TEEN TZ

Featured Blog Posts – March 2011 Archive (65)

Lil Wayne hajawahi kusikiliza Album ya Drake wala Nicky Minaj

Lil wayne afunguka kua hajawahi kusikiliza Album ya Drake wala Nicky Minaj….baada yakua anafanya Interview na radio maarufu inayojulikana kama Hot 97….kiongozi wa kundi la young money alifunguka kua hajawahi kusikia Album hizo za members kutoka kwenye kundi lake ila chakushangaza eti ameweza kusikiliza Album mpya ya Kanye west na Album mpya ya Ricky Ross….haikuishia hapo mtu mzima weezy alifunguka kua hanaga muda wakuangalia kipindi cha Tiny & Toya…

Added by Teen Newz on March 30, 2011 at 3:30pm — 15 Comments

Je Ni kweli kwamba Joh Makini amecopy ngoma yake Kilimanjaro kutoka kwenye ngoma hii

Leo katika XXL ndani ya Diss.com kuna mtu aliamua kutuma Diss yake kwa Joh Makini na Diss yenyewe ilikua hivi...........Mambo vipi B DOZEN,Jonii,Fe Eh na DJ SKILLZ ? Mimi ni Andrew Sospeter aka SOSSY FORREAL wa HELSINKI Finland hapa. DOZEN imefikia wakati sasa tuwe Real na kutolea magonjwa.NamDiss JOH MAKINI maana Amevuka mipaka sasa..Jamaa anaCopy sana Nyimbo za watu kiasi kwamba anaweza akafunguliwa kesi na kulipishwa FINE..Hii dunia ni ndogo sana…

Added by Teen Newz on March 30, 2011 at 3:00pm — 23 Comments

Nguzo ya Hip Hop kundi la X-Plastaz iliodondoshwa na Kisu

Jumatatu ya 27 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya kuchomwa na Kisu mara tisa na Jirani yake akijulikana na kama Moses Yohana Kilevo, Baadhi ya watu…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 5:00pm — 13 Comments

Ricky Ross chini ya ulinzi kwa kukamatwa na ganja Hotelini

Je una habari kama mtu mzima Ricky ross aliwekwa chini ya ulinzi wa police juzi kati alipokua anaendelea na tour yake inayojulikana kama “I am Music II”….hii nibaada ya kubainika kua rapper Ricky ross na washkaji zake walikua wanapuliza kitu cha kush kwenye hotel ambayo wamefikia na baada ya police kufatilia vizuri…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:30pm — 4 Comments

Video: Diddy-Dirty Money f/ Trey Songz & Rick Ross – ‘Your Love (Remix)’

Mfanya biashara na pia mwanamuziki wa hip hop mwenye mkwanja mrefu kuliko wote kwa sasa namzungumzia diddy…yeye na kundi lake ya Dirty Money anvyoonekana kama huu ni mwaka wao wa kushine kama kawa na safari hii wameachiana video yenye bonge la collabo yani humo ndani ametupia kajana ambae ni kipenzi cha mabinti na mzee mwenyewe wa B.M.F mtu mzima Ricky Ross….ni bonge la video unaweza ukacheki watu walivyotupia zile nyeusi pale…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:00pm — No Comments

Lil Wayne anataka kuingiza Billion 75 mwaka huu

Baada ya kushika namba 74 katika forbes list ya 2010 The best rapper alive kutoka Young oney Cash money muite Lil wayne a.k.a weezy amefunguka kua ana plan za kufanya Young Money kua Big money…..hii ni baada ya kueka wazi kua anataka kua mwaka huu anataka kuingiza dollar million 50 ambazo ni sawa sawa na Billion 75 za…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:00pm — 5 Comments

New Music: Swizz Beatz f/ Eve – ‘Everyday (Coolin’)’

Mume wa Alicia Keys au unaweza ukamuita mzee wa “It’s Show Time” producer pia ni rapper mwenye heshima yake kwenye mziki wa hip hop anajulikana kama Swizz Beats leo hii amechia ngoma yake mpya ambayo humo ndani amemshirikisha mwadada EVE….we mwenyewe unajua vichwa hivyo vikikutana nini…

Added by Teen Newz on March 29, 2011 at 3:00pm — 1 Comment

Hali ya Young Back inazidi kuwa mbaya...

Hali ya Young Back ni mbaya…, Ila kundi lake la zamani, yani G-unit linazidi kufanya hali yake iwe mbaya zaidi.., Siku chache zilizopita uongozi wa label ya G-unit umemfungulia Young Back kesi ya madai mahakami , Label ya G-Unit imetangaza kuwa inamdai Young Back billion 15 za kibongo kwasababu…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 4:00pm — 9 Comments

Master P na Gucci mane wanakuja na movie inaitwa "GET MONEY"

Master P is Back again….!! ila sasa hivi karudi kitofauti.., Ni kupitia movie yake mpya ambayo yupo na mtu mzima Gucci mane..! Hiyo movie inaitwa “Get Money” …, Humo ndani Master P anaitwa “Monster” na Gucci mane anaitwa “Big G”…Kwenye movie jamaa wanahustler mwanzo mwisho., mwisho…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:40pm — 8 Comments

Trailer la Movie Mpya ya 50 Cent na Bruce Willis inayoitwa‘Setup’

