TEEN TZ

Gifts Received

Gift

KILI MUSIC AWARDS has not received any gifts yet

Give a Gift

 

KILI MUSIC AWARDS 2012

Latest Activity

Christophher Martin left a comment for KILI MUSIC AWARDS
"MSNII DAIMOD HKUPEWA TUNZO ZOTE HIZO"
May 5, 2012
Christophher Martin left a comment for KILI MUSIC AWARDS
"KIUKWELI SIBARIKI HATAKIWA NYIMBO ZAINJILI KUPEWA TUZO HIYP KWANI TUZOHIYO IMEDHAMINIWA NAPOMBE"
May 5, 2012
mshefa left a comment for KILI MUSIC AWARDS
"KWANI KILL WASIAZISHE NA ZAWADI ZA DIRECTOR BORA ITAKUWA INAPENDEZA SANA HAYO NDIO MAONI YANGU KUHUSIANA NA KILL MUSIC AWARDS 2012"
May 3, 2012
MARGARETH MONJESA replied to KILI MUSIC AWARDS's discussion TOA MAONI KUHUSIANA NA KILI MUSIC AWARDS 2012
"categories zko vibaya huwez changanya bongo flavor na taarab pamoja"
Apr 18, 2012

KILI MUSIC AWARDS's Discussions

TOA MAONI KUHUSIANA NA KILI MUSIC AWARDS 2012

Started this discussion. Last reply by MARGARETH MONJESA Apr 18, 2012. 30 Replies

Wadau toeni maoni yenu kuhusiana na Kili music awards ya mwaka huu......

Tags: AWARDS, MUSIC, KILI

KILI MUSIC AWARDS's Blog

SEMINAR LA WATEULE WA KILI MUSIC AWARDS 2012 YAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Posted on February 17, 2012 at 10:57am 1 Comment

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumwa wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 inayofanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower,jijini Dar es Salaam.…

KILI MUSIC AWARD 2012

Posted on February 13, 2012 at 12:52pm 2 Comments

Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards ambaye pia ni mwakilishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Angelo Luhala (katikati) akionyesha karatasi yenye majina ya washiriki wanaowania tuzo hizo leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe na Kulia ni Afisa kutoka Kampuni ya Innovex ambao ndio wanaoandaa majina hayo ya…

KILI MUSIC AWARDS's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

KILI MUSIC AWARDS's Videos

  • Add Videos
  • View All

Comment Wall (20 comments)

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

At 4:34pm on May 5, 2012, Christophher Martin said…

MSNII DAIMOD HKUPEWA TUNZO ZOTE HIZO

At 4:33pm on May 5, 2012, Christophher Martin said…

KIUKWELI SIBARIKI HATAKIWA NYIMBO ZAINJILI KUPEWA TUZO HIYP KWANI TUZOHIYO IMEDHAMINIWA NAPOMBE

At 5:24pm on May 3, 2012, mshefa said…

KWANI KILL WASIAZISHE NA ZAWADI ZA DIRECTOR BORA ITAKUWA INAPENDEZA SANA HAYO NDIO MAONI YANGU KUHUSIANA NA KILL MUSIC AWARDS 2012

At 1:14pm on March 30, 2012, thebase bigcrock said…

MWANA PANDE ZA PRODUZA BORA NI MACO CHIZI  MWANA PAMOKO SANA PANDE ZA TARIME NDOO NAACHIA DOLE LANGU

At 5:30pm on March 24, 2012, emirux madaha said…
mchakato huo ni mgumu sana sijui nani atakae shinda
At 10:40am on March 24, 2012, Godfrey said…

Tuzo zipo pwaaa sema siku nyingine zifanyike mikoa tofauti na Dar.

At 2:53am on March 20, 2012, Gibson Two-Gun said…
Im being honest guyz.. i aint got no bit of faith in these waandaaji wa Kili. They always blunder. Kwao c ajabu mtu kama Dully 4instace, kuwa kwenye category ya nyimbo za asili. Nashindwa kabisa kuelewa nominations zao huwa zinabase kwenye vigezo gani. Well, tuombe Mungu tu... labda this year mambo ytakuwa somewhat intriguing, kinda seductive perhaps. Who Knows... things might turn out better than we could eva imagine. Let's jst kip our hopes up!
At 4:22pm on March 16, 2012, Gwamaka Mwakyami said…

 Kimsingi tuzo zenu ziko poa. lakini mpak uwe nominize ni kigezo gani kinacho zingatiwa au ni bahati ya mtu tu.

At 2:18pm on March 15, 2012, William Kahabi said…

itakua poa nkiona hawa wakiibuka na tuzo 1st fid Q,Darasa,Dayna &jay moo wameefanya kazi poa kwenye game

At 4:02pm on March 14, 2012, SEKIETE SADDY MNDEME said…

toeni haki kwa washiriki

 
 
 


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service