TEEN TZ

May 2011 Blog Posts (71)

LIL MAESTRO .........da king teen chat

LIL MAESTRO JUST PLAY IT.........DOWN ► Play ▌▌ Pause ■Stop✪❤ ✪LOADING LIL MAESTRO SWAGGER... ██████████████████] 99%

Added by LIL MAESTRO on May 31, 2011 at 3:41pm — 1 Comment

SEAN KINGSTON APATA NAFUU....!



Hali ya Artist Sean Kingston inaendelea poa kwenye hospitali aliyolazwa Jackson Ryder Trauma Center mjini Miami,baada ya kupata ajali wakati akiendesha pikipiki za kwenye maji aka jetski na kugonga daraja linalounganisha Palm Island na MacAuthor Causeway na kwa sasa ametoka…

Added by Teen Newz on May 31, 2011 at 1:00pm — 6 Comments

AY....LIL ROMEO TAYARI...SOULJA BOY SOON...!

AMBWENE YESSAYAH AKA AY Ambwene Yessayah aka AY aka Mzee wa Commercial amekwenda next level zaidi baada ya kufanya collabo mkali kutoka marekani,Percy Romeo Miller JR. aka Lil Romeo na D'anna Stewart,ngoma iitwayo Speak with your Body.....Mbali na Lil Romeo pia kwa sasa ana mpango wa kufanya kazi na Soulja Boy,coz aliacha…

Added by Teen Newz on May 31, 2011 at 1:00pm — 27 Comments

PACHA WA P-SQUARE APORWA NA MAJAMBAZI..!



Mmoja wa pacha wanaounda kundi la P-Square,Paul Okoye alionja joto ya jiwe baada ya kuvamiwa na majambazi alipokuwa njiani kuelekea Victoria Island kucheki washikaji zake Paul alikuwa akiendesha mkoko wake mpya aina ya BMW X6 lenye plate number za "RUDE BOY"na kwa moyo wa utu…

Added by Teen Newz on May 31, 2011 at 12:30pm — 5 Comments

Aliemuokoa Sean Kingstone asema kua alitokwa na damu nyingi sana....

Added by Teen Newz on May 31, 2011 at 12:00pm — No Comments

WAZAZI HAWAJUI HARUSI YA D'BANJ NA GENE...!

Baada ya habari kusambaa kuwa Superstars toka Nigeria,Actress Genevieve Nnaji na Msanii D'banj kuwa wanafunga pingu za maisha wazazi wa pande mbili wameibuka na kukana kuwa hakuna mpango kama huo. Kwa mujibu wa jarida moja maaraufu pande hizo wazazi wa msanii D'Banj, (Mr na Mrs Oyebanjo),Producer wake Don Jazzy na Manager wake Sunday, wamesema hawajui kama kuna mipango ya harusi na inayoendelea kwa kuwa D'Banj hajamtambulisha kwa mujibu wa kabila lake la Yoruba,na familia nzima…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 3:00pm — 5 Comments

Lil wayne & Drake waki-make it rain ndani ya club

Lil wayne na member mwenzake kutoka YMCMB weekend hii iliopita wameweka historia ndani ya club moja ya mastripers kwa kubwaga zaidi ya million 400 za kibongo ndani ya club hiyo yani ki-design kama hawa jamaa kurusha hela kwao ni kitu cha kawaida na ndo sababu kubwa inayofanya wajiite "Young Money Cash Money…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 3:00pm — 1 Comment

PROF J, MR NICE SINGLE COMING SOON

Mwanamapinduzi wa kweli ndani ya muziki wa kizazi kipya Bongo, The Heavyweight MC, Prof Jay yuko jikoni hivi sasa tayari kwa kuachia chapisho la ngoma nyingine mpya ambayo ndani amempa shavu muasisi wa miondoko ya TAKEU E A, Mr Nice. Stori zenye ukweli asilimia zote zinadai kuwa ngoma ambayo bado haijapatiwa…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 1:30pm — 6 Comments

ALIETABIRI KIAMA AIBUKA!

Siku chache baada ya kushindwa kutimia kwa utabiri wake Mchungaji wa kanisa moja maarufu nchini Marekani Harold Camping (89) amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa kituo cha Family Radio kilikosea mahesabu ya biblia wakati wa kutabiri mwisho wa dunia. Akizungumza kwa kujiamini Harold alisema kulikuwa na makosa…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 1:00pm — 10 Comments

Sean Kingston amelazwa hospitali baada ya kupata ajali mbaya

Hip-hop star Sean Kingston yupo kwenye hali mbaya hivi sasa baada ya kupata ajali ya boti jana jumapili jioni (5/29/2011)..Report zinasema kua mtu mzima Sean Kingstone alikua amempakiza msichana wakike ambae bado haijajulikana kama ni demu wake au vipi ila wote wameumia sana baada ya boat hiyo kuwazidi…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 12:30pm — 9 Comments

MANCHESTER UNITED WAIBUKA NA USHINDI WA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA TANGA

Haya tena kama tulivyo kuwa tunasuburi kwa hamu kubwa ili kufahamu nani ataibuka na ushindi wa SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA hatimae ukweli umethibitika baada ya timu ya MANCHESTER kuibuka na ushindi wa matuta ambapo waliwatandika FC BARCELONA .Hivyo kwa kuthibitisha na katika historia ya serengeti fiesta soccer…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 12:30pm — 2 Comments

ROTA ABEBA TAJI LA SERENGETI FIESTA FREESTYLE, MJI KASORO BAHARI.

