TEEN TZ

March 2011 Blog Posts (82)

kauri ya rais

KAULI YA RAIS KATIKA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO YAWAUMIZA WATOTO WA MITAANI

alitamka kwamba anakerwa na ongezeko la watoto walioko mitaani wakiomba omba hivyo kupelekea wizara husika kufanya maamuzi ya watoto kukamatwa kila siku ambapo kwa sasa hakuna mtu anae waangalia huko kitaani ili kuwapa msaada na kushughulikia mambo yao

Added by aloyce angelo fungafunga on March 31, 2011 at 11:54am — No Comments

New Music: Jennifer Lopez f/ Lil Wayne – ‘I’m Into You’



Jennifer Lopez hatimae amewezakutimiza ndoto yake ya kufanya nyimbo na the best rapper alive na ngoma tayari imeshatoka inaitwa I'm Into You" ni ngoma ambayo itapatikana kwenye Album ya saba ya mwanadada huyo amabyo itaitwa…

Added by Teen Newz on March 30, 2011 at 4:00pm — 1 Comment

Lil Wayne hajawahi kusikiliza Album ya Drake wala Nicky Minaj

Lil wayne afunguka kua hajawahi kusikiliza Album ya Drake wala Nicky Minaj….baada yakua anafanya Interview na radio maarufu inayojulikana kama Hot 97….kiongozi wa kundi la young money alifunguka kua hajawahi kusikia Album hizo za members kutoka kwenye kundi lake ila chakushangaza eti ameweza kusikiliza Album mpya ya Kanye west na Album mpya ya Ricky Ross….haikuishia hapo mtu mzima weezy alifunguka kua hanaga muda wakuangalia kipindi cha Tiny & Toya…

Added by Teen Newz on March 30, 2011 at 3:30pm — 15 Comments

Je Ni kweli kwamba Joh Makini amecopy ngoma yake Kilimanjaro kutoka kwenye ngoma hii

Leo katika XXL ndani ya Diss.com kuna mtu aliamua kutuma Diss yake kwa Joh Makini na Diss yenyewe ilikua hivi...........Mambo vipi B DOZEN,Jonii,Fe Eh na DJ SKILLZ ? Mimi ni Andrew Sospeter aka SOSSY FORREAL wa HELSINKI Finland hapa. DOZEN imefikia wakati sasa tuwe Real na kutolea magonjwa.NamDiss JOH MAKINI maana Amevuka mipaka sasa..Jamaa anaCopy sana Nyimbo za watu kiasi kwamba anaweza akafunguliwa kesi na kulipishwa FINE..Hii dunia ni ndogo sana…

Added by Teen Newz on March 30, 2011 at 3:00pm — 23 Comments

Nguzo ya Hip Hop kundi la X-Plastaz iliodondoshwa na Kisu

Jumatatu ya 27 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya kuchomwa na Kisu mara tisa na Jirani yake akijulikana na kama Moses Yohana Kilevo, Baadhi ya watu…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 5:00pm — 13 Comments

Ricky Ross chini ya ulinzi kwa kukamatwa na ganja Hotelini

Je una habari kama mtu mzima Ricky ross aliwekwa chini ya ulinzi wa police juzi kati alipokua anaendelea na tour yake inayojulikana kama “I am Music II”….hii nibaada ya kubainika kua rapper Ricky ross na washkaji zake walikua wanapuliza kitu cha kush kwenye hotel ambayo wamefikia na baada ya police kufatilia vizuri…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:30pm — 4 Comments

Video: Diddy-Dirty Money f/ Trey Songz & Rick Ross – ‘Your Love (Remix)’

Mfanya biashara na pia mwanamuziki wa hip hop mwenye mkwanja mrefu kuliko wote kwa sasa namzungumzia diddy…yeye na kundi lake ya Dirty Money anvyoonekana kama huu ni mwaka wao wa kushine kama kawa na safari hii wameachiana video yenye bonge la collabo yani humo ndani ametupia kajana ambae ni kipenzi cha mabinti na mzee mwenyewe wa B.M.F mtu mzima Ricky Ross….ni bonge la video unaweza ukacheki watu walivyotupia zile nyeusi pale…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:00pm — No Comments

Lil Wayne anataka kuingiza Billion 75 mwaka huu

Baada ya kushika namba 74 katika forbes list ya 2010 The best rapper alive kutoka Young oney Cash money muite Lil wayne a.k.a weezy amefunguka kua ana plan za kufanya Young Money kua Big money…..hii ni baada ya kueka wazi kua anataka kua mwaka huu anataka kuingiza dollar million 50 ambazo ni sawa sawa na Billion 75 za…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:00pm — 5 Comments

New Music: Swizz Beatz f/ Eve – ‘Everyday (Coolin’)’

Mume wa Alicia Keys au unaweza ukamuita mzee wa “It’s Show Time” producer pia ni rapper mwenye heshima yake kwenye mziki wa hip hop anajulikana kama Swizz Beats leo hii amechia ngoma yake mpya ambayo humo ndani amemshirikisha mwadada EVE….we mwenyewe unajua vichwa hivyo vikikutana nini…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:00pm — 1 Comment

