
Cutey kutoka Barbados ambae kila akitoka na hairstyle lazima aigwe na them ladies dunia nzima, miss ela ela eh eh….aka rhihana ametoa rasmi orodha ya mipini ipatikanayo ndani ya album yake mpya kwa jina loud Ndani ya album hii nicki minaj… miss baby gat back…..ataskika kwenye dude kwa jina raining men na kuna dude ambalo linasemekana linamlenga c breezy mr deuces dude kwa jina fading away……..
Orodha full ya pini hizi ni kama…

Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 4:23pm —
No Comments

Album ya detox ya dr mwenye degree ya kitaa ya kugonga midundo heavy, mzeiyah dr dre, imekuwa kama stori za popo bawa…..hujui uamini lipi kuhusu stori za ujio wake lakini for now gwafara hot of the gwafa-press ni kwamba akiwa katika uzinduzi wa toleo lingine la headphones chini ya nembo ya beats by dre jijini new york, duka la best buy………..the good daktari dre, amelonger kwamba yupo katika nafasi nzuri ya kuahidi kwamba album hii ambayo imemchukua…

Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 4:18pm —
2 Comments

Farid Kubanda unaweza muita Fid Q jana amerudi kutoka nchini Marekani alikokua amepelekwa na ofisi za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa ajili ya Kozi ya International Leadership Programms, kama ye mwenyewe alivyowahi kusema kabla hajaondoka kuelekea pande hizo, kuhusu mambo aliyojifunza huko amabapo amesema kuwa amepata nafasi ya Kutembelea miji tofauti ya U.S.A na kujifunza elimu ya Sanaa, Filamu na mambo mengine kibao, ambapo pia ametunukiwa…

Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 3:26pm —
2 Comments

aliewahi kutabiriwa kuwa mrithi wa michael jackson mzeiyah justine timberlake ambae alianza kuimba katika kundi chini ya kampuni ya disney pamoko na kina britney na christina aguillera amelonger kwamba yeye ni mbumbumbu wa mambo ya kiteknolojia hususan mambo ya macomputers na kikubwa ambacho anajua kufanya on the comp ni kudownload mziki tuu baaaaas’……..
mzeiyah who brought sexy back analonger kwamba hata kwenye page yake ya…

Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 3:11pm —
1 Comment

Drake, the young money mvp anahofiwa kufunguliwa mashtaka baada ya mlinda bodeeee yake aka bodyguard kumpa knucklez shabiki mmoja jijini florida na kusababisha shabiki huyo kupelekwa hospitali na majereha ya mdomoni tukio hili lilihappen weekend hii jijini florida ambako dreezy alikuwa amemaliza kupiga show ndani ya club mmoja jijini hapo
Inasamekana kwamba fan huyo akiwa na wenzake alikuwa anataka kumsalimia drake lakini kile kitendo…

Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 3:09pm —
No Comments
Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 2:01pm —
1 Comment

hivi karibuni katika interview na MTV ludacriss ame holla kua elimu inamchango mkubwa katika music kwasababu asilimia 90 ya muziki ni biashara na 10 ndio mziki wenyewe na kama mtu hana elimu na hajiendelezi kielimu basi hauto dumu kwenye biashara ya mziki...
Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 12:56pm —
1 Comment

telephone ni video inayongoza kudownloadiwa online wakati lady gaga ammechukua tittle ya queen wa facebook na twitter kwakua na marafiki zaidi ya million 6 ambapo alikabidhiwa tittle hiyo akiwa anafanya video yake ya "monster ball" pia ni mwadada anaeongoza kwa tunzo nyingi za video mwaka 2010.
Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 10:30am —
No Comments

Giselle Knowles a.k.a Beyonce alizaliwa September 4, 1981 huko mjini Housten, Texas, USA ni Singer, Model, Actress alianza kuimba mziki akiwa na umri wa miaka 8 ambapo alikua akipiwa support na manager wake ambae ni baba yake mzazi, beyoce ni mke wa ndoa wa rapper anaengoza kimkwanja duani JAY-Z na mpaka sasa ni mmoja kati ya wanadada wenye mafanikio makubwa kimziki na kimkwanja heshima iliyo mfanya mpaka mwaka huu kuingia kwenye forbes…

Added by Teen Newz on September 30, 2010 at 10:30am —
2 Comments

Mwanadafemcee ambae nina hisi amewatembelea vijana wengi sanaa wa kiTZ wakiwa ndotoni muute nicki minaj first lady wa young money cash money records anazushiwa kusambaza ujumbe wa siri katika pini lake la your love
pini hili ambalo limeshika numer kwenye chart za billbiard katika category ya rap,eti inasemekana ukilicheza kwa reverse.....utasikia maneno ya kuhamasisha mapenzi kinyime ya maumbile na maneno mengine chaf…