Mshindi wa Serengeti Fiesta Freestyle 2011 kutoka mji kasoro bahari (Morogoro) amepatikana, ameonyesha kipaji cha kufreestyle kwa kiwango cha juu kabisa, anaitwa Rota Flavian Komba ndiye aliyeibuka kinara wa msimu wa dhahabu wa unaoendelea na Serengeti Fiesta Freestyle 2011 ndani ya mji wa Morogoro jioni ya leo. Kufuatia…

Added by Teen Newz on May 30, 2011 at 12:00pm — 1 Comment

Do you like wayne??

how many of us like wayne???? like this blog post if you do!!!

Added by Gerald Ephraim on May 29, 2011 at 8:06pm — No Comments

Mshiriki wa Big Brother Amplified Lotus wa Tanzania LIVE ndani ya CLOUDS FM

Mshiriki wa Big Brother Amplified Lotus wa Tanzania LIVE ndani ya CLOUDS FM

TUNE IN…

Added by Teen Newz on May 26, 2011 at 4:41pm — 42 Comments

Lord Eyez asakwa kwa ubakaji

RB ya Kituo cha Polisi cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar es Salaam iliyofunguliwa kwa jalada namba KJN/ RB/ 3397 inamsaka mtu anayetajwa kwa jina la Lord Eyez kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM).



Chanzo chetu cha uhakika kimeeleza kuwa, alfajiri ya Jumapili, Mei 22,…

Added by Teen Newz on May 26, 2011 at 3:30pm — 44 Comments

MY STORY:AHMED ABDULRAHMAN SHEIKH…!!!



On 6th July 2007 was a wonderful and joyious day for me. My mother was flying to Abu dhabi.so she asked me to accompany her to Dar es salaam airport .on 7th July, My mother left.



On Sunday 8th July,early in the morning i left Dar and by noon, was already in Tanga. Here in Tanga we had this group known as…

Added by Teen Newz on May 26, 2011 at 3:00pm — 20 Comments

Diamond European Tour 2011

Msanii wa kizazi kipya cha Bongo Fleva Mtu mzima Diomond Platnumz anatarajia kupiga Tour ya Europe mwezi wa Sita. Ataanzia Sweden,Norway,Holland,Belgium na nchi nyingi....Tour hiyo itaanza 10th/06/2011 na itaisha 19th/06/2011 endelea kutembelea Teentz kwa habari…

Added by Teen Newz on May 25, 2011 at 4:00pm — 13 Comments

Nuru ft Mr.Chocolate Flavour

Leo katika teentz imedondoka Exclusive Video kutoka kwa mwanadada aneifanya mziki wa bongo fleva anaejulikana kama Nuru nadhan wengi amnamfahamu! Sasa huu ni ujio wake mpya akiwa amemshirikisha Rahisi wa masharobaro yani namzungumzia Mr.Chocolate Flavour ngoma inaitwa “Muhongo Andazi” imefanyika chini ya Sharobaro Records huku Video ikiwa imefanywa na Visual Lab Next…

Added by Teen Newz on May 24, 2011 at 4:30pm — 13 Comments

Jason Derulo – ‘Don’t Wanna Go Home’

Jason Derulo amerudi tena kwa style tofauti naposema style tofauti amini ni kitu ambacho hajawahi kufanya na vilevile ni kipya katika muziki huu sasa hivi….wasanii wengi wa Rn’B duniani wamekua wakionesha uwezo wao wakudance katika video zao tena wengine wemeonekana kua ni wakali vibaya sanaaaaa ila Jason Derulo video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Don’t Wanna Go Home’ imefunika video zote manaake ndani ya video hiyo ameonesha uwezo wake wa kucheza mpaka…

Added by Teen Newz on May 24, 2011 at 3:30pm — 2 Comments

50cent afanya Documentary ya Ukweli mtupu kuhu maisha yake inayoitwa "The Origin Of Me”

Mtu mzima 50cent amefanya Documentary ambayo inamuonesha akifatilia mwanzo wake kwanzia alipozaliwa hadi leo hii pamoja nakumjua kila mtu ambae ni ndugu yake yani ndugu zake woteeee kutoka pande zote mbili za wazazi wake na kila mtu ambae anaundugu na 50cent ameoneshwa kwenye documentary hiyo na wale wote ambao bado wapo…

Added by Teen Newz on May 24, 2011 at 3:00pm — 8 Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service