Pamoja na kuwa movie ya 50cent inayoitwa “Things fall apart” aijaanza kuuzwa, jamaa kaachia trailer la movie yake mpya inayoitwa SET UP akiwa na Bruce Willis Yule jamaa aliyeigiza kwenye movie ya Die Hard…, cheki trailer la hii movie mpya ya 50cent ambayo itaingia mtaani baada ya “Things Fall Apart”… Humo ndani 50cent analipiza visasi tuu.., inajiingiza hadi jela kwa ajili ya kuwamaliza wabaya…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:30pm — 6 Comments

Tunapeta - Young Dee -ft Mataluma, Kitokololo & ChekeDaa

Finally kama tulivyo waahidi kua teentz.com itakua ya kwanza kukuonesha Exclusive video ya dogo ambae kiukweli alikua kimya kidogo kwenye game ila ki design kama alikua anajipanga sanaaaa ili arudi na ujio aliokuja nao sasa hivi…..hapa namzungumzia Young Dee a.k.a Young Dsm leo amedrop video yake mpya inayoitwa “Tunapeta” ngoma iliofanyika Authentic Studios na video imepigwa na Visual…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:00pm — 4 Comments

New Music: Lil Wayne f/ Rick Ross – ‘If I Die Today’

Lil Wayne amewashangaza mashabiki wake siku ya leo kwa kuachia kitu chake kipyaaa kinachoitwa “If I die today” cha kushangaza ni ngoma ambayo ni kama ameirudia ile ngoma ya ricky ross mpya inayotwa “I’m not a star” ila yenyewe ipo kimtindo wa tofauti na chakushangaza zaidi amemshirikisha huyo huyo…

Added by Teen Newz on March 24, 2011 at 3:00pm — 11 Comments

Cover la Album mpya ya Chris Brown - F.A.M.E

Added by Teen Newz on March 23, 2011 at 3:30pm — 1 Comment

Snoop Dogg akutana na mama yake Wiz Khalifa

ki design kama mtu mzima snoop dogg na Wiz Khalifa wanatamani hata wangekua ndugu wa damu kwa jinsi wanavyoendana swagger zao na kila mtu anavyomkubali mwenzake kiasi cha kwamba wiz khalifa amemtambulisha snoop dogg kwa mama yake mzazi huku mtu mzima snoop dogg akionekana akifurahia sana heshima hiyo aliopewa na rafiki yake sasa chaajabu ni kwamba hawa jamaa ni kwamba inavyoonekana kile kitu cha kush wanakipuliza sehemu yoyote yani hapa navyokwambia wiz…

Added by Teen Newz on March 23, 2011 at 3:30pm — 9 Comments

Chris Brown apiga bonge la show ndani ya 106 & Park akiwa na Busta Rymes,Bow wow na Tyga

Baada ya kupata kashfa nyingi miaka miwili yote iliopita na kila mtu kuongelea tukio la yeye kumpiga dem wake na kumuumiza vibaya sana….sasa mtu mzima Chris Brown ameamua kusafisha kabisa jina lake baada ya kuachia Album yake mpya inayoitwa F.A.M.E ambayo inasemekana kua ni Albam yake kali kuliko zote ambazo ameshawahi kuzitoa…..na kwa ku prove hilo mzaz ametimba ndani ya kipindi cha BET kinachojulikana kama 106 & Park na kupiga bonge moja la show huku…

Added by Teen Newz on March 23, 2011 at 3:00pm — 1 Comment

Clouds TV na Red capet siku ya Kilimanjaro music Awards

Antonio Nuga’s (Mtembezi) na Zamaradi Mketema kufanya Exclusive ya red capet pale Diamond Jubilee siku ya tuzo za kili jumamosi hii Kwa mujibu wa Antonio Nuga’s na zamaradi mketema hii ni kwa kuwapa madesigners nafasi ya kuonesha walichonacho kiubunifu na kwa kutazama utamaduni huu wa red capet kwa Tanzania na…

Added by Teen Newz on March 23, 2011 at 2:00pm — 16 Comments

BREAKING NEWZ: Five Star Modern Taarab wamepata ajali na tour bus, watu zaidi ya watano wamefariki

BREAKING NEWZ: Five Star Modern Taarab wamepata ajari na tour basi maeneo ya Mikumi leo usiku (3/21/2011), kwa taarifa mbazo Teentz imepata ni kuwa watu…

Added by Teen Newz on March 21, 2011 at 10:30pm — 101 Comments

Wiz Khalifa afunguka kuhusu kujichafua mwili mzima na Tattoo

Interview ya Wiz Khalifa akiwa anaelezea sababu zilizomfanya ajichafue kila kona ya mwili wake kwakujipiaga tattoo na pia afunguka kwamba alijipiga tattoo yake ya kwanza akiwa anamiaka 16 na hela ya kwenda kupiga tattoo hiyo eti alipewa na mama yake mzazi kwasababu bi mkubwa wake alipenda sana yeye akajipige tattoo na pia mtu mzima wiz khalifa amedai kua plan zake ni kujichafua uso wake mzima kwa…

Added by Teen Newz on March 21, 2011 at 3:00pm — 24 Comments

Wyclef Jean apigwa risasi ya mkono

Mwanamuziki na mwanasiasa ambae anagombania kiti cha uraisi Haiti hapa namzungumzia Wyclef Jean…Ameshatoka Hospitali baada ya Kupigwa risasi ya mkono jana huko Haiti tukio lililo mfanya mtu mzima kukimbizwa hospitalini kwa matibabu ya haraka zaidi huku mzungumzaji wake akidai kua “anaamini hizo ni njama za chama pinzani…

Added by Teen Newz on March 21, 2011 at 3:00pm — 7 Comments


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

3. Love u mama

Added by Erick Emmanuel on May 20, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service