TEEN TZ

November 2010 Blog Posts (126)

www.mtayarishaji.blogspot.com

Tangaza nasi

Added by Yusuph Mcharia on November 30, 2010 at 5:41pm — No Comments

Soulja Boy - "The DeAndre Way" - Listen To The Full Album Here



Added by Teen Newz on November 30, 2010 at 4:00pm — No Comments

Justin Bieber anatamani kufika university

Canadian Teen Idol Justin Beiber amesema kuwa japo ameuza Millions of Copy za Album katika umri mdogo wa miaka 16 lakini still ana plan za Kusoma hadi University. Beiber amesema Siku zote huwa anasafiri na Private Tutor ambapo huwa ana five three-hour sessions kwa wiki za kusoma. Ameyasema hayo katika News Conference jijini Madrid ambapo yupo kwa ajili ya Kupromote album yake ya Tatu "My Worlds: The Collection" Dogo amefunguka…

Added by Teen Newz on November 30, 2010 at 3:30pm — 12 Comments

Video: Mariah Carey f/ Patricia Carey – ‘O Come All Ye Faithful / Hallelujah Chorus’

Akiwa amebeba ujauzito wa mtu mzima Nicki cannon…The Diva of all time mwanadafada Mariah Carey ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa “O Come All Ye Faithful / Hallelujah Chorus.” ambayo amemshirikisha mama yake mzazi Patricia…

Added by Teen Newz on November 30, 2010 at 3:00pm — No Comments

Video: Diddy-Dirty Money – ‘Coming Home’

Dirty Money wameachia video ya ngoma mpya inayoitwa “Coming Home” .. kwenye video Diddy anaonekana kama mtu mwenye uzuni sana… yani katoka safari ya mbali baada ya kupotea home kwa mda mrefu arafu anakuta mambo yamebadilika...Ni video moja tofauti na video zote za…

Added by Teen Newz on November 30, 2010 at 3:00pm — 7 Comments

Vidume wachezea kichapo baada ya kuzamia treni ya madem tupu huko India

Haya baada ya India ku introduce usafiri wa tofauti wa treni yan kuna treni kwa ajili ya wanaume na treni kwaajili ya wanawake sasa kuna vidume wamechezea kichapo cha hatari kutoka kwa madem yani vibao vingiiiiii na mixer kupigishwa push ups za kutosha baada kukutwa wamepanda kwenye train la madem tupu yan kama mwanaume huruhusiwi kupanda train hilo....sasa si ndo wazaz wakajimix wacha madem hao wawape kibano cha…

Added by Teen Newz on November 30, 2010 at 3:00pm — 15 Comments

Video: T.I. f/ Rocko – ‘I Can’t Help It’

Japo kua anatumikia kifungo jela lakini haijawa sababu ya kumzuia mtu mzima T.I ku hustle…..na leo ameachia Video yake mpya inayoitwa “I CAN’T HELP IT” ni ngoma itakayopatikana kwenye Album yake mpya inayoitwa “NO MERCY” inayotegemea ku drop sokoni mwenzi ujao tarehe 7 katika ngoma hiyo T.I amemshirikisha rapper mwenzake kutoka ATL anayeitwa…

Added by Teen Newz on November 30, 2010 at 3:00pm — 11 Comments

Mikogo town

  1. FULLU KUJIACHIA NA MIKOGO TOWN AND EVERYONE IS WELCOME TO VIEW IT AND HAVE SOME FUN!!!!!!!!!!!!!!!! JIRAMBEEEEEEEE MWANANGU wakiuliza sema BABA hapendi

Added by Mario Twilight on November 30, 2010 at 12:00am — No Comments

“MY TIME IS NOW” Documentary ya Hustle za Nick Minaj

MTV documents Nicki Minaj’s rise to stardom for “Nicki Minaj: My Time Now.” The one-hour documentary follows the Pink Friday rapper, born Onika Maraj, as she performs at the VMAs, records the Eminem-assisted “Roman’s Revenge,” returns to her home of Trinidad, and surprises her mother with the keys to her own home. Laugh and cry with the Harajuku Barbie as she reveals the ambitious girl underneath the colorful wigs and wardrobe.…

Added by Teen Newz on November 29, 2010 at 3:37pm — 3 Comments

Video: Keri Hilson f/ Rick Ross – ‘The Way You Love Me’

Video ya “the way you love me” ambayo ni kolabo kati ya Keli Hilson na Rick ross imetoka… Video ipo kama movie flani hivi ambayo humo ndani mwana dada Keli Hilson akiwa na Jojo pamoja na Faith Evans wanaonyesha nguvu ya uwanawake wao…. Na jinsi wanavyoitumia kufanya wanavyotaka…. Na ndio mana kwenye iyo ngoma Rick ross anakwambia “navaa cheni za Bilioni moja ili mademu wanione…

Added by Teen Newz on November 29, 2010 at 3:30pm — 4 Comments

Omarion akiwa anacheza Bhangra

Tunamjua Omarion kama mtu mkali kwenye maswala ya kubreak dance.. sasa umeisha wahi kuimagine mshkaji akiwa anacheza Bhangra…. Yani kama vile wahindi wanavyochezaga kwenye movie zao… Sasa unaweza ukamcheki Omarion akiwa anacheza Bhangra............. …

