TEEN TZ

July 2011 Blog Posts (40)

USIPO IPENDA UTAISOMA 2

Cool brah...thz iz abaut life.....******
Don't ever belev a woman how wen u kiss her she never clossed is eyz....huyo atakua ana true filings....::::::::::;;;;;;;;;

**** if ur ma hom boy u don't need to pay..jus walk freee...coz ur ma pal

Added by jerry stephen on July 30, 2011 at 7:11pm — 1 Comment

FIESTA SERENGETI 2011 FUNIKO VIA LUDACRIS

Jameni mnaniambiaje mafanzi wangu  wa tntz Luda atatenda haki kwenye kupaform au atabana na wasindikizaji wake je (WASANII WA NYUMBANI) watapewa fursa ya kupiga nae shoo kikamilifu au watabaniwa aaaah B 12 a.ka. TWANGALA TWZZ, b KUMI NA BEENHE, ucje ukawabaniaga hao jamaa kupaform na msela coz 2nataka ladha tofauti za kikwetu mixer za za watu, me natoka TARIME nakuja DAR kucheck shoo kubwa la kijanja  usitubaniange hzo maburudojo hapo ma stadium RAAAAAAAAAAAAAAAA,,,

Added by Andrew Bendera on July 30, 2011 at 4:01pm — No Comments

Diomond - Moyo Wangu

Diomond - Moyo…

Added by Teen Newz on July 25, 2011 at 11:30am — 25 Comments

TANGA YAZIZIMA NA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA USIKU HUU



Mwanamuziki Ali Kiba kushoto akiimba na mdogo wake Abdu Kiba kulia, huku mmoja wa wacheza shoo wake akicheza nao, katika tamasha la mwendelezo wa msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta…

Added by Teen Newz on July 25, 2011 at 10:55am — 1 Comment

Hatimae Langa kuachana kabisa na matumizi ya madawa yakulevya

Msanii mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa Hip Hop Tanzania mtu mzima Langa ambae kwa muda mrefu alikua amejikita kwenye matumizi ya madawa ya kulevya (Unga) Leo hii ametimba ndani ya the people's station Clouds FM kwenye kipindi cha XXL akiwa ameweza kutambulisha ujio wake mpya kwenye game na pia kutoa tamko rasmi kua…

Added by Teen Newz on July 22, 2011 at 4:30pm — 13 Comments

Tanzania Flava Unit (Video ya Miaka 50 ya UHURU)

Tanzania Flava Unit (Video ya Miaka 50 ya…

Added by Teen Newz on July 22, 2011 at 1:51am — 3 Comments

CHAKA KHAN ATEMBELEA CLOUDS MEDIA

Mwimbaji na mtunzi mkongwe wa nyimbo nchini Marekeni, Chaka Khan (53), yuko nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya onesho maalum Jumamosi hii jijini Dar es salaam. Chaka Khan, ambaye ni mwimbaji wa wimbo maarufu wa Ain't Nobody, aliouimba mwaka 1983…

Added by Teen Newz on July 22, 2011 at 1:30am — 3 Comments

JCB ft RasMagere - Step Kwa Step

Added by Teen Newz on July 21, 2011 at 4:47pm — 1 Comment

Tanzania House Of Talent Wakiwa Atlanta....

Kwasasa wasanii kutoka Tanzania House of talents THT Mwasiti, Linah, Barnaba na Amini wako Marekani ambapo wanatarajia kuimba jukwaa moja na Usher raymond ambayo itakuwa ni kwaya ya watu 14.Hizo ni sehemu za rehearsel wanazoendelea kufanya wakiwa huko Na hiyo itakuwa ni historia nzuri sana kwenye career yao ya muziki kuimba jukwaa moja na Usher raymond ambae ni msanii mkubwa sana Duniani..

All the best…

Added by Teen Newz on July 20, 2011 at 2:14pm — 2 Comments

Bongoman

Zanzibar.

Added by lars nilsson on July 20, 2011 at 10:19am — No Comments

Baba Joni kwenye jukwaa la Fiesta Moshi & Arusha

Baba Joni kwenye jukwaa la Fiesta Moshi &…

Added by Teen Newz on July 19, 2011 at 3:52pm — 5 Comments

kizobraxblogspot,check it now

www.

Added by kizo brax on July 19, 2011 at 11:42am — No Comments

SEREGENTI FIESTA NDANI YA ARUSHA YAPAMBA MOTO

huu ni Mmwendelezo wa Msimu wa dahabu na Serengeti Fiesta tamasha la pili katika mikoa ya kanda ya Kaskazini, baada ya lile la mjini Moshi jana ambalo lilifana sana na kukusanya mashabiki lukuki.



Tutaendelea kuwaletea matukio kadiri tutakavoyanasa wakati wasanii mbalimbali wenye majina makubwa watakapoanza kupanda jukwaani.…

Added by Teen Newz on July 17, 2011 at 7:07pm — 2 Comments

Gucci na Waka Flocka wanakuja na Ferrari Boyz

Kwa ambaye alikuwa ajui basi ajue.. Gucci mane katoka Jela.., anakama wiki hivi sasa na tayari kaungana na pacha wake Waka Flocka, Pamoja wanakuja na album ambayo itatoka mwezi wa 8 tarehe 9 ambayo itaitwa Ferrari Boyz…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 3:52pm — 2 Comments

Mjengo wa R.Kelly wenye Utra tra....

Kupitia 255 tumesikia ishu ya nyumba ya mtu mzima R.kelly ambayo ipo pande za Chicago kufungwa… Mjengo wenyewe ndio huu…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 3:48pm — 15 Comments

Interview ya 50cent akikana k**-sign Lil Kim..

Interview ya 50cent akikana k**-sign Lil…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 3:45pm — 1 Comment

Fabouls katupia Tattoo mpya kwenye mwili wake…

Fabouls katupia Tattoo mpya kwenye mwili…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 3:43pm — No Comments

THT Artists join Usher Raymond in Atlanta.



Usher's New Look Foundation, established in 1999 has invited THT artists to join him at the World Leadership Conference and Awards in Atlanta this week.



Mwasiti, Amini, Barnaba, Linah, Ditto & Keyboard player Mose Delema will be flying to the United States to join him at the World Conference where…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 3:38pm — 7 Comments

Lil Wayne - Sorry for the Wait (Mixtape - Free Download)

Nimeganda kwenye chati kwasababu nina mambo mengi kichwani, Nauwezo wa kusimama mbele ya saa kwasababu niko mbele ya mda, Wanauliza yuko wapi lil wayne, nawajibu niko sehemu kati ya furaha na majonzi, samahani kwa kuwafanya msubiri… ama SORRY FOR THE WAIT...

 

Ni mistari kutoka kwenye mixtape mpya ya Lil wayne nayoitwa Sorry for the wait…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 3:00pm — 7 Comments

BWANA MISOSI KUZALIWA UPYA JUMAPILI HII CLUB BILICANAS



Bwana misosi atapiga show ya kwanza Dar es salaam baada ya kimya cha miaka mitatu yakutokufanya show Dar es salaam akiambatana na kundi la wadada wanenguaji wa kitu T - K kwa mkeo na Bluetooth latino watoto wa nyonga lainilaini Jumapili hii ndani ya Club…

Added by Teen Newz on July 14, 2011 at 2:42pm — No Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

3. Love u mama

Added by Erick Emmanuel on May 20, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service