Dina Mario LAZIMA UOMBE MSAMAHA

dinna mario unatakiwa uombe samahani kwa watoto wote waishio katika mazingira magumu,hii ni kutokana na kitendo ulichokifanya usiku wa kili music awards2011.

ulipo itwa kumtangaza mshindi na kutumia vibaya nafasi hiyo kwa kuwahaibisha na kuwasononesha watoto hawa pale ulipo tumia lugha chafu na isiyo na mafundisho kwa jamii ukiwa kama mdau wewe ni moja ya watu onaotakiwa kupigania hawa watoto remember there is today and tomorrow just imagine umepoteza maisha unafikiri watoto wako sisi tuta…

Added by aloyce angelo fungafunga on March 28, 2011 at 1:25pm — 3 Comments

ARACHUGA IN THA BUILDINGAAAAAAAAAA

BIG UP TO MA MAN JCBWAX, JOH MAKINI, MORE TECHNIQUES..... BIG UP TO YO SELF.... SASA NAAMIN PESA YANGU YA KUPIGA KURA IMEENDA SALAMA NA FAIDA ZA KUTOSHA.... HIP HOP

Added by Fabian Christopher Mwakabanje on March 27, 2011 at 6:28pm — No Comments

lllllllllll

lllllllllll

Added by mama faa on March 24, 2011 at 10:48pm — No Comments

Hali ya Young Back inazidi kuwa mbaya...

Hali ya Young Back ni mbaya…, Ila kundi lake la zamani, yani G-unit linazidi kufanya hali yake iwe mbaya zaidi.., Siku chache zilizopita uongozi wa label ya G-unit umemfungulia Young Back kesi ya madai mahakami , Label ya G-Unit imetangaza kuwa inamdai Young Back billion 15 za kibongo kwasababu…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 4:00pm — 9 Comments

Master P na Gucci mane wanakuja na movie inaitwa "GET MONEY"

Master P is Back again….!! ila sasa hivi karudi kitofauti.., Ni kupitia movie yake mpya ambayo yupo na mtu mzima Gucci mane..! Hiyo movie inaitwa “Get Money” …, Humo ndani Master P anaitwa “Monster” na Gucci mane anaitwa “Big G”…Kwenye movie jamaa wanahustler mwanzo mwisho., mwisho…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:40pm — 8 Comments

Trailer la Movie Mpya ya 50 Cent na Bruce Willis inayoitwa‘Setup’

Pamoja na kuwa movie ya 50cent inayoitwa “Things fall apart” aijaanza kuuzwa, jamaa kaachia trailer la movie yake mpya inayoitwa SET UP akiwa na Bruce Willis Yule jamaa aliyeigiza kwenye movie ya Die Hard…, cheki trailer la hii movie mpya ya 50cent ambayo itaingia mtaani baada ya “Things Fall Apart”… Humo ndani 50cent analipiza visasi tuu.., inajiingiza hadi jela kwa ajili ya kuwamaliza wabaya…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:30pm — 6 Comments

Tunapeta - Young Dee -ft Mataluma, Kitokololo & ChekeDaa

Finally kama tulivyo waahidi kua teentz.com itakua ya kwanza kukuonesha Exclusive video ya dogo ambae kiukweli alikua kimya kidogo kwenye game ila ki design kama alikua anajipanga sanaaaa ili arudi na ujio aliokuja nao sasa hivi…..hapa namzungumzia Young Dee a.k.a Young Dsm leo amedrop video yake mpya inayoitwa “Tunapeta” ngoma iliofanyika Authentic Studios na video imepigwa na Visual…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:00pm — 4 Comments

New Music: Lil Wayne f/ Rick Ross – ‘If I Die Today’

Lil Wayne amewashangaza mashabiki wake siku ya leo kwa kuachia kitu chake kipyaaa kinachoitwa “If I die today” cha kushangaza ni ngoma ambayo ni kama ameirudia ile ngoma ya ricky ross mpya inayotwa “I’m not a star” ila yenyewe ipo kimtindo wa tofauti na chakushangaza zaidi amemshirikisha huyo huyo…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:00pm — 11 Comments

New Music: Lil Wayne f/ Rick Ross – ‘If I Die Today’

Lil Wayne amewashangaza mashabiki wake siku ya leo kwa kuachia kitu chake kipyaaa kinachoitwa “If I die today” cha kushangaza ni ngoma ambayo ni kama ameirudia ile ngoma ya ricky ross mpya inayotwa “I’m not a star” ila yenyewe ipo kimtindo wa tofauti na chakushangaza zaidi amemshirikisha huyo huyo…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:00pm — 1 Comment

Cover la Album mpya ya Chris Brown - F.A.M.E

Added by Teen Newz on March 23, 2011 at 3:30pm — 1 Comment

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service