TEEN TZ

UJINGA NIIIIII.....!!! Malizia hapooo..

Tags: NI.....!!!, UJINGA

Views: 2052

Reply to This

Replies to This Discussion

ujinga ni kuweka sukar chini ya mto ili upate sweet dreams!!!!!!!!!

Kufuta namba ya simu ya demuwako kwa hasira wakati umeshaikariri kichwani.

ujinga ni kuvuta sigara alafu unakimbia vumbi

ni kujua unachat na dem kumbe pungaaaa

Ujinga ni kukaa kijiwen kutwa nzima af unalalamika maisha magum.
Ujinga ni kukaa kijiwen kutwa nzima af unalalamika maisha magum.
Ujinga ni kukaa kijiwen kutwa nzima af unalalamika maisha magum.
Ujinga ni kukaa kijiwen kutwa nzima af unalalamika maisha magum.

UJINGA NIKUJIFANYA WAJUA WAKATI HUJUI KITU NI UJINGA.

Reply to Discussion

RSS

G5 CLICK - LATEST NEWS

NISHA ADAIWA KUWATOSA WATOTO YATIMA

Na Chande Abdallah
MSANII wa maigizo, Salma Jabu ‘Nisha,’ amedaiwa kuwatosa watoto yatima waliokuwa wakimsubiri baada ya kuweka ahadi kuwa angekwenda kuwatembelea na kuwapa msaada.…

Advertisement

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service