
Nikisema sisi tulio wengi tunawaza nini?naongea na vijana wenzangu hivi tuanjua nini kimetufanya tuwe hivi tulivyo?nini hatima yetu?tatizo liko wapi?mi naona tumejaichia sana tunataka mafanikio ya papo kwa papo mwisho wa siku kazi kidogo halafu tukiona kimy tunakubali matokeo then tunaunga tela kwenye kulauumu eti oooh!!!!fulani kafanya ivi mara serikali etc ,lakin tujadili nini tunachoweza kukufinya sisi kama sisi kwa mustakabali wa maisha yetu,KARIBU WENZANGU TUJADILI
Tags: TEENTZ
Permalink Reply by u845tugeety7 on Tuesday
Permalink Reply by u845tugeety7 on Wednesday
Permalink Reply by u845tugeety7 on Wednesday Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.