
Grammy winning rapper Kanye West inaripotiwa kuwa ile cheni aliyovaa usiku wa ugawaji tuzo za BET, alitupia mcheni na pete ambavyo vyote vina gharama ya dola laki tatu za kimarekani ambazo ni sawa na shilingi milioni arobaini za kitanzania.
Katika cheni hiyo ambayo ni over size kuna taswira ya mungu wa kale waki Egypt anayeitwa Horus, kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya kihistoria na ambavyo pia Kanye West ameelezea, ni kwamba Horus ni…

Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 6:27pm —
1 Comment

Teen rapper Soulja boy Tell Em, ameelezea kwanini Twiter Page yake @SouljaBoyTellEm ili disappear over the weekend, na kupinga zile ripoti zilizokuwa zimeenea kwenye mtandao kuwa amedelete akaunt yake. Soulja boy amesemaa, alichokifanya ni kuchange akaunti yake
Akaongeza kuwa "Shoutout to all the media sites that posted I deleted my twitter becuz of a dumb a** trending topic lol basic a**** thanks for the…

Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 6:27pm —
No Comments

Justin Beiber ana mipango ya kumnunulia nyumba mama yake siku atakayo make milioni yake ya kwanza. Mwimbaji huyu mdogo anasema hana interest za bling bling na magari ya kifahari kama ambavyo hufanya mastaa, na badala yake anataka kumtuza mama yake. Beiber amesema “ A million dollar, ni mkwanja mrefu sana, napenda kutengeneza kiwango hicho cha pesa , and I see that in my future” na nikifanikiwa kwa hilo nitamnunulia mama yangu nyumba, na hilo ndo…

Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 6:26pm —
No Comments
Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 6:18pm —
No Comments

Kama jana ulisikiliza 255 basi bila shaka uliskia info kuhusu Rapa Drake kutuhumiwa na kampuni ya Play boy kwa kusample ngoma yao sasa today kuna hii inayomuhusu Hip hop Star Kanye west, jamaa amefunguliwa mashtaka kutokana na ngoma yake ya mwaka 2007 inayokwenda kwa jina la STRONGER kutoka ndani ya album ya GRADUATION
Mwandishi wa nyimbo na mtaarishaji wa muziki anayekwenda kwa jina la Vincent Peter a.k.a VINCE P, amefungua kesi Ijumaa…

Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 10:05am —
No Comments

Unakumbuka Last week siku ya Ijumaa XXL ilikupa Info kuhusu Stripper ambae alikuwa anauza story kuhusu kuwepo kwa Dr. murray katika Club ya SUM’S HOF BRAU usiku ambao Michael Jackson alikufa, yaani ukweli ni kwamba watu wanaamini kuwa mfalme wa Pop Mj alifariki kwa kuzidishiwa dose, mmoja wa watu wanao amini ni hivyo ni Baba mzazi wa Michael Jackson ambae anamtuhumu daktari wa Mj kwa kudanganya kuwa alikuwa karibu na Mj kabla ya kifo chake.…

Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 10:03am —
No Comments

Lil Wayne amewaambia Funs wake kwamaba yuko alright ndani ya gereZa la Rikers wakati huo huo amelipongeza kundi lake la YOUNG MONEY kwa kufanya vizuri katika Tuzo za BET zilizofanyika Jumapili iliyopita, Weezy ameandika katika Blog yake inaitwa WEEZY THANX YOU BLOG Kama unakumbuka usiku wa Show hiyo hiyo ya ugawaji wa tuzo Nicky Minaj Alidedicate tuzo yake kwa LIL WAYNE, na kumshukuru kwa kumfikisha hapo…

Added by Teen Newz on June 30, 2010 at 9:59am —
No Comments

Lil Wayne si msanii pekee wa Young Money mwenye matatizo ya kisheria, kwani wakati huu Drake nae amejiunga kwenye line hiyon kwa kushtakiwa na Kampuni ya PLAY BOY INTERPRISES. Kwa mujibu wa tovuti ya misstilaomg.com, kesi hiyo inamgusa Drake mwenyewe, label ya Cash Money na kampuni ya Universal, inadaiwa kuwa Drake amesample ngoma inayoitwa Fallin In love wa Hamilton, Joe Frank na Dennison/ Reynolds, yaani alichofakifanya Drake ni kusample ngoma…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:41pm —
No Comments

Pop Singer Chriss Brown alianguka wakati akiimba ngoma ya Michael Jackson, katika show ya Bet awards iliyofanyika wkend hii, Hii ni public perfomance ya kwanza kwa Chriss Brown tangu kesi yake ya kumpiga Rihanna ambapo alihukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa muda wa miezi sita, Brown alianza kulia wakati akipiga wimbo wa Michael Jackson alioutoa mwaka 1988 unaitwa MAN IN THE MIRROR.
Mwanzo wa show yake Brown alichangamsha Crowd kwa…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:41pm —
No Comments

Atlanta Rapper and Producer, Soulja Boy Tell em, ame delete Account yake katika Twiter, baada ya kupata zaidi ya followers milioni mbili katika mtandao huo maarufu wa kijamii. Soulja Boy hajatoa sababu za kudelete akaunt hiyo, ila waendeshaji wa mtandao huo wameshtushwa na taarifa hizo, kwani Rapper huyo alikuwa ni gumzo katika Twiter yaani kwa lugha ya kitwiter jamaa alikuwa trending topic.
inasemekana Soulja boy alikuwa anapata Negative…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:41pm —
No Comments

