TEEN TZ

Featured Blog Posts (1,821)

Album ya Nicky Minaj "PINK FRIDAY" imekamata namba 1 kwenye chati za USA

Mwanadada ambae kwasasa ni topic kwenye kila media kwa kuwawakilisha wanadada wote duniani kwenye upande wa rap na kuimba…..hapa na mzungumzia the diva kutoka young money mwadada Nicky minaj leo mapema asubui kupitia mtandao wa twitter aliwashkuru ma funs wake kwa kumsupport kwakua Album yake ya PINK…

Added by Teen Newz on February 2, 2011 at 3:30pm — 1 Comment

Mariah Carey na Nick Cannon wanategemea kupata watoto mapacha

Na nadhani hakuna asiejua kuhusiana na mwanadadiva Mariah Carey kua ana uja uzito wa na Nick Cannon sasa ni kwamba wapenzi hao wametangaza kua wanategemea kupata watoto mapacha tena mtoto wa kiume na wakike kitu ambacho walikua wanatamani siku zote…

Added by Teen Newz on February 2, 2011 at 3:00pm — 3 Comments

Jaffarai amebwaga uhusiano wake wa kimapenzi na Shyrose Bhanji

Si muda msanii wa kizazi kipya Jaffarai a.k.a Jaffarhymes ameandika status kwenye Facebook yake kuhusiana na kubwagana na Shyrose Bhanji ambao wamekua kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 mtu mzima jaffarai aliandika hivi…

Added by Teen Newz on February 1, 2011 at 12:30pm — 21 Comments

Ukitaka kujua nini kinachelewesha Album ya T-Pain inayoitwa “Revolver” muulize Drake

Ukitaka kujua nini kinachelewesha Album ya T-Pain inayoitwa “Revolver” muulize Drake….hii ni baada ya T- Pain kuandika kwenye tweeter na kuwataarifu ma funs wake kua Album yake hiyo imekamilika kabisaaaa ila kinachosubiriwa ni Verse ya Young money Rapper mtu mzima…

Added by Teen Newz on February 1, 2011 at 3:00pm — 1 Comment

Diddy amwaga billion moja za kibongo kwenye Birthday party ya Ricky Ross

Kama huwezi kuamini utakachokisikia basi kajionee mwenyewe ndani ya Teentz…Ni kwamba ki design kama kuna watu wengine wana hela mpaka hawajui wazifanye nini…hii ni kuhusiana na birthday party ya mtu mzima ricky ross iliofanyika juzi tarehe 31st/jan/2011 katika ukumbi wa Kings of Diamonds ilikua ni bonge moja la party ma star kibao walialikwa akiwemo Busta Rymes,Red cafe, Pharel Williams na wengine kibao ila alie funika kuliko wote ni mzee mzima diddy…

Added by Teen Newz on February 1, 2011 at 3:00pm — 7 Comments

Lady Gaga anafatilia mchongo wake wakutoa perfume inayonukia harufu ya damu na sha**wa

Ki design kama siku baada ya siku wanadada lady gaga anazidi kuongeza vituko vya kuwashangaza watu kwa matukio anayoyafanya….sasa hii ni kali eti wanadada huyo kwasasa anafatilia mchongo wake wa kutengeneza perfume yake mpya ambayo itakua inanukia harufu ya damu ya binadamu na sha**wa za mwanaume…

Added by Teen Newz on February 1, 2011 at 2:30pm — 4 Comments

Justin Beiber atangaza kutoa Rmx ya ngoma zake zote

Justin Beiber atangaza kutoa Rmx ya ngoma zake zote kutoka kwenye Album yake ya Never say never ambapo itakua ni album ambayo inangoma saba ila zote ni Rmx….humo ndani amashirikishwa Kanye West, Raekwon, Usher, Miley Cyrus, Jaden Smith, and Rascal Flatts….Album hiyo itatoka siku ya Valentine’s…

Added by Teen Newz on February 1, 2011 at 2:55pm — 1 Comment

New Music: Sean Kingston f/ Akon – ‘You Girl’

Kama huwezi kuamini utakachokisikia basi kajionee mwenyewe ndani ya Teentz…Ni kwamba ki design kama kuna watu wengine wana hela mpaka hawajui wazifanye nini…hii ni kuhusiana na birthday party ya mtu mzima ricky ross iliofanyika juzi tarehe 31st/jan/2011 katika ukumbi wa Kings of Diamonds ilikua ni bonge moja la…

Added by Teen Newz on February 1, 2011 at 2:30pm — 1 Comment

Wiz Khalifa – On My Level Ft. Too Short [Video]

Wiz khalifa a.k.a Young khalifa is back again na kitu kinaitwa “on my level” … Humo ndani Wiz Khalifa anaongelea mambo anayofanyaga akiwa sehemu za bata na shanpeni ikimpanda kichwani mixer kitu cha kush…. Anakwambia yeye anakunywaga kwenye chupa atumii glass…. Na sheria yake ya bata ni usikimbilie bar kama hauna pesa… Anaelezea jinsi anavyopataga tabu kutafuta funguo za gari ukifika mda wa kwenda home baada ya kupata…

