
New Video : Sav Clan Ft. Aslay And Temba - Kicheche
Added by Teen Newz on July 31, 2012 at 4:32pm — 3 Comments
DIAMOND SASA KUIMBA TAARABU
BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab.
Diamond alisema Jijini Dar es Salaam wiki hii kuwa,amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na…

Added by Teen Newz on July 31, 2012 at 1:30pm — 15 Comments
VIDEO YA NEY NUSURA IMTOE ROHO
Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, anayemiliki jina la Ney wa Mitego amenusurika 'kudanja' kufuatia mlipuko mkubwa wa moto wakati alipokuwa akikamilisha zoezi la upigwaji picha (shooting) za video za wimbo wake mpya uliopewa jina la Nasema nao ambao ndani ametoa diss kibao kwa wasanii…

Added by Teen Newz on July 30, 2012 at 3:30pm — 5 Comments
BAADA YA ASLEY FELLA AMTOA MWANADADA
Miezi kadhaa baada ya kumtoa kumnawirisha kimuziki 'bwamdogo' Asley kutoka mitaa ya Temeke jijini Dar, kampuni kubwa ya muziki wa kizazi kipya Bongo, inayomiliki jina la 'Mkubwa na Wanawe' sasa iko tayari kumtoa mavumbini na kumvisha ustaa wa muziki nchini binti mdogo anayeitwa Asna Juma 'Ching…

Added by Teen Newz on July 30, 2012 at 3:00pm — 2 Comments
PINGU NA DESSO PAMOJA TENA
WAKALI muziki wa kizazi kipya Bongo Ramadhani Kalesela 'Pingu' na Deogratius Freddy 'Desso' ambao kitambo kidogo walitengana na kufanya kazi ya muziki wakiwa pande mbili tofauti kutokana na sababu za hapa na pale wamerudi kufanya kazi pamoja kama ilivyokuwa awali.
Akipiga stori na Teentz.com mapema leo…

GODZILLA : ELIMU YA KIBONGO FEKI
Bongo Hip Hop Star, Godzilla, ameukosoa mfumo wa elimu uliopo nchini ambao anadai hautengenezi wataalam wa kutosha kutokana na ubovu ulionao.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo GodZilla amefunguka kuwa kutokuwepo kwa shule za vipaji maalumu kunawanyima haki watoto wenye vipaji na kujikuta wakiangukia kwenye…

Added by Teen Newz on July 26, 2012 at 1:08pm — 3 Comments
Temba feat. Bi Cheka - Mario (Official Video)
Added by Teen Newz on July 24, 2012 at 2:30pm — No Comments
Mixtape mpya ya GOSBY "SCARFACE VALENTINE's DAY MASSACRE"
Mixtape mpya ya Gosby iitwayo SCARFACE VALENTINE's DAY MASSACRE aliyowashirikisha wasanii kadhaa wa kizazi kipya kama Cindy Rulz na wengineo…

Added by Teen Newz on July 24, 2012 at 1:06am — 2 Comments
Kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV - 19/July (Jana)
Added by Teen Newz on July 20, 2012 at 8:17am — No Comments
Kipindi cha Clouds TV : Siz Kitaa 18/July pt1
Added by Teen Newz on July 19, 2012 at 8:07pm — No Comments
Kambi Popote - 18/July (Anthonio Nugaz ndani ya Ngorongoro)
Added by Teen Newz on July 19, 2012 at 7:30pm — No Comments
EXCLUSIVE VIDEO : Matukio ya uokoaji wa watu Baada ya Meli ya MV.STAR GATE kuzama Huko zanzibar
Added by Teen Newz on July 19, 2012 at 1:00pm — 14 Comments
Kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV - 17/July (Jana) na Casto Dickson
Added by Teen Newz on July 18, 2012 at 8:14pm — No Comments
Kipindi cha TAKE ONE cha Clouds TV cha wiki hii na ZAMARADI MKETEMA
Added by Teen Newz on July 18, 2012 at 7:56pm — No Comments
NDEGE YA ATC YAPASUKA KIOO
Habari za uhakika zinadai kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi ya leo (July 18) kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo.
Taarifa zimedai kuwa kioo hicho kilipasuka wakati ndege hiyo ikijiandaa kwenda Mwanza baada ya kuwa imeshatua KIA. Kioo kilichopasuka ni kile cha pembeni…

Added by Teentz - Full Mikogo on July 18, 2012 at 3:47pm — 2 Comments
BIEBER AFURAHIA UMRI WA MAMA YAKE
Justin Bieber amesema kuwa karibu mno na mama yake kiumri, ambaye alimzaa akiwa na miaka 18, kumewafanya wawe marafiki.
Akizungumza na 2Day FM, Justin amesema: "She's amazing'... Ni wazi nilikuwa kama ajali kwake, ni poa sana mama yangu bado ni mdogo, ni rafiki na mama yangu pia, amekuwa strict sana siku…

Added by Teentz - Full Mikogo on July 18, 2012 at 2:46pm — 2 Comments
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.