TEEN TZ

December 2010 Blog Posts (73)

Jinsi mastar wakubwa watakavyo sherekea Mwaka mpya

Leo ni siku ya mwisho ndani ya mwaka 2010… Na hivi ni ndivyo mastar wakubwa wa dunia watakavyosherekea..

Lil wayne - Atafanya party yake kubwa ya kwanza tokea atoke jela na kupop bottle akiwa na mastar wa kundi la Dipset… ila Lil wayne atakuwa anakunywa maji tu….



P. diddy - Atakuwa pande za Vegas ambapo pia atafanya bonge la party kama kawaida yake..



Jay z - Atakuwa kwenye show akipafom.. kwa watu 1000…

Added by Teen Newz on December 31, 2010 at 2:26pm — 3 Comments

Lady Jaydee pure drinking water yamezinduliwa rasmi ndani ya paradise city hotel

Maji ya kunywa yaliyopewa jina la Lady JayDee Pure Drinking Water yamezinduliwa pale Paradise City Hotel iliyoko katika jengo la Mkapa House Posta. Maji haya yanatengenezwa na kampuni ya MeTL, Mohammed Enterprises Tanzania LTD Pia mwanadada JayDee amechaguliwa kuwa katika kundi la RockStar ambapo anakuwa na wenzake kama Ally Kiba, AY, Mwana FA na Marlaw........…

Added by Teen Newz on December 31, 2010 at 2:00pm — 8 Comments

T-PAIN kujiunga na Young Money Cash Money....

Young Money Cash Money Billionaires wamepata new member ambaye ni T-Pain a.k.a Napy boy... Taarifa hizi ni za uwakika ingiwa bado azijawa rasmi…… Ila Cash Money tayari wameishaanza kufanya maandalizi ya kumkalibisha T-Pain kwenye kundi la Young Money Cash Money kwa kumtengenezea cheni yenye thamani ya million 150…

Added by Teen Newz on December 31, 2010 at 2:00pm — 10 Comments

Dogo Janja ndani ya Clouds FM XXL Jiwe la wiki

Dogo Janja ndani ya Clouds FM XXL Jiwe la…

Added by Teen Newz on December 31, 2010 at 1:30pm — 12 Comments

Chris Brown ameomba msamaha kwa kumtukana Raz B kwenye Twitter wakati Kaka yake Raz B amemtishia kumuua Chris Brown

Kama tulivyor-report mwanzo, Singers Chris Brown na Raz B ambae ni member wa zamani wa kundi la B2K ambae juzi kati kumekua na rumor kwamba jamaa ni gay...Wameingia kwenye malumbano makubwa ndani ya twitter baada ya Raz B alipo tweet na kusema kwamba alichukizwa na kitendo cha Chris Brown kumpiga Rihanna na…

Added by Teen Newz on December 31, 2010 at 11:00am — 2 Comments

Nicky Minaj kwenye Cover jipya la KING Magazine

Mwanadada Nick Minaj ka-take over game la mziki kiukweli… na sio kwa mistari yake tu…. Bari hata mwili wake kwenye cover la King Magazine … mpango mzima ndani ya…

Added by Teen Newz on December 30, 2010 at 4:00pm — 16 Comments

Kanye West f/ Rick Ross, Jay-Z, & Nicki Minaj – ‘Monster’

Kupita Yo hard..! Sudi Brown kaishawahi kuongelea kuusu ishu ya video ya monster ya Kanye west…. Sasa Teentz imeipata video hiyo ambayo ndani kuna Jay Z, Nick Minaj, Rick Ross na Kanye west mwenyewe… Hii ni video ambayo watu wengi wameichukulia kama prove ya kuwa hawa jamaa ni wanachama wa Free mason..