Added by Teen Newz on January 31, 2011 at 4:30pm — No Comments

Majibu ya Lil Wayne kuhusiana na mwili wa Nicky Minaj

Kuna utata unaendelea kuusiana na mwili wa mwanadada Nick Minaj….. eti wanasema ni wa kichina….. cheki video ujue lil wayne…

Added by Teen Newz on January 31, 2011 at 4:30pm — 2 Comments

Eti Nicky Minaj ni Boss wa Drake

Maswali kibao yanaendelea kuzuka juu ya uhusiano kati ya Nick minaj na Drake … Eti juzi Nick minaj akiwa kwenye enterview na MTV aliulizwa ilikuaje akapata colabo na Drake kwasababu Drake ni mmoja wa wasaniii ambao wako busy sana….. Nick minaj akajibu akisema : Mimi ndio Nick minaj, Bosi wa Drake….…

Added by Teen Newz on January 31, 2011 at 4:00pm — 12 Comments

T-pain kajipiga tattoo ya Facebook.....



T-Pain. The Auto-Tune King ameonesha mapenzi yake na mtandao wa Facebook kwa kujitupia kitu cha tatoo kwenye mkono wake nakuandika "You Don't Have to Like Me" maneno ambayo kwa chini yake ameweka ki button cha…

Added by Teen Newz on January 31, 2011 at 4:00pm — 4 Comments

Bongo Access new show on Clouds Tv

Kutana na Caesar Daniel, katika bongo access show mpya itakayokupeleka matamashani, inakujia on clouds tv kuanzia tar 1st january 2011, kila siku ya jumanne saa 3:30 usiku. U better be there or…

Added by Teen Newz on January 31, 2011 at 3:30pm — 4 Comments

Cheki ndoa ya Drake na Nick Minaj kwenye video hii mpya " Moment for life "

Drake na Nick Minaj wamefunga ndoa Kupitia video ya ngoma inayoitwa moment for life ambayo mwana dada Nick Minaj kamshirikisha Drake… Humo ndani Nick anakwambia kuwa yeye anaamini kuwa maisha ni zawadi na kuishi haimaanishi kuwa upo hai……

Added by Teen Newz on January 28, 2011 at 4:30pm — 32 Comments

Ngoma mpya kutoka kwa Snoop Doggy - " It's da only thing "

Snoop Dogg ak.a Snoop -D-O- Double G is back kwenye game Ladies n Gentleman …. Na ngoma ambayo yeye anaiita wimbo wa taifa inayoenda kwa jina la IT’S DA ONLY THING… kutoka kwenye album yake mpya itayoitwa Doggumentary ……, Kwenye hii…

Added by Teen Newz on January 28, 2011 at 4:39pm — No Comments

P.Diddy anadaiwa faini ya Dollar Trillion 1 za kimarekani...

Kuna mwanamke pande za U.S kampereka P.Diddy mahakamani na kudai faini ya Dollar Trillion Moja za kimarekani….kwa pesa ya kibongo inabidi ubadilishe mwenyewe hapo… Mwanamke huyo anadai kuwa yeye na watoto wake walibakwa na P.Diddy akiwa na watu wake miaka 24 iliyopita…  FULL…

Added by Teen Newz on January 28, 2011 at 4:34pm — 2 Comments

50cent aelezea mafuns wake kuusu beef lake na Cam'ron

50CENT ni msanii ambaye kausika kwenye beef na wasanii kibaooo…… kuanzia Ja Rule hadi Fat Joe…. Kupitia interview aliyofanya na MTV juzi kati alisema kuwa katika watu wote aliokuwa na beef nao ambaye amchukii ni…

Added by Teen Newz on January 28, 2011 at 4:00pm — 15 Comments

Lil Kim anatoka na kitu cha Black Friday "MIXTAPE"

Mwanadada Lil Kim anaendeleza beef lake na Nick Minaj…. Alianza na ngoma inayoitwa Black Friday …akaja na Video na sasa ni kitu cha Mixtape…ambayo itatoka siku ya Valentine’s Day. 2/14/11...“Black Friday the mixtape – 2/14/11- WHO THE F*** WAR? #ItsBlackFridayHoe LEGOOOO!!!!! hayo ni maneno ya lil kim…

Added by Teen Newz on January 27, 2011 at 4:00pm — 2 Comments

Jennifer Hudson na yeye anaabudu majini

Nadhani ishu ya Jay Z,Kanye west na lady gaga kujihusisha na ishu za kuabudu majini sio ngeni masikioni kwetu….sasa mpya ni kuwa mwanadada Jennifer Hudson naye anausika…na ni yeye mwenyewe ambaye anatangaza hayo…

Added by Teen Newz on January 27, 2011 at 4:00pm — 3 Comments

Latest Activity

Fiona zuma posted a status
7 minutes ago
Fiona zuma posted a status
9 minutes ago
Tee Producer{Kenya} posted songs
10 minutes ago
Hattie Mercado posted a status
43 minutes ago


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

3. zz

Added by Erick Emmanuel on May 20, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service