TEEN TZ

All Blog Posts (2,283)

VIDEO:BBC LONDON YAFANYA MAHOJIANO NA A.Y

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 4:39pm — No Comments

SIRI ZAIDI KIFO CHA MWANAMUZIKI LANGA!

Na Mwandishi Wetu

MWILI wa mwanamuziki Langa Kileo jana (Jumatatu) ulipumzishwa kwenye nyumba ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar lakini nyuma ya kifo chake kuna siri ambayo rafiki yake wa karibu (jina linahifadhiwa) mkazi wa Mikocheni A jijini Dar ameamua kuiweka hadharani.…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:55pm — No Comments

KAKA AUA DADA YAKE

Na Haruni Sanchawa

NI tukio la kuhuzunisha ambalo unaweza ukadhani ni hadithi ya kutunga lakini ukweli ni kwamba kijana mmoja anadaiwa kumuua dada yake baada ya kumpiga kama kibaka anavyopigwa mitaani.…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:54pm — 1 Comment

TAMKO LA CHADEMA UK KUHUSU MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO JIJINI ARUSHA

CHADEMA UK awali ya yote tunapenda kutoa pole kwa waTanzania na wapenzi wa CHADEMA waliopatwa na kukutwa na janga la kurushwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa kuhitimisha shughuli za kampeni za uchaguzi wa madiwani huko Arusha. Tunatuma salam zetu kuwafariji wale wote walioguswa kwa…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:52pm — No Comments

ESTER BULAYA AJIANDAA KUMKABILI AUNT EZEKIEL

Mbunge wa Viti Maalum CCM kutoka Mkoa wa Mara, Ester Bulaya, akijiandaa kwa ajili ya pambano lake la ndondi na Aunty Ezekiel. Kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Idd Azan ambaye yeye atazipiga…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:51pm — No Comments

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2013 KUWEKA HISTORIA

 Tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini litafanyika Julai 7 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Tamasha hili si la kukosa!

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:50pm — No Comments

HAYA SASA MBONA... MAJANGA!

Na Waandishi Wetu

HUKU mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Langa Mangisen Kileo akitarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni, Dar, Ijumaa Wikienda limebaini kuwa…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:49pm — No Comments

IDD AZAN, HALIMA MDEE WAJIANDAA KUWAKABILI WOLPER NA JB

Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:47pm — No Comments

TASWIRA ZA MAZISHI YA MWANAMUZIKI LANGA KILEO



Find more photos like this on Global Publishers

TASWIRA ZA MAZISHI YA MWANAMUZIKI LANGA…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:45pm — No Comments

KUSEMA KWELI BAJETI HII HAINA NAFUU KWA MWANANCHI WA KAWAIDA

TUMSHUKURU Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku hii. Hakika Mungu ni mwema na anatupenda sana ndiyo maana tupo hapa leo.

Ndugu zangu, leo nitaizungumzia Bajeti ya Serikali ya Tanzania ambayo iliwasilishwa Bungeni wiki iliyopita ikieleza …

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:42pm — 1 Comment

TAHARUKI BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KATIKA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA

TAHARUKI BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KATIKA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:40pm — No Comments

WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO FT SHEBBY-LOVE SIPATI

Added by Teen Newz on June 17, 2013 at 1:24pm — No Comments

VIDEO:FA AKIPERFOM YALAITI KWENYE THE FINEST

Added by Teen Newz on June 15, 2013 at 6:40am — 5 Comments

VIDEO:FA AKIPERFOM UNANITEGA KWENYE THE FINEST

Added by Teen Newz on June 15, 2013 at 6:37am — 3 Comments

BREAKING NEWS: MSANII WA HIP HOP LANGA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS: MSANII WA HIP HOP LANGA AFARIKI…

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 6:33pm — 19 Comments

KURUDIANA KATI YA AMINI NA LIHAH,AMIN ALIONGOPA AMA WAMEPIGANA CHINI TENA.?

Week chache zilizopita mtu mzima Amin aliongea exclusive  teentz na kusema kuwa yeye na dada etu Linah wameludiana kimapenzi,ingawa side B kwa upande wa Linah hakusema chochote kuhusu ishu hiyo

kupitia instagram Fineassgirl aka Masogange amepost picha ya Linah na Mshikaji anayemwita kaka .picha na maelezo vikionyesha hawa wawili tayari wana mchezo wa i love you,i love you too

 …

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 4:00pm — 6 Comments

NEW MUSIC VIDEO:VANESSA MDEE-CLOSER

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 12:44pm — 2 Comments

Teenspot magazine has forthwith changed its name to Onspot Magazine.

As a measure geared towards improving the magazine,

Teenspot magazine has forthwith changed its name to Onspot Magazine.…

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 7:58am — 4 Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service