TEEN TZ

Featured Blog Posts (1,912)

HAYA SASA MBONA... MAJANGA!

Na Waandishi Wetu

HUKU mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Langa Mangisen Kileo akitarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni, Dar, Ijumaa Wikienda limebaini kuwa…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:49pm — No Comments

IDD AZAN, HALIMA MDEE WAJIANDAA KUWAKABILI WOLPER NA JB

Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:47pm — No Comments

KUSEMA KWELI BAJETI HII HAINA NAFUU KWA MWANANCHI WA KAWAIDA

TUMSHUKURU Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku hii. Hakika Mungu ni mwema na anatupenda sana ndiyo maana tupo hapa leo.

Ndugu zangu, leo nitaizungumzia Bajeti ya Serikali ya Tanzania ambayo iliwasilishwa Bungeni wiki iliyopita ikieleza …

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:42pm — 1 Comment

TAHARUKI BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KATIKA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA

TAHARUKI BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KATIKA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:40pm — No Comments

WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO FT SHEBBY-LOVE SIPATI

Added by Teen Newz on June 17, 2013 at 1:24pm — No Comments

VIDEO:FA AKIPERFOM YALAITI KWENYE THE FINEST

Added by Teen Newz on June 15, 2013 at 6:40am — 5 Comments

VIDEO:FA AKIPERFOM UNANITEGA KWENYE THE FINEST

Added by Teen Newz on June 15, 2013 at 6:37am — 3 Comments

BREAKING NEWS: MSANII WA HIP HOP LANGA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS: MSANII WA HIP HOP LANGA AFARIKI…

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 6:33pm — 19 Comments

KURUDIANA KATI YA AMINI NA LIHAH,AMIN ALIONGOPA AMA WAMEPIGANA CHINI TENA.?

Week chache zilizopita mtu mzima Amin aliongea exclusive  teentz na kusema kuwa yeye na dada etu Linah wameludiana kimapenzi,ingawa side B kwa upande wa Linah hakusema chochote kuhusu ishu hiyo

kupitia instagram Fineassgirl aka Masogange amepost picha ya Linah na Mshikaji anayemwita kaka .picha na maelezo vikionyesha hawa wawili tayari wana mchezo wa i love you,i love you too

 …

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 4:00pm — 6 Comments

NEW MUSIC VIDEO:VANESSA MDEE-CLOSER

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 12:44pm — 2 Comments

Teenspot magazine has forthwith changed its name to Onspot Magazine.

As a measure geared towards improving the magazine,

Teenspot magazine has forthwith changed its name to Onspot Magazine.…

Added by Teen Newz on June 13, 2013 at 7:58am — 4 Comments

BRAND NEW VIDEO:BEN POL-JIKUBALI

Added by Teen Newz on June 11, 2013 at 12:08pm — 6 Comments

PICHA : KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013

Added by Teen Newz on June 10, 2013 at 1:00pm — 5 Comments

Bollywood Actress, "Jiah Khan" ajiua sababu ya mapenzi

Muigizaji maurufu ambae ni mmoja kati ya wanadada warembo nchini India anaejulikana kama "Jiah Khan" amekutwa amekufa juzi kwa kujiua baada ya kujua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine....

Mama yake na Khan amesema kua alirudi na kukuta mwili wa mtoto wake akiwa ameshakufa huku Police wakiwa bado…

Added by Teen Newz on June 7, 2013 at 10:30am — 2 Comments

Umati wa watu wamzika Albert Mangwear

Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.…

Added by Teen Newz on June 6, 2013 at 7:03pm — 1 Comment

APOTEZA FAHAMU AKIUAGA MWILI WA MANGWEHA MORO

Mrembo aliyepoteza fahamu akipatiwa huduma ya kwanza.…

Added by Teen Newz on June 6, 2013 at 6:30pm — No Comments

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service