TEEN TZ

Information

Power Break Fast

The Power Breakfast show on CLOUDS FM every day from 6 AM to 9 PM.

Website: http://www.teentz.com
Location: Mikocheni Dar es Salaam
Members: 223
Latest Activity: Apr 17

Discussion Forum

sanaa tz imezidi

Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by The 2nd Navigator Nov 8, 2012. 3 Replies

hellow babra, gerald, pj na bonge, jamani tanzania sanaa imezidi kila mahali ni filme za kutosha hata kwenye mambo serious watanzania tunaweka filme, tatizo halijulikani ninini but matokeo juzi…

mishkaki paka iko juu

Started by apio alfred lwoga. Last reply by erick matoi Apr 30, 2012. 1 Reply

pita pande za bugurun mida ya ucku uone watu wanavyo twanga

Comment Wall

Comment

You need to be a member of Power Break Fast to add comments!

Comment by The 2nd Navigator on November 8, 2012 at 8:51am

kwa kipindi hiki nimeweka kambi kilimanjaro wazee,cha ajabu kuhusu huku ni kwamba kila ikikaribia muda wa taarifa ya habari au mpira kwenye  t.v basi umeme lazima utakatika  na kipindi kikiisha basi umeme unarudi,mfn; jana wkt mechi za ligi ya mabingwa zinaanza tu wameuacha umeme mpk wkt wachezaji wanaingia uwanjani wao wakakata umeme hapo hapo,yani utadhan nao walikuwa wanaangalia,tena hali imezidi baada ya ile game ya man na chelsea kuchezwa n watu kulalamika sana,basi kutokt hapo mambo hayaendi kbs yan wadau!!!!!!!1

Comment by wedasia k molla on November 5, 2012 at 9:37am

leo nin mpya coz umeme ?sijawapata hata nipeni mpya

Comment by Daud Njile on September 5, 2012 at 11:48pm

SO kama kawa power brck so naipenda  xaxana so ilove ze people stashen

Comment by calvinngallo on August 8, 2012 at 1:38am

hello inakuaje bana naona aina majotroo

Comment by Gift Gyft R on July 20, 2012 at 2:26am

Kama wewe ni mzalendo utakuwa unapenda vya nyumbani lakin iweje unatumia vya njee then unajiita mzalendoo enbu ona jee na nyumbani tunaweza kutengeneza vyetu http://uwezo.ourtoolbar.com/welcome/ baada ya kuicheki embu toa maoni yako kwa kuniinbox wap pabadilishwe na ninni kifanyike mjulishe na mwenziko

Comment by Shukrani Sauli Mtukuli on June 21, 2012 at 2:08pm

babra natamani hata siku moja nikuone dada

Comment by sam juma on May 18, 2012 at 4:35pm

habari wa tanzania mpo poah

Comment by Sean cloud on April 17, 2012 at 3:34pm

helloooooooooooo......

Comment by DANIEL JUMA RICHARD BOBAN on April 14, 2012 at 9:15am

da mbona kahama mabarabara mabovu hakun hata elnye huwen bonge emunjo njione migod kibao hakuna lolote la maana ngoj awa2achie mashimo then tutazinduka kama malaria it the dream boy boban haraaaaaaaaa 

Comment by charlesmuna on April 6, 2012 at 3:56am
ebhannan dzain kipindi cha kijanja zaidi kinakimbiza mbaya yani bararararar tena raaaaa yani mwanjemwanje
 

Members (222)

 
 
 


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

3. roby with yung bro

Added by Robbyweezy John on May 22, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service