
B,DAY PARTY YA DIAMOND PLANTINUM NDANI YA NEW MAISHA CLUB JUMAPILI HII
Added by Teen Newz on September 30, 2011 at 3:41pm — 3 Comments
Shetta ft, Dully Sykes & Tunda Man - Mdananda {Official Video}
Added by Teen Newz on September 30, 2011 at 3:36pm — 2 Comments
Jamani huyu ndio Aunty Suzy aliehojiwa na Dina Marios kwenye Leo Tena ya Clouds FM

Added by Teen Newz on September 30, 2011 at 1:33pm — 82 Comments
New Music: Justin Bieber – ‘How to Love RMX"


Added by Teen Newz on September 29, 2011 at 2:59pm — 4 Comments
Ujio mpya wa Bow Wow – ‘I’m Better Than You’ [Mixtape]

Rapper ambae kwasasa anapeperusha bendera ya YMCMB mtu mzima Bow wow amerudi tena na Bonge la Mixtape ambayo inaitwa 'I'm Better Than You' mzigo ambao yeye amaemua kuufannya kama utangulizi kabla ya Album yake ambayo inatarajiwa kudondoka sokoni December 6 ya mwaka huu Bow wow amesema kwenye Mixtape hiyo kuna track 11 na zote ni kali ikawamu kupiga Collaboration na Rafiki yake kipenzi Chris Brown na…

Added by Teen Newz on September 28, 2011 at 10:09am — No Comments
CountryBOY ft, Linah - Mateso.{Official Video}
Added by Teen Newz on September 28, 2011 at 9:54am — No Comments
LORD IS MY LIGHT-CHIDI CHINANGA
Lord is my light
Lord is my power
lord is my shield when I go to war
Lord is my life,Lord is the one
The only one I need is Love
You are the Light of my life,power fo my soul
You are the shield of my Life when I fight to survive
You conquer the Universe,you conquer the sky
You told there s no limit if I want to fly
no lie,complie,and see the light
for those who denie will be left in the…

Added by RASHIDI SAIDI CHAMHINGO on September 28, 2011 at 4:25am — No Comments
Godzilla Ft Marco Chali - KingZilla (Official Video HQ)
Added by Teen Newz on September 15, 2011 at 2:58pm — 3 Comments
Ajali ya meli
Poleni saaaana ndugu zanguni mliopatwa na misiba ya ndugu zenu katika ajali ya meli huko zanzibar..Pia na wale wote mlionusulika katika ajali hiyo poleni sana Mungu azidi kuwalinda...!!!!
Added by Emmanuel Zachariah on September 14, 2011 at 2:00pm — No Comments
Salaam za pole kwa waathirika wa ajali ya meli Zanzibar
Uongozi wa Teentz.com unatoa pole kwa watu wote waliwapoteza ndugu,jamaa na marafiki katika ajali ya meli Zanzibar na pia inawapa pole majerui wote walionusurika kwenye ajali hiyo….Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi sote tuliwapenda ila mwenye enzi mungu kawapenda… 
Added by Teen Newz on September 13, 2011 at 1:30pm — 4 Comments
BONGO FILM DATABASE FLASH ITS LIGHTS TO HUGH MICHAEL JACKMAN THE MAN OF THE X-MEN page 1
Hugh Micheal Jackman
Alizaliwa tarehe 12 mwezi wa kumi mwaka 1968, huko Sydney, New South Wales, Australia.Hugh ni mototo wa mwisho kwenye familia ya watoto wa tano ya mzee Jackman, ana urefu wa mita 1.89. Hugh kwa upande wa elimu ana stashada ya mawasiliano na wandishi wa habari…

Added by Oscar mpejiwa on September 11, 2011 at 10:10am — No Comments
MAMBO YALIVYOKUWA BBM PARTY YA G5 CLICK
Usiku wa kuamkia leo, ilifanyika pati ya BBM kwa mara ya kwanza nchini Tanzania na kuandika historia nyingine kwa…

Added by Teen Newz on September 10, 2011 at 9:42pm — 11 Comments
BBM PARTY 2011
Ile siku iliokua inasubiriwa kwa hamu watu wengi imewadia hapa naongelea G5 click inakuletea BBM PARTY 2011 ambayo inafanyika leo kwanzia mida ya saa moja kamili usiku na kuendelea...Moto utawaka pande za Mbalamwezi Beach Club ambapo wasaii kutoka THT (Barnaba & Linah) watakuepo kukonga mooyo ya watu… 
Added by Teen Newz on September 9, 2011 at 11:22am — No Comments
BBM PARTY - LETS MEET AND PING @MBALAMWEZI BEACH ON 9TH SEPT FRIDAY (G5CLICK)
Added by Teen Newz on September 6, 2011 at 10:20pm — No Comments
BBM PARTY - LETS MEET AND PING @ MBALAMWEZI BEACH (G5CLICK)
Its BBM Party, come and party all nite @ Mbalamwezi Beach with your friends on 9th of September 2011.Popular Dj in…

Added by Teen Newz on September 5, 2011 at 6:30am — 1 Comment
2013
2012
2011
2010
1999
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.