Tarehe 27 June ilikuwa ni siku kubwa kwa jamii ya watu weusi nchi marekani na dunia nzima kwa ujumla kwani watu kibao walituzwa Kupitia Tuzo maarufu nchini marekani zijulikanazo kama BET AWARDS, sherehe za tuzo hizo zilifanyika katika mji wa Los angeles California katika ukumbi wa The Shrine Auditorium,
watu kibao mashuhuri walifurika pale, Quee Latifah ndie aliye host Event hiyo, burudani ilitolewa na wasanii kibao kama mama mtarajiwa…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:30pm —
No Comments

Michel Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka 1958, akiwa ni mtoto wa nane kati ya kumi wa mzee Joe Jackson na Catherine Jackson, alikuwa na madada wa 3 ambao ni Rebbie, La Toya na Janet, huku makaka zake ni Jackie, Tito, Jermaine, Marlon, Randy, na ndugu yake mwingine anayeitwa Brandon alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa.
Alianza kuimba akiwa umri wa miaka mitano akiwa na kundi la Jackson 5, kundi lakifamilia kwani waimbaji wote…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:22pm —
No Comments

Msanii wa Bongo Flava anayekuja juu kwa kasi katika anga ya muziki wa Bongo Flava, Sunday Mangu a.k.a Linex amemlalamikia mmiliki wa Studio za Ogopa Dee Jayz kwa kile alichokiita ni Ubabaishaji na Utapeli. Katika mahojiano aliyofanya na XXL leo, Linex anamlaumu Lucas ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Ogopa Dee Jayz iliyopo nchini Kenya kwa kutompatia mpaka leo Video ya wimbo wake alioufanya mwaka 2008.
Linex anadai kuwa alikaa miezi miwili…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:16pm —
No Comments

Rap Nas amekubali kumlipia deni la nyumba mtalaka wake. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Nas pia bado anadaiwa pesa za kusurport matunzo ya Mtoto aliyezaa na mwanadada Kelis ambazo ni dola laki Tatu, Mwanasheria wa Nas amekabidhi mchanganuo ama plan ya jinsi mteja wake atakavyolipa pesa za malimbikizo ya kipindi cha nyuma. Deni la nyuma ni kiasi cha dola 52,989 ambazo ni malimbikizo ya kila mwezi tangu…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:12pm —
No Comments

R-Kelly ame document au ametupia clips za Tour yake nchini Afrika Kusini katika Video ya Ngoma yake maalum Kwa ajili ya kombe la dunia SIGN OF VICTORY, ambapo ndani yake wanaonekana kundi la Soweto spiritual Singers. R-Kelly aliuperform wimbo huo katika sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia mapema mwezi huu.
Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:08pm —
No Comments

Mama wa Tupac Shakur, Afeni shakur ameshkuru kwa kitendo kilichofanywa na Library of Congress kwa kujumuisha ngoma ya mwanae inayoitwa Dear mama katika National Recording Registry. National Recording Registry huwa wanamchakato wa kupreserve ama kutunza nyimbo zenye maadili zisipotee kwa ajili ya kizazi kijacho cha wamarekani.
Tupac alirekodi ngoma hiyo mapema mwaka 1995 kabla hajafungwa katika gereza la Clinton Correctional Facility kwa…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:05pm —
No Comments

Msanii wa kizazi kipya Jafarie amelazwa toka jana jioni terhe 24 June 2010 , katika Hospitali ya Agakhan iliyopo Upanga jijini Dar es salaam, Jafarie amefanyiwa upasuaji tumboni kutokana na ugonjwa wa APENDIX, Hatukuwa na taarifa hizo mpaka yeye mwenyewe alipotuma Message kwa Dozen asubuhi ya leo ambayo ilisomeka kama ifuatavyo:
Inakuaje? Ebwana mi nimelazwa hapa Agakhan nimefanyiwa operation ya Apendix jana Usiku, Soudy Brown akamtafuta…

Added by Teen Newz on June 29, 2010 at 3:00pm —
No Comments

Rapa Kanye West na Marion Suge Knight, hivi karibuni waliibuka katika mahakama ya mjini Newyork katika kusettle Kesi ya kupigwa risasi Suge Knight katika Party iliyofanyika Miami mwaka 2005. Kwa mujibu wa Gazeti la Newyork post, Kanye West alikataa kuongea kwa masaa sita katika chumba cha maelewano ambapo ndani yake walikuwemo Suge na mwanasheria wake na pamoja na wanasheria wa Kanye pia. Inadaiwa kuwa katika Party hiyo iliyokuwa hosted na Kanye…

Added by Teen Newz on June 21, 2010 at 5:30pm —
No Comments

Lady Gaga wasn't banned from the clubhouse at Yankees Stadium -- but she doesn't have free reign there, either. Gaga went into the clubhouse after the Yankees lost to the Mets on Friday night and met with Yankees second baseman Robinson Cano. A report in the NY Post said Yankees co-chairman Hank Steinbrenner was furious about Gaga being in the clubhouse and banned her for life -- but that's not true, said GM Brian Cashman. He told reporters, "She's…

Added by Teen Newz on June 21, 2010 at 5:30pm —
No Comments

Mwalimu wa somo la hesabu kutoka katika mji wa Los angeles nchini marekani Lamar Queen anatumia Hip hop kufundishia wanafunzi wake ili waweze kukumbuka hatua za kusolve maswali ya Topic ya algebra na kuimprove viwango vyao vya kufaulu darasani. Mwanafunzi mmoja mwenye umri wa miaka 14 Cindy Martinez anasema njia hiyo inamfanya asisahau na imempandisha kwenye mitihani kutoka Grade C mpaka Grade B. Ticha Lamar Queen ameshinda tuzo ya taifa kwa mbinu…

Added by Teen Newz on June 21, 2010 at 5:30pm —
No Comments