
MCHAKATO WA SERENGETI FIESTA FREESTYLE UNAENDELEA NDANI YA CLUB VIBE JIJINI MBEYA.

Added by Teen Newz on April 30, 2011 at 3:30pm — 2 Comments
MAMBO YANAZIDI KUWA MAMBO SERENGETI FIESTA FILAMU VIPAJI LUKUKI
Ukweli nikua watu ni wengi Arusha vipaji lukuki tulitarajia kazi ya kusaka vipaji hivyo ilitarajiwa kumalizika saa nane lakini kutokana na wingi wa washiriki imebidi zoezi hilo liendelee tu mpaka mpaka litakapomalizika watu ni wengi sana wamejitokeza kushiriki huku ma judge wakiwa ni Zamaradi Mketema kutoka kipindi cha… 
Added by Teen Newz on April 30, 2011 at 3:00pm — 4 Comments
LULU, SALAMA JABIR WABAMBWA
MASTAA wawili wanaotamba katika nyanja tofauti, Salama Jabir na Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) wamebambwa ndani ya New Maisha Club, Msasani jijini Dar es Salaam wakifanya mambo ya ajabu, Gazeti la Risasi Jumatano linakudondoshea moja moja.
Added by Teen Newz on April 29, 2011 at 2:00pm — 75 Comments
Kumbe Avril ni msagaji
Imebainika kua Msanii mrembo kutoka Ogopa DJ stable ya kenya anaejulikana kama Avril ambae jina lake la ukweli ni Judith Nyambura Mwangi ni msagaji baada ya picha zake kutoka kwenye mitandao ambazo zinamuonesha mwanadada huyo akiwa anafanya mambo flani na mwanamke mwenzake...Avril ni msanii ambae ameshawahi kushirikishwa… 
Added by Teen Newz on April 27, 2011 at 2:30pm — 55 Comments
Tundaman ft Richard - Basi imba (Official Video)
Added by Teen Newz on April 20, 2011 at 3:00pm — 11 Comments
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH WEMA SEPETU KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND....

Added by Teen Newz on April 20, 2011 at 3:00pm — 24 Comments
Birdman aiponda Forbes List nakudai yeye ana zaidi ya Dollar million 100

Added by Teen Newz on April 18, 2011 at 3:00pm — 64 Comments
Unapata Mambo- Kevin Pam feat Lizzy & Stitched
Added by Teen Newz on April 15, 2011 at 3:48pm — 2 Comments
SHARO MILIONEA AZOMEWA

Added by Teen Newz on April 15, 2011 at 12:00pm — 23 Comments
STORY KITAA CHA MBELE: 50cent na Rick ross kupatana & Album ya Dre DETOX kutemwa na wasimamizi wake

Added by Teen Newz on April 14, 2011 at 4:00pm — 22 Comments
NGOMA MPYA: Young Jeezy f/ Lil Wayne – ‘Ballin” (Album sokoni isipouza nainunua mwenyewe)
Leo dani ya Teentz.com kuna mzigo mpya kutoka kwa Young Jeezy akiwa na Lil wayne unaoitwa “BALLIN”… Humo ndani Jeezy na Wayne wanaongelea wale watu ambao wakipata kidogo wanaanza kulinganisha stunts zao na za kwao…, Wametumia hii ngoma kuwaelezea jinsi wao wanavyo-stunt kwenye maisha yao ya kila siku..! Young Jezzy… 
Added by Teen Newz on April 14, 2011 at 3:30pm — 16 Comments
Msanii wa kizazi kipya Baby Madaha aliekiri kwenda Loliondo amejitupia kwenye Bongo Movie
Msanii pekee wa Bongo flava aliyewahi kukiri kuwa amepiga Kikombe cha Babu Loliondo Baby Madaha, baada ya kuikaushia kwa muda mrefu Game ya Bongo Flava na Kujikita Kwenye Industry Bongo Movie Amefanikiwa kutoa Movie inaitwa Desperado, na hivi karibuni ili kuipromote movie hiyo sokoni, tuanfahamu kabisa ukali wa… 
Added by Teen Newz on April 13, 2011 at 5:00pm — 13 Comments
Je ni kweli kua 50cent na Ciara wana Sex Tape?
Baada ya uvumi uliosemekana na kuja kua kweli kua Ray J na Kim Kardashian wana na Sex Tape na hatimae ikaja kutoka kweli na kusambaa all over the world….sasa sasahivi umezuka Uvumi mpyaaaa kua kiongozi wa kundi la G.Unit yani 50cent nae ana sex tape ambayo inamuonesha akiwa na mwanadada ambae ilishawahi kusemekana kua… 
Added by Teen Newz on April 13, 2011 at 3:30pm — 17 Comments
Lil Wayne anatoka na jimama mwenye miaka 40
Uvumi uliokua kitaa ni kua The Best Rapper Alive ambae ni kiongozi wa kundi la YMCMB “Young Money Cash Money Brothers” namzungumzia Lil Wayne eti ana demu mpya! Ila utata unakuja kwamba inavyosemekana demu mwenyewe eti amempita miaka zaidi ya 22 yani anatoka na demu mwenye miaka 40 huku yeye akiwa anamiaka 28 na uvumi… 
Added by Teen Newz on April 13, 2011 at 3:00pm — 11 Comments
Keri Hilson ajianika na vazi lake la kuzaliwa kwenye Allure Magazine
Inavyoelekea kwa huko nchi za wenzetu mtu maarufu akiwa amevaa vazi lake lakuzaliwa kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti ndo linauza nini?…navyosema vazi la kuzaliwa namaanisha mtu akiwa yupo kama alivyozaliwa yani bila nguo kabisaaaaa..……sasa hapa ni katika matoleo mawili ya magazeti maarufu duniani nazungumzia… 
Added by Teen Newz on April 13, 2011 at 2:00pm — 20 Comments
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.