 

Ndani ya video wanaonekana watu wengi wakiwa wamekufa, vipande vya miili ya binadam vilivyokatwa-katwa… Rick Ross akifanya mapenzi na mtu…

Added by Teen Newz on December 30, 2010 at 3:30pm — 7 Comments

New Music: Alicia Keys f/ Eve – ‘Speechless’

Nipo katika wakati mpya wa maisha yangu na hisia za tofauti katika maisha yangu yani ni kama huyu mtoto amechukua pumzi zangu” Hayo ni maneno ya mwanadafada Alicia keys katika track yake mpya ambayo amemshirikisha Eve…ngoma inaitwa “Speechless” Alicia keys alitweet nakusema kua ngoma hiyo haitokuepo kwenye…

Added by Teen Newz on December 28, 2010 at 3:00pm — 1 Comment

DMX apelekwa kituo cha watu wenye upungufu wa akili

Japokua anatumikia kifungo cha mwaka mmoja jela rapper Earl Simmons maarufu kama DMX ameingizwa kwenye kituo cha watu wenye matatizo ya akili kwasababu judge anaamini kua DMX atakua anamatatizo ya hayo…rapper DMX hatoruhusiwa kuonana na watu kwa muda wa siku…

Added by Teen Newz on December 28, 2010 at 2:30pm — 5 Comments

Trailer la Movie mpya 50 Cent's inayoitwa 'Blood Out'. itakoyotoka April 2011 mastar walioshiriki ni Val Kilmer, Luke Goss & AnnaLynne McCord [Video]

Rapper mwenye mafanikio makubwa duniani Cartis Jackson a.k.a 50cent azidi kufunika kwenye movie industry this time amejitupia kwenye Movie yake mpya inayoitwa “Blood Out” ambayo itatoka April 2010…Movie hiyo imeshirikisha ma star kama Stars Val Kilmer, Luke Goss & AnnaLynne …..Unaweza kucheki Trailer la Movie hiyo ndani ya Teentz alafu utupie comments…

Added by Teen Newz on December 28, 2010 at 2:30pm — 1 Comment

Boss wa kampuni ya Playboy Hugh Hefner ambae ana umri wa miaka 84 ametangaza ndoa na mwadada Crystal Harris amabae ana Umri wa miaka 24

Hefner and Crystal Harris ni couples ambao wamepishana kwa miaka 60 walianza uhusiano wao mwaka 2008 wakati huo huo Boss huyo wa Playboy bado alikua ana date na mapacha wawili ambao ni Kristina and Karissa Shannon na hati mae kuja kuachana nao January mwaka huu…………Hugh Hefner alimvalisha pete mwadadafada siku ya…

Added by Teen Newz on December 28, 2010 at 11:30am — 9 Comments

Sean Kingstone - Party all night (Video)

Sean Kingstone anakwambia Huu ni mwezi wa kulala siku nzima na kupatii usiku mzima…inbidi twende out of control, tuishi maisha yetu na tuvunje sheria zote…. Ni kupitia ngoma yake mpya inayoitwa Party all night ambayo unaweza kuisikiliza na kucheki video yake ambayo imetoka jana… Kwasababu nyimbo inaitwa Party all night – Sleep all day… kwenye video Sean Kingstone anaonekana akiamka saa nne usiku na kwenda kulala saa nne asubui.. mpango mzima ndani ya…

Added by Teen Newz on December 27, 2010 at 3:06pm — 6 Comments

The show goes on ya Lupe Fiasco.. (Video)

The show goes on ni ngoma mpya na Lupe Fiasco.. ambayo jamaa anahadithia historia ya hustle zake toka azaliwe hadi alipofika hivi sasa, kwenye ngoma kuna sehemu anasema kama wewe ni mshkaji wangu au tunatokea sehemu moja siwezi kukulipisha kufanya kazi na mimi, na kama kuna watu wanasema kuwa Hiphop inaharibu maisha waambie waniangalie mimi…. Kwenye video Lupe Fiasco anaonekana akijicheki kwenye kioo alafu anakua kama vile ahamini kama kweli ni yeye… na baadhi ya sehemu anaonyesha…

