TEEN TZ

All Blog Posts Tagged '–' (88)

Video: Rihanna f/ Mikky Ekko – ‘Stay’

Added by Teen Newz on February 12, 2013 at 10:30am — 1 Comment

50 CENT AACHIA VIDEO MPYA ( ft Kidd Kidd – ‘OJ’)

Kiongozi wa kundi la G-Unit ,50 cent aachia video mpya ya nyimbo yake aliyomshirikisha msanii Kidd Kidd iitwayo OJ.Nyimbo hiyo ya Oj ipo kwenye mixtape yake mpya iitwayo "The Lost Tape".Kwenye video hiyo anaonekana yupo kifungoni na maisha ndani ya…

Added by Teen Newz on June 12, 2012 at 12:12pm — No Comments

New Music: Meek Mill – ‘Dreamchasers 2’ [Mixtape]

Dreamchasers 2

Added by Teen Newz on May 8, 2012 at 10:30am — No Comments

Video Mpya: French Montana f/ Diddy & Rick Ross – ‘Shot Caller (Remix)’

Msanii kutoka Bad Boys Entertainment ,French Montana aachia kioo kipya cha nyimbo yake ya Shot Caller remix.Ambapo ndani ya pini hiyo kamshirikisha Diddy na Rick Ross.Video hiyo imefanywa na Colin Tilley.

Added by Teen Newz on February 22, 2012 at 9:19am — No Comments

Video Mpya: Rick Ross – ‘High Definition’

Rick Ross ,msanii kutoka Maybach Music aachia video ya nyimbo yake mpya inayoitwa "High Definition" ambayo inapatikana kwenye mixtape yake mpya inayobebwa kwa jina la "RICH FOREVER".Ndani ya kioo iko kipya kuna wasanii mbalimbali kama Pharrell, Timbaland na Wale.

Added by Teen Newz on February 22, 2012 at 9:09am — No Comments

Album Cover: T-Pain – ‘REVOLVER’



Mzee wa ma Auto-Tune mtu mzima T-Pain ameachia cover ya Album yake mpya ya nne inayoitwa rEVOLVER. ambapo kwenye cover hilo linaonesha picha za T-Pain wa tano tofauti ambazo ni kama kitambulisho cha Style zake tano tofauti anazotumiaga kwenye ngoma zake ikiwemo kama Uwezo wake wa…

Added by Teen Newz on October 18, 2011 at 2:00pm — 5 Comments

New Music: Justin Bieber – ‘How to Love RMX"

Lil Wayne and Justin Bieber
Young star Justin Bieber nae amedhirisha ni jinsi gani anaikubali Album mpya ya mtu mzima kutoka YMCMB rapper Lil wayne kwa kufanya RMX ya ngoma ya rapper huyo ambayo kwasasa ina hit kwenye chat kibao za media tofauti duniani Justin Bieber amerudia track inayoitwa "How to Love" kutoka kwenye Album inayoitwa Carter IV ambayo imetoka siku wiki chache zilizopita Umundani ya ngoma hiyo dogo Justin ameonesha uwezo wake wa kuimba na ku rap kama mtu mzima…

Added by Teen Newz on September 29, 2011 at 2:59pm — 4 Comments

Ujio mpya wa Bow Wow – ‘I’m Better Than You’ [Mixtape]

I'm Better Than You

 Rapper ambae kwasasa anapeperusha bendera ya YMCMB mtu mzima Bow wow amerudi tena na Bonge la Mixtape ambayo inaitwa 'I'm Better Than You' mzigo ambao yeye amaemua kuufannya kama utangulizi kabla ya Album yake ambayo inatarajiwa kudondoka sokoni December 6 ya mwaka huu Bow wow amesema kwenye Mixtape hiyo kuna track 11 na zote ni kali ikawamu kupiga Collaboration na Rafiki yake kipenzi Chris Brown na…

Added by Teen Newz on September 28, 2011 at 10:09am — No Comments

Tracklisting: Game – ‘The R.E.D. Album’

The R.E.D. Album

 

Leo katika teentz.com inakuletea list ya track zilizopo kwenye Album mpya ya mtu mzima The Game ambayo inaitwa ‘The R.E.D. Album’ yenye track 21 ambapo humo ndani wameshirikishwa wakali kibao kama Lil Wayne, Drake, Young jeezy, Chris Brown, Nelly Furtado pamoja na Dr Dre……Album hiyo itaanza kuonekana kwenye mitandao kwanzia tarehe 23 ya mwezi huu wa 8…..................................