Added by Teen Newz on November 29, 2010 at 3:30pm — 2 Comments

Sean Kingston katupia swagga za Kijamaica kwenye "What's my name" ya Rihanna

Sean Kingston katupia swagga zake za kijamaica kwenye ngoma ya “what’s my name..” ya Rihanna…, imetoka poa sana..isikilize mwenyewe ndani ya teentz.. anakwambia… “Pesa ziko sawa ata kwenye wakati mbaya...” ( Oh-na-na. Sean Kingston adds some extra island flavor to Rihanna’s hit

single “What’s My Name?” “She affiliated with the Roc, Beyoncé/ The King

getting in her hair, Garnier/ I can’t get much higher,…

Added by Teen Newz on November 29, 2010 at 3:30pm — 1 Comment

FREE MIXTAPE: Chris Brown – ‘In My Zone 2’ [Mixtape]

In my zone2” mixtape mpya ya Chris Brown imedondoka ndani ya Teentz.com leo.. Humo ndani kuna ngoma Chris Brown kafanya na Gucci mane inaitwa “Miss Breezy” ambayo anamweleza demu ni jinsi gani atakula good time akibahatika kuwa Miss Breezy ,yani demu wake… -Anachokiongea Gucci mane anakijua mwenyewe….inabidi uisikilize mwenyewe ndani ya Teentz.com.. inapatikana for Free Download …

Added by Teen Newz on November 29, 2010 at 3:00pm — No Comments

Swizz Beats Afunguka kuhusu Uwezo wa DMX kurudi kwenye game na beef kati ya DMX na JAY-Z

Juzi kati katika interview na VladTV.com producer wa the Ruff Ryder mtu mzima Swizz Beats aelezea kuhusu uwezo wa DMX kurudi kwenye game swizz alisema kua " "X is forever my brother. Whatever he wanna do, I'm with it, as long as it's the right thing," explained Swizzy. "X has been X since day one. It's just that now, people see another side of X that they didn't see before. X been goin' to jail. His first song was 'Born Loser.' He's been in and out…

Added by Teen Newz on November 29, 2010 at 3:00pm — 1 Comment

Ebu cheki tukio alilofanya huyu jamaa..

Huyu jamaa alikuwa kwenye treni… pembeni yake alikuwa amekaa mdada mweupe mkali sanaa.. Yule dada alikuwa kavaa sketi fupi alafu kaweka nne…basi mapaja yote njee… Yule jamaa akashindwa kuvumilia akawa anayaangalia kiwiziwizi.. mara akaingiza mkono mfukoni…alafu akauleta kwa hapa mbele hapa…. Basi akaanza kufanya mambo yake… huku anacheki cheki mapaja ya Yule dada..!! Mcheki jamaa mwenyewe kwenye…

Added by Teen Newz on November 26, 2010 at 4:09pm — 37 Comments

Lloyd Banks x Fabolous x Juelz Santana - "Start It Up" + "Beamer, Benz, or Bentley" Live in NYC

Nazani wengi tunaijua ngoma ya Llody banks inayoitwa “Start it Up”…ambayo ndani kuna Fabolous, Swizz beats na Kanye west…ni ngoma yenye mzuka sana…. Sasa umeisha wahi kuimagine hawa jamaa wote wakiwa kwenye stage wanaperfome hii ngoma pamoja inakuaje..??? wacheki…

Added by Teen Newz on November 26, 2010 at 4:06pm — No Comments

Sneakers za Playstation - Limited Edition

Hii ni kwa wale wapenzi wa video games… Hasa playstation , Nike wameungana na Sony Playstation na kutoa sneakers… Ziko poa..yani really simple… zicheki hapa..!…



Added by Teen Newz on November 26, 2010 at 4:04pm — No Comments

Need for speed mpya "Need for Speed Hot Pursuit"

Need for Speed…- Kitu kipya kimetoka.. Inaitwa Need for Speed Hot Pursuit.. , Ni noma kuliko game zote za need for speed … Unaweza ukacheki trailer lake…

Added by Teen Newz on November 26, 2010 at 4:00pm — 3 Comments

Jeremih x 50 Cent – ‘Down On Me’ (Behind The Scenes)

“Down on me” Ni ngoma ambayo ipo kwenye chart hivi sasa…. Bonge la Kolabo kati ya Jeremih & 50 cent … Hii ngoma imeisha fanyiwa video kama 3 hivi… Chaajabu zote sio official videos… ya kwanza ilikuwa 3D version ambayo ilfanyika studio, ya pili ilifanywa na wafanyakazi pamoja na marafiki wa Jeremih ambapo humo ndani kila mtu anaimba kipande cha nyimbo ya Jeremih.. na ya Tatu.. ilifanywa na 50cent akiwa na comedian Keenan Cahill. Ambayo inafanyika sasa hivi…

Added by Teen Newz on November 26, 2010 at 3:58pm — No Comments

Album mpya ya Jamie Foxx - BEST NIGHT OF MY LIFE

Ni album mpya ya Jamie Foxx ambayo inatoka December 31, humo ndani kawatupia wasanii kibao akiwemo T.I na Rick Ross…Leo unaweza kucheki cover la album hiyo ndani ya Teentz.com

Added by Teen Newz on November 26, 2010 at 3:57pm — No Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service