
KIPINDI CHA AFYA CHECK CHA CLOUDS TV ,WIKI HII ILIKUWA INAHUSU MIMBA INAYOTUNGA NJE YA UZAZI YAANI ECTOPIC
Added by Teen Newz on May 8, 2013 at 11:25am — No Comments
VIDEO : Jinsi kalapina alivyochezesha kichapo kwa Chid Benz @Maisha Club
Added by Teen Newz on May 7, 2013 at 8:47pm — 2 Comments
Chid Benz : "Neema wa Mitego acha kunitukana kwenye Facebook"
Ki design kama lile beef la Chid Benz na Ney wa mitego halijaisha maana Chid Aliandika kwenye Account yake ya Facebook akidai kutukanwa na Ney wa mitego na haya ndio maneno aliyasema....…

Added by Teen Newz on May 7, 2013 at 9:17am — No Comments
ALICHOKISEMA ZITTO KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA
Februari 20, 2013 niliandika kwenye gazeti la RaiaMwema suala fulani, kufuatia matukio ya kulaaniwa ya #Arusha Leo. Pia kufuatia mijadala inayoendelea kuhusu #Udini nimeona vema nirejee sehemu ya Makala ile;
"Viongozi wamekuwa wakitoa kauli za kugawa wananchi. Kiongozi wa CCM kwa mfano anaposema CUF ni chama…

VIDEO: Rich Gang (Birdman, Nicki Minaj, Lil Wayne, Future, Mack Maine & Detail) - Tap out
Added by Teen Newz on May 7, 2013 at 7:13am — No Comments
KALAPINA AELEZEA SABABU ZA KUMCHAPA CHIDI BENZ JUKWAANI
Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 7:56pm — 3 Comments
VIDEO : RUGE ATIRIRIKA "CHANZO CHA LADY JAYDEE KUNIPOROMOSHEA MANENO NI SKY LIGHT BAND"
Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 7:46pm — No Comments
Baada ya show ya ijumaa Ommy Dimpoz alienda kumshuhudia Messi Ndani ya Nou Camp Barcelona
MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA JIJINI DAR!!
Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache uliopita na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 11 jioni inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawila
Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu…

Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 6:21pm — 3 Comments
Photo of the Day : Mtoto wa Mr Blue akiwa na mama yake Wahyda Byser
Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 6:07pm — 2 Comments
KALI YA LEO: RAISI WA REAL MADRID MWENYE MIAKA 87 MBIONI KUOA MWANAMKE ALIYEMZIDI MIAKA 50 - FAMILIA YAKE YAPINGA
Raisi wa heshima wa Real Madrid Alfredo Di Stefano, ambaye atatimiza miaka 87 mwezi Julai, anatarajiwa kumuona mwanamke mwenye miaka 36 ambaye alimsadia kutaarisha kitabu cha maisha kilichotolewa mwaka 2010. Di Stefano, ambaye amekuwa akipambana na matatizo kadhaa ya afya, amesema…

Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 3:06pm — 2 Comments
PICHA ZA SIKU: DAVID LUIZ AKICHEKA BAADA YA RAFAEL KUPEWA KADI NYEKUNDU

David Luiz akiangua kicheko baada ya kuchezewa rafu na Rafael iliyomfanya mbrazil mwenzie apewe kadi nyekundu
PICHA NYINGINE ZA MATUKIO YANAYOFANANA NA HILI LA LUIZI…

Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 3:05pm — No Comments
AMRI KIEMBA AZIDI KUDHIHIRISHA UMUHIMU WAKE NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA
Kiungo Amri Kiemba alifunga bao moja na kutengeneza moja wakati Simba ilipoisambaratisha Ruvu Shooting kwa mabao 3-1 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika harakati zake za kusaka nafasi ya tatu.
Kiemba alifunga bao lake kwa shuti la umbali wa mita 25 katika dakika ya 14, ambapo Shooting walisawazisha…

Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 3:03pm — No Comments
Sikiliza Interview ya Ruge Mutahaba ndani ya Power Breakfast "Afunguka kuhusu Lady Jay Dee"
Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 1:30pm — No Comments
WIZI MTUPU! ... KULIONA KABURI LA KANUMBA SH. 5,000
Diamond kafa kaoza kwa Pennyl Aanika Hisia zake kwenye Mitandaoni "Facebook & Instagram"
Leo Ikiwa ni Siku ambayo Mwanadada Pennyl anasherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wememtakia maisha mema na kumpongeza kwa wingi Basi Mwanamuziki Anaeshikilia Chat ya Bongo kwasasa Diamond nae hakua nyuma kuonesha…

Added by Teen Newz on May 4, 2013 at 10:30am — 7 Comments
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 YAFUTWA, MITIHANI KUSAHIHISHWA UPYA
Added by Teen Newz on May 4, 2013 at 10:08am — No Comments
BRAKING NEWS:MFANYABIASHARA AJITUPA TOKA GHOROFA YA TISA MPA CHINI KARIAKOO MDAA HUU
Muda mfupi uliopita,Mtu mmoja alietambulika kwa Jina la Shirima ambaye ni Mfanyabiashara katika moja ya Maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,amejirusha toka ghorofa ya 9 ya Hoteli ya Concord iliopo Maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na amekimbizwa hospitali kwa uangalizi zaidi maana haijafahamika kama kapoteza Maisha au bado…

WYCLEF AZUNGUKA MITAA YA NYC NA GITAA LENYE UMBO LA SILAHA AINA YA AK-47
2013
2012
2011
2010
1999
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.