Added by Teen Newz on September 29, 2010 at 11:30am —
3 Comments

SIO SIRI KWAMBA DUDE KWA JINA DEUCES KUTOKA C BREEZY AKA RHI RHI EX LIMEIFANYA MIXTAPE ALBUM YA FAN OF A FAN…COLLABO MIXTAPE KATI YA C BROWN TYGA WA YOUNG MONEY
RECS….KUIFUNIKA OFFICIAL ALBUM YAKE YA GRAFFITI GOOD WORD FROM THAT BOY CHRIS BROWN NI KWAMBA ANAJIPANGA PROPER KUDROP IN THE MARKET REMIX YA DUDE HILI DEUCES, DUDE AMBALO NI PRODUCTION YA RAPPER PRODUCER KEVIN MCCALL…
AKILONGER NA MAFANZ WAKE KIBAO KUPITIA TOVUTI YA…

Added by Teen Newz on September 29, 2010 at 11:30am —
1 Comment

Mfalme Rhymes Afande Sele au unaweza kumuita Simba Dume, Leo asubuhi ameithibitishia 255 kuwa hana Beef na Producer wake P-Funk ambae mwishoni mwa wiki iliyopita walikorofishana na kufikia hatua P-Funk kumpiga kofi Afande hali iliyosababisha aende kutoa taarifa polisi.
Na katika madai yake Afande alisema kwamba..ishu ilivyotokea siku hiyo alifika Studio za Bongo Records kwa Apointment aliyoweka na P lakini alipofika Jamaa akampiga Sound…

Added by Teen Newz on September 28, 2010 at 3:32pm —
2 Comments

Mtu mzima C To The Pwa yuko Location pande za Oyster Bay akipiga video na Miss Trinity chini ya Director Adam Juma wa Visual Lab. 255 ilimvutia Wire C-Pwa ambapo nae alieleza jinsi alivyoweza kupiga ngoma na mwanadada huyo ambapo kwa upande wake amesema aliposkia Miss Trinity atashuka Bongo kutoka nchini Jamaica, hatua aliyofanya ni kuwasiliana na wenyeji wake/waandaaji wa Concert yake hapa Bongo, ambapo kupitia wao aliweza kutuma kazi zake kwa…

Added by Teen Newz on September 28, 2010 at 3:30pm —
3 Comments

Baada ya kupiga Collabo na Miss Trinity katika studio za B-Hits, weekend hii Ambwene Yesaya a.k.a A.Y amefichua siri ya kupiga Collabo na Wasanii mbalimbali wa kimataifa wanaoshuka bongo kila kukicha. A.Y ameyasema hayo baada ya kuulizwa na swali 255 kwamba ni mbinu gani anayoitumia katika kumshawishi mtu kama Sean Kingston, P-Square, Miss Trinity, K-Naan na wengineo.
Ambwene akajibu kuwa siri yake ya mafanikio hayo ni kujitangaza sana…

Added by Teen Newz on September 28, 2010 at 3:00pm —
2 Comments
Added by Teentz - Full Mikogo on September 27, 2010 at 5:01pm —
No Comments

Quick rocka atua ndani ya xxl baada ya kurudi india aachagua ngoma zake 5 kali anazozikubali
Added by Teen Newz on September 27, 2010 at 5:00pm —
2 Comments
Added by Teentz - Full Mikogo on September 25, 2010 at 4:36pm —
1 Comment

Meneja wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake pande za Manzese Tip Top jijini Dar es salaam, Babu Tale hatimaye leo wakati akifanya mahojiano na XXL katika Segment ya Meza moja, amesema kuwa hana beef na Keisha na kilichotokea kati yake na Mwanadada kimekaa kibiashara zaidi na si kibinafsi kama ilivyotafsiriwa na Funs wengi wa muziki wa kizazi Kipya.
Kauli hiyo ilikuja baada ya Kuulizwa na Mtangazaji wa Kipidi hicho B-12 kama…

Added by Teentz - Full Mikogo on September 25, 2010 at 4:23pm —
6 Comments

Madaktari katika hosptali ya Bugando jijini Mwanza wamewaamuru wauguzi katika Wodi aliyolazwa Producer Kid Bway wamuhamishe katika wodi yenye ulinzi na usimamizi wa kutosha ili kuweza kumuepusha Kid Bway na kundi la watu linalojitokeza kila siku kumuona mtaarishaji huyo wa muziki. Hatua hiyo ni baada ya madaktari kumfanyia vipimo Kid Bway na kusema kuwa anahitaji muda mwingi wa Kupumzika na hatakiwi kuzungumza kwani hatua hiyo itamfanya achelewe…

Added by Teentz - Full Mikogo on September 25, 2010 at 4:17pm —
1 Comment
Hv kwanin shndano la BSS limeshndwa kutoa wasanii wa uhakika?
Added by prince mwijage on September 20, 2010 at 4:26pm —
No Comments