
STEP UP PLAYER WELCOME TO MIAMI BEACH PARTY 2011
Added by Teen Newz on August 25, 2011 at 11:51am — 1 Comment
Izzo Bizness - Riz One (Official Video)
Added by Teen Newz on August 22, 2011 at 3:12pm — 8 Comments
AY FT LAMYIA & ROMEO - SPEAK WITH YA BODY
Added by Teen Newz on August 17, 2011 at 11:37am — 23 Comments
Chameleon abadilisha dini nakua muislam, Nakujiita ‘Gaddafi’
Artist kutoka uganda jose chameleon siku ya ijumaa, alibadili dini na kuwa muislam katika msikiti wa kinuli nchini uganda ambapo hivi sasa artist huyo anaitwa gaddafi chameleone ambaye alifatana na artist mwenzake haruna mubiru na grace sekamate wote wakitokea eangles production ingawa bado chameleon hajafunguka rasmi sababu ambazo zimemfanya kubadili dini ghafla, lakini uamuzi wake… 
Added by Teen Newz on August 15, 2011 at 4:00pm — 8 Comments
EVERY ONE KNOWS SCORPION
Lets look on the different side of tha world,from ma last post i was going to this thing "SCO9PION" if u are so detective enough u can see a number in between letters,the letter makes the word"its a name of an organism(scorpion)"what about the number "its just a number nine from one to ten".If u gut to think so fast u can create some but why?.When somebody makes a logo what he/she's thinking at a time,my be to be unique or famous or to go up means top of.To this isn't that way,some body can…

Added by victor aniceth on August 13, 2011 at 1:00pm — No Comments
Tracklisting: Game – ‘The R.E.D. Album’

Leo katika teentz.com inakuletea list ya track zilizopo kwenye Album mpya ya mtu mzima The Game ambayo inaitwa ‘The R.E.D. Album’ yenye track 21 ambapo humo ndani wameshirikishwa wakali kibao kama Lil Wayne, Drake, Young jeezy, Chris Brown, Nelly Furtado pamoja na Dr Dre……Album hiyo itaanza kuonekana kwenye mitandao kwanzia tarehe 23 ya mwezi huu wa 8…..................................
The R.E.D. Album Tracklisting......
1. “Dr.…

Added by Teen Newz on August 10, 2011 at 3:00pm — 7 Comments
Rihanna ajiunga na J. Cole & Trey Songz kwenye Video yao mpya

Mwanadada Rihanna ame show love kwa kuwaonesha support J.cole na Trey songz kwakutokea kwenye video yako mpya ya ngoma yao inayoitwa “Can’t Get Enough” ambayo video hiyo ilikua inafanyika weekend hii iliopita ambapo rihanna alitimba akiwa ametupia vinguo flan vya ufukweni ila kama kawaida dada huyu aachagi matukio…alionekana akiwa nawasha kitu cha cigar live wakati video hiyo ilipokua…

Jay z awakimbiza tena kwenye list ya Forbes

Added by Teen Newz on August 10, 2011 at 2:00pm — 11 Comments
Feelings for vodacom miss Tanzania 2011/12 on fresh and high vibration...
on the cool has something obout it... soma hiyo na toa neno pia
Added by mwonGi james on August 10, 2011 at 10:58am — No Comments
Kelly Rowland amwaga radhi mbele ya mashabiki wake
Wiki iliopita ilikua ni Nicky Minaj na wiki hii ni zamu ya mwanadada Kelly Rowland kumwaga radhi mbele ya umati wa watu alipokua ana perform ngoma yake motivation ghafla nguo ikamvuka nakuacha kifua chake chote njee ndipo mashabiki waloikuepo kwenye eneo hilo walipoanza kutoa simu,camera na kumpiga picha mwanadada… 
Added by Teen Newz on August 9, 2011 at 4:20pm — 7 Comments
FOREVERLIVING PRODUCTS!
KWA WALE WATUMIAJI NA WANAOPENDA KUTUMIA PRODUCTS ZENYE UBORA ZAIDI ZA FOREVER, SASA ZINAPATIKANA KWA URAISI ZAIDI. NI BIDHAA KWA AJILI YA USAFI WA NGOZI, UREMBO, KUPUNGUZA AU KUONGEZA UZITO, AFYA YA MWILI NA KINYWA, KUONDOA MAGONJWA YOTE YA NGOZI, NK. PIA WAWEZA KUJIPATIA KIPATO CHA MAMILIONI YA PESA KAMA MFANYABIASHARA WA BIDHAA HIZI. KWA MAELEZO ZAID TEMBELEA TOVUTI YA www.foreverliving.com AU SIMU NO +255716797470
Added by ANSSY SENIOR on August 9, 2011 at 1:32pm — No Comments
fire hitz
holaaaaaaaaaa!
girls n' boyz ni vp? coz tym za kumlaan shetan zmefka so mmjiandaaje
Added by nsubil nector mwakaselo on August 7, 2011 at 4:01am — No Comments
Happy Birthday President Barack Hussein Obama

Added by Teen Newz on August 4, 2011 at 1:30pm — 3 Comments
2013
2012
2011
2010
1999
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
Added by dsfds on May 15, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.