TEEN TZ

April 2010 Blog Posts (6)

TID ampata mtoto wake waliopoteana kwa muda mrefu

TID ampata mwanae wakiume ambae waliopoteana kwa miaka mitano kutokana na maelewano baina ya yeye na mama wa mtoto juzi kati mtoto huyo alimuomba bibi yake akamuone baba yake na finally wakakutana ni furaha jamaniii

Added by nelson on April 7, 2010 at 12:21am — 2 Comments

Cyrill atoka na video mpya inayokimbiza kitaani vibaya

young rapper cyrill a.k.a mfalme wa singida ametoa video mpya ambayo inasemekana kua mzazi ametupia saana mpaka kufunika video nyingine ambazo ameshawahi kuzifanya huku akiwa ameachia ngoma nyingine kwenye radio" RUN DSM"

Added by nelson on April 6, 2010 at 9:26pm — 1 Comment

Cyrill atoka na video mpya inayokimbiza kitaani vibaya

young rapper cyrill a.k.a mfalme wa singida ametoa video mpya ambayo inasemekana kua mzazi ametupia saana mpaka kufunika video nyingine ambazo ameshawahi kuzifanya huku akiwa ameachia ngoma nyingine kwenye radio" RUN DSM"

Added by nelson on April 6, 2010 at 9:15pm — No Comments

Tour ya jay-z yafunika mwaka huu

the best rapper of all time jay-z amemaliza tour yake juzi kati na watu wamekubali kwakusema kwamba kua jay-z ni king of hip hop..jay-z ni rapper ambae alie chukua tuzo nyingi 2009 kutokana na album yake ya the blueprint3 yenge ngoma ambazo zilizoshiba na za ukweli

Added by nelson on April 6, 2010 at 9:00pm — No Comments

Bow wow arudiana na angella simons

baada ya kuachana zamani walivyokua teenagers kwasababu za angella alizo zisema kua bow wow alikua ana mambo ya kitoto kwa muda ule ndo maana hawakuweza kudumu kwenye uhusiano wao wapenzi hao wamerudiana juzi kati nakusema kwamba hafikirii kuachana tena muda huu kwasababu wanapenda na wannaimini mamweshakua wakubwa kabisa kufanya maamuzi ya mapenzi..bow wow amesema kua anapenda sana angela na kuanauuwekano mkubwa wakafunga ndoa…

Added by nelson on April 5, 2010 at 4:00pm — No Comments

Lil Wayne a.k.a weezy andika barua kwa mashabiki wake akiwa in jela

rapper lil wayne a.k.a weezy f baby ambae anatumikia kifungo cha mwaka mmoja jela ameandika barua kwa mashabiki wake na kuwajulisha kwamba anawapenda sana na kamwe hatoweza kusahau hilo. lil wayne amesema kua haogopi situation hiyo kwani anaamini kua ni moja ya challenges in life na kwake anachukulia ni kitu cha kawaida amesema hawezi kupoteza muda kujutia alichokifanya ni bora apoteze muda kupanga atachokifanya ili afanye the best amesisitiza kua…

Added by nelson on April 5, 2010 at 3:23pm — No Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service