
Leo Tena, every day from 9 am to 1 pm on CLOUDS FM
Website: http://www.teentz.com
Location: Mikocheni Dar es salaam
Members: 277
Latest Activity: Apr 17
Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by ibrahim mhina Sep 22, 2012. 4 Replies 5 Likes
listen hemed, unaweza kuwa muigizaji mzuri, muimbaji mzuri but character yako inaanza kutukera sio siri, juzi nimesikiliza leo movie kwenye leo tena ulipomuongelea single mtambalike, let me tell you…
Started by KENEDY ANTHONY. Last reply by ally May 4, 2012. 1 Reply 0 Likes
Mbona Wasanii wetu Wanafanya Mziki Kama Biashara Ya Karanga?Halafu Hawa Watu Wanao Edit Picha Mbona Wana Mdhalilisha Kiongozi Wetu?…
Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by ally May 4, 2012. 1 Reply 1 Like
jamani kwanini watu wasibuni matukio yao mpaka waige jamani, best man copy and paste ya movie ya nje best man, dangerous desire copy and paste movie ya kinigeria, regina copy and paste movie ya…
Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by Gift Gyft R Jun 26, 2011. 1 Reply 4 Likes
guys jamani kama hamjaangalia bongo movies angalieni cause its too much jamani na haya mavazi ya waigizaji wa k***, inakuwa kama waigizaji wanajinadi wao sio kuact movie, jamani nani aliyesema kuvaa…
Comment
Comment by Allymaloko on December 26, 2012 at 10:45am
Comment by beyatrise niyonziza on November 30, 2012 at 5:48am Rest In Peace Sharo Millionea
Comment by glory shirima on November 27, 2012 at 12:29am RIP sharo millionea
Comment by Tracey Abdul on November 13, 2012 at 11:59pm
Comment by enock haule on October 18, 2012 at 5:21pm hapa ni kama vile nipo tz sio siri ila nipo south africa na enjoy kila kona ya kipindi hiki
Comment by BAB LEE on September 17, 2012 at 4:31pm hapa ndo kuna burudani safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Comment by Shija Kabale on September 13, 2012 at 3:29pm
Comment by Daud Njile on September 5, 2012 at 8:09pm sio inshumzazi
Comment by Denis kajo on July 25, 2012 at 11:55pm
Comment by amsi pauline charles nyambuche on July 9, 2012 at 7:15am dada dina kuhusu issue ya wema sepetu nakupongeza sana bidada cause watu waliocoment kwa blog ya dina hamkuwaza kwakweli cause guys tanzania ni nchi huru na kila mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni yake, ni kweli dada wema ulituambia utazindua movie, kampuni na website but tukaona tuu uzinduzi wa movie, guys kuweni makini sana na promo mnazopiga jamani mnatulet down wadau, pili jamani wadada wa bongo movies mnatia aibu kwakweli ni vituko gani mlivyovaa kwenye event ya wema with the exception ya irene wadada wengine wote mliwaka kwakweli, mainda ulikuwa unaenda boxing au uzinduzi manake unaonekana kama boxer tena aliyepoteza mwelekeo, nimependa sana vanity butterfly na missie popular walivyocomment kwenye blog zao, jamani lady gaga muachieni swag zake anaziweza yeye mwenyewe ukitaka kucopy utaharibu jamani, mbona botique bongo nyingi na nzuri tuu, mbona madesigner wazuri wamo wanaoweza kutuvisha tukapendeza, kwanini mumtie aibu mwenzenu, irene uwoya ndo cjui ulikuwa unaenda kuact movie ya dracula manake hatukukuelewa kwakweli kama ulitaka kuonekana unique uliharibu kwakweli, lakini unajua nishagundua kuwa wasanii wa k*** wa kibongo hamna exposure at all, wema u looked beautful kwakweli pongezi nyingi ila wenzio walikuaibisha kwakweli, nahic omotola aliona aibu kwa niaba yenu manake kesho yake kule girrafe hotel mainda ndo ukaharibu zaidi ulionekana kama comando yosso, jamani angalieni party za nje agalieni wanavaaje kwenye event zao den nenda kwa madisigner oder kiwalo chako utengenezewe, unajua jinc ambavyo hamko serious na uvaaji wenu hata kazi zenu nazo zinakuwa hovyo vilevile big up ray ulipendeza sana, classy na steve nyerere i liked ulivyotoka inaonesha seriousness na unachokifanya, yaani nawaapia bongo movies msipobadilika mtaona mnaishia hapa hapa bongo hamtaenda kokote cz kila kitu mnachemka, good mmegundua kushoot videoz zenu vizuri what abt script, continutity, costume, uigizaji na mengine mengi bado mpo nyuma changamkeni, huo mtizamo wangu tuu
Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of Leo Tena to add comments!