Added by Teen Newz on December 27, 2010 at 3:00pm — 3 Comments

Chris Brown kafunguka kuusiana na ishu mbali mbali zilizomtokea kwenye maisha yake kupitia ngoma ya mshkaji wake anayeitwa Chipmunk kutoka pande za Birtish

Chris Brown kafunguka kuusiana na ishu mbali mbali zilizomtokea kwenye maisha yake kupitia ngoma ya mshkaji wake anayeitwa Chipmunk kutoka pande za Birtish…..Ngoma inaitwa Champion...Humo ndani jamaa wanaongelea hule msemo wa “Maneno yanaumba”.. Dogo Chipmunk anakwambia kuwa watu wanashangaa jinsi mafanyikio yake yanavyokuja bila mpangilio wakati walimwambia hatofanyikiwa…..

 

 



Chris brown naye…

Added by Teen Newz on December 27, 2010 at 2:30pm — 3 Comments

Free Download:- Lil Twist - The Takeover (Mixtape)

Added by Teen Newz on December 27, 2010 at 11:25am — 1 Comment

Free Download: Rick Ross – ‘Ashes to Ashes’ [Mixtape]

The holidays just got a little bossier. Ricky Rozay comes down the chimney with his latest mixtape Ashes to Ashes featuring appearances from Drake,Ludacris, Wiz Khalifa, Ne-Yo, and T.I. on the Lex Luger-produced “9 Piece.” Additional production comes courtesy of Boi-1da, J.U.S.T.I.C.E. League, The Inkredibles, and more. Download Ross’ 11-track Christmas present below.

Download:…

Added by Teen Newz on December 27, 2010 at 11:19am — 2 Comments

MONALISA AWEKERA WATEJA BANK

Msanii maarufu wa filamu nchini MONALISA alisababisha taflani kwa wateja ambao walikuwa wanaweka pesa na wengine kuchukua pesa katika bank ya CRDB iliyopo Mbagala Zakhem,hali hii ilitokea pale alipofika bank na kutumia umaarufu wake kama msaanii kwenda moja kwa moja kwa muudumu bila kujali ya kwamba kuna wateja wengine ambao wamepanga foleni na hata alipofika kwa muudumu alichukuwa muda mrefu kutoka hali hii iliashilia kwamba MONALISA anafahamiana na yule mtoa huduma pale BANK kitu ambacho…

Added by ibrahim privatus mkinga on December 27, 2010 at 9:18am — No Comments

Free download : T-Pain – ‘Merry Christmas’ Zawadi ya Christmas kutoka Teentz..

Teentz inawapa ngoma mpya ya T-Pain inayoitwa Merry Christmas kama zawadi ya Christmas ambayo unaweza kuidownload free ndani ya Teentz, Kwenye ngoma T-Pain anawatakia wanawake wote a Happy Holiday na pia anawaomba wanaume wengine wafanye hivyo pia...  So unaweza kuidownload hii ngoma…

Added by Teen Newz on December 24, 2010 at 3:19pm — No Comments

Lawize VS Tale "Nimeibiwa nyimbo na TipTop" - XXL CLOUDS FM LIVE..!

Lawize VS Tale "Nimeibiwa nyimbo na TipTop" - XXL CLOUDS FM…

Added by Teen Newz on December 24, 2010 at 2:00pm — 13 Comments

Zijue channel za nyumbani zinazopatikana kwenye Dish..!!

Mustapha maDish

Kwa mahitaji ya channel za FTA na kulipia,unaweza kutembelea blog ya ngu kwa habari na yote kuhusu hayo....!!

Karibuni sana.

Added by Mustapha E Hanya on December 23, 2010 at 7:57pm — No Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

1999

G5 CLICK - LATEST NEWS


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. Vennessa1

Added by Bestizzo Blogger on June 17, 2013

3. Wema Sepetu 1

Added by Bestizzo Blogger on June 16, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service