
LEO IKIWA NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA AJALI YA MV BUKOBA,KALLA JEREMIAH KAKUANDIKIA UJUMBE HUU
kESHO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA may 21. LAKINI KWA KUWA TAREHE HIYO NI SAWA NA TAREHE ILIYOTOKEA AJALI KUBWA ILIYOUA WATANZANIA WENGI KATIKA ZIWA VICTORIA AJALI YA MV BUKOBA. NA KWA KUWA MWAKA HUU NILIENDA KUSAFISHA MAKABURI YA WAHANGA HAO. MOJA KATI YA MIKAKATI NILIYOJIWEKEA…

Added by Teen Newz on May 21, 2013 at 2:00am — No Comments
NEED FOR SPEED??NAY WA MITEGO ALIVYOKUWA AKIDRIVE KWA KASI KUIWAHI SHO YAKE NA DIAMOND
Pengine Rapper Nay alikuwa na shauku sana na show yao hiyo na mpinzani wake wa mziki gani,Diamond ama pengine alikuwa akijali mda aliopaswa kuwa eneo la tukio.
Gari ya Nay ni hiyo Mark X nyeusi
Added by Teen Newz on May 21, 2013 at 2:39am — No Comments
MRISHO NGASA ATAMBULISHWA RASMI YANGA
FISTULA - MWASITI, VUMILIA ,DAYNA, RECHO, THE TRIO, LINAH, MAUNDA ZORRO, MENINAH, FEZA KESSY, KEYSHA, VIDA, PIPI, VANESSA MDEE, QUEEN DARLEEN, ZUHURA, BABY J, SUNDY GAGA
Added by Teen Newz on May 20, 2013 at 8:30am — No Comments
VIDEO&PICHA:HIVI NDIVYO WEUSI WALIVYOMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX MAISHA CLUB
Added by Teen Newz on May 20, 2013 at 4:30am — No Comments
VIDEO&PICHA:HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SHOW YA NAY WA MITEGO VS DIAMOND DAR LIVE
Added by Teen Newz on May 19, 2013 at 4:30am — 2 Comments
MOJA YA SABABU KWA NINI USITUMIE SIMU WAKATI UNA DRIVE
Added by Teen Newz on May 18, 2013 at 4:30pm — No Comments
BIRTHDAY YA BABA JONII:SWALA ZIMA LA KEKI LILIKUWA HIVI.....
Added by Teen Newz on May 16, 2013 at 1:30am — 2 Comments
KWA MARA NYINGINE,BILL GATE NDIYE TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI
PICHA:SIKU TAIFA STARS ILIPOCHEZA MECHI YA KIMATAIFA WAKIWA VIFUA WAZI

HII NDIO ILIMFANYA BABA WA TAIFA AKATAE MIALIKO YA MECHI ZA SOKA.1974?? TANZANIA vs SUDAN.ANAEKAGUA TIMU NI RAIS NIMEIRI WA SUDAN.HAO NI TAIFA STARS .NAHODHA NI ABDULRAHMAN JUMA KUTOKA KUSHOTO NI CHUMA,ZIMBWE WENGINE HAWAONEKANI VIZUR
Added by Teen Newz on May 17, 2013 at 4:30pm — 3 Comments
TAZNEEM SHE IS BACK
Mala ya kwanza tulipomskia na kumwona kwenye kichupa chake cha KWASA KWASA,ni wachache waliomfahamu,pamoja na kufanya poa sana na kwasa kwasa Ghafra dada yetu akapotea,hakuonekana wala kusikika tena.
Jina lake la serikali anaitwa Tazneem Tarmohamed,jukwaani tunamfaham kama Tazneeem,mrembo mtanzania mwenye…

SPACK:MWANAMZIKI NA ACTOR ANAYEHESHIMIKA NCHINI RWANDA
Spack akiwa Tanzania na meneja wake
Anaitwa Spax Mselem but in Rwanda anafahamika zaidi kama Spack,ni moja ya wanamuzic wenye big name na heshima nchini Rwanda
na sasa yuko Kwa Jakaya kwa Rengo la kukuza mziki wake…

Added by Teen Newz on May 16, 2013 at 2:30pm — 6 Comments
EXCLUSIVE:LINA NA AMINI WAMERUDIANA
pengine msemo wa true love never die utakuwa unawahusu sana Linah na Amin,ambao couple yao ilimake headline sana baada ya kuvunjika miezi kibao iliyopita na kila mmoja ku move on na mahusiano mengine ambapoinafahamika kuwa kuwa Linah ana mchumba wake na wataoana soon lakini siku za karibuni ukaribu wa hawa…

Added by Teen Newz on May 16, 2013 at 1:38pm — No Comments
YOU HEARD : JACKLINE WOLPER NA ALI KIBA WAKUTWA WAKI NONIHINO NDANI YA GARI / INASEMEKANA LAKINI
Taarifa ambazo zilifika mezani kwa muhariri wa Gazeti la makorokocho, kutoka chanzo kitakatifu zinasema kuwa eti mwanadada Jackline Wolper pamoja na Ali Kiba weekend iliyopita wakati wakiwa kwenye mechi kati ya wasanii wa Bongo Movie na Taswa, iliyofanyika pande za chang'ombe wawili hao walipigiwa chabo wakati…

Added by Teen Newz on May 16, 2013 at 7:53am — 5 Comments
BAADA YA UK TOUR&CONGO DIAMOND YUKO STUDIO AKIANDAA TRUCK MPYA
Diamond ni hard worker&hard working siku zote hulipa,Baada ya ziara ya UK then Congo&Burundi
amerudi leo siku ya jumatano and TEENTZ imeongea nae usiku huu na kusema yuko studio akipika mzigo mwingine
mpya ,kumbuka kwa mwaka huu kesha achia single mbili zinazofanya vizuri Ukimwona&mapenzi…

Added by Teen Newz on May 15, 2013 at 11:30am — 3 Comments
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.