TEEN TZ

sajuki

Da!!! masikini sajuki.

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by Ashlove Faki on October 31, 2012 at 11:49am

habar zenu wazawa

Comment by dastan khalifa khalifa on June 29, 2012 at 5:08pm

hope u are going to fine as soon as possible bro,in Jesus name say ameeen bro!

Comment by lukasmungwe on May 26, 2012 at 3:44pm

Mungu amxaidie  SAJUKI.........   Letc be live in g0d... Atapona

Comment by Said Ilunde on May 26, 2012 at 1:36pm
Hollaaa he will be well soön
Comment by thebase bigcrock on May 25, 2012 at 4:40pm

MUNGU MSAIDIE SAJUKI KWANI NDIO TUNA MSIBA WA STEVE KANUMBA MUNGU MSAIDIE AMEN

Comment by magreth mtui on May 25, 2012 at 12:17pm
inatia uchungu sn.tunamuombea mungu arudi katika hali yke.
Comment by jonathan johnson kongola on May 23, 2012 at 3:07pm

tupo pamoja nakuombea kwa mung utapona pia dua za watanzania na wanachuo wenzangu tunakuombea

 

Comment by elifasi fernandis ngowo on May 23, 2012 at 11:17am

AMINI USI AMMINI SAFARI YETU YA MAISHA HUWA TUNAKUTANA NA VIKWAZO VINGI MATATIZO MARADHI NA UGUMU WA MAISHA NA KILA MTUU HUAMINI MARADHI NI ADUI WA KILA MTU LAKINI MUNGU PEKEE HUPONYA PAMOJA NA SALA ZETU NAAMINI HAMNA LINALO SHINDIKANA MBELE ZA MUNGU NDUGU YANGU SAJUKI NAOMBA MUNGU AKUSAIDIE UWEZE KUUTUA MZIGO WA MARADHI YA DUNIA NA AKUTANGULIE KATIKA MATIBABU ATIE NGUVU ZAKE NA UWEZO WAKE ZAIDI KWA MADOCTAR WANAO KUTIBU WAWEZE KUIRUDISHA AFYA YAKO KAMA ZAMANI KAKA JIPE MOYO KWANI HAMNA LINALO SHINDIKANA KWA MUNGU NAMI PIA NAKUOMBEA UPONE .

Comment by emmanul on May 22, 2012 at 9:27pm

NAKUOMBEA KWA MUNGU UPONE DAH

Comment by Wilson mussa on May 21, 2012 at 4:02pm

KAKA MUNG AKUSAIDIE URUDI KATIKA HALI YAKO YAKO YA KAWAIDA

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service