala hajafanya kazi na mtoto..DOGO janja bado ni mtoto kama walivyowatoto wengine, anahitaji malezi na sio kipigo, vitisho na lawama ama kumuanika kwa media kua ni mbaya...MADEE NEEDS TO BE TRAINED ON HOW TAKE CARE OF A CHILD..NOT ONLY BUSINESS AND PROFIT ORIENTATION...
Permalink Reply by win paul on June 15, 2012 at 2:59am Dah 2 me ime ni gusa bhana yule bado ni mtoto
kama vp madee a tink twic jaman....'kwa alicho fanya
2 dogo....dats ol
Permalink Reply by Natty Mussah on June 15, 2012 at 8:21am Inasikitisha sana, tulijua kuwa hatofika kokote maana alishapata umaarufu na pia alishaanza kushika hela, hilo ndilo tatizo la wabongo wengi sifa na mafanikio kidg huwa tunajisahau. Ila kama tip top walidhamilia kubadili maisha yake inapaswa wamsamehe na naamini kutenda kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa wampe nafasi ya pili ili amelize japo shule. Ni hayoo tuuuuuuuuuuu!
Permalink Reply by Bennynho Hillary on June 15, 2012 at 3:57pm Madee kima tu!...alivyomfanyia dogo sio fresh!
Permalink Reply by Kaka Kipe on June 16, 2012 at 10:37pm
Permalink Reply by ABEL FELIX on June 17, 2012 at 3:56pm
Permalink Reply by Mustafa Ngahyoma on June 17, 2012 at 9:52pm its not fair kwakwel hata km kakosea sio kumtimua kivile
Permalink Reply by Emmanuel Gotaldo on June 20, 2012 at 4:25pm wlcm janja
Na Chande Abdallah
MSANII wa maigizo, Salma Jabu ‘Nisha,’ amedaiwa kuwatosa watoto yatima waliokuwa wakimsubiri baada ya kuweka ahadi kuwa angekwenda kuwatembelea na kuwapa msaada.…
Added by jenry jeny on May 20, 2013
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.