 

The R.E.D. Album Tracklisting......



1. “Dr.…

Added by Teen Newz on August 10, 2011 at 3:00pm — 7 Comments

Video: Young Jeezy f/ Lil Wayne – ‘Ballin”

Added by Teen Newz on July 11, 2011 at 3:08pm — No Comments

Video: Lady Gaga – ‘The Edge of Glory’

Added by Teen Newz on June 17, 2011 at 4:04pm — No Comments

New Music: 50 Cent – ‘Outlaw’

50 Cent
50 Cents amerudi tena kwenye speakers zako na kitu cha "Outlaw" hii ni ngoma yake mpya ambayo ndo inatambusha Album yake ya tano ambayo anategemea kuitoa hivi karibuni....kwenye nyimbo hii mtu mzima kama kawaida yake amediss watu kibao yani ukisikiliza vizuri utajua kabisa watu ambao amewadiss japokua hajawataja majina yao ni bonge la ngoma yani huu ndio ujio wa 50cents watu waliokua wanasubiria sikiliza track hii alafu tupia comment yako unazungumziaje kuhusu ujio…

Added by Teen Newz on June 17, 2011 at 3:59pm — 3 Comments

Video: Chris Brown f/ Justin Bieber – ‘Next 2 You’

Chris Brown ameachia video yake mpya ya ngoma ambayo ipo kwenye Album yake mpya inayoitwa F.A.M.E...R&B superstar huyu ameunganisha nguvu zake yeye na Justin beiber dogo ambae kwasasa level yake katika music haishkiki....katika video hii madogo wanaonekana kama ni watu waliokua wakipendana sana na wapenzi wao na kisha ghafla yanatokea maafa makubwa ambayo yanawasababisha kupoteana na wapenzi wao hao ndipo hapo Chris Brown anaonekana akiwa anamtafuta demu…

Added by Teen Newz on June 17, 2011 at 3:46pm — 3 Comments

Video: Rihanna – ‘Man Down’

Added by Teen Newz on June 1, 2011 at 12:00pm — 6 Comments

Jason Derulo – ‘Don’t Wanna Go Home’

Jason Derulo amerudi tena kwa style tofauti naposema style tofauti amini ni kitu ambacho hajawahi kufanya na vilevile ni kipya katika muziki huu sasa hivi….wasanii wengi wa Rn’B duniani wamekua wakionesha uwezo wao wakudance katika video zao tena wengine wemeonekana kua ni wakali vibaya sanaaaaa ila Jason Derulo video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Don’t Wanna Go Home’ imefunika video zote manaake ndani ya video hiyo ameonesha uwezo wake wa kucheza mpaka…

Added by Teen Newz on May 24, 2011 at 3:30pm — 2 Comments

Ngoma mpya kutoka kwa Fat Joe – ‘Drop a Body’

"Mungu mbariki mtu anayehukumia kifungo akiwa amezungukwa na watu, Asante mungu kwa pesa na wanawake unaonipa, kama kwenye mawingu kungekuwa na chumba basi ningepangisha, fungua shanpeni tushereke kuishi maisha"

 

Ni mistari kutoka kwenye ngoma mpya iliyoingia kwenye Teentz.com dakika chache zilizopita…

Added by Teen Newz on May 19, 2011 at 3:38pm — 10 Comments

Video: Rihanna – ‘California King Bed’

Added by Teen Newz on May 10, 2011 at 1:00pm — 3 Comments

Latest Activity

Katherine C Lee posted a status
6 minutes ago
gamesplayfull posted a status
""
17 minutes ago
PAULO URIOH commented on Teen Newz's blog post DIAMOND:HIZI NDIZO SABABU KWA NINI NAFANYA VIZURI
28 minutes ago
sumon sr posted an album

GP2 Monaco 2013 Qualifying Live Streaming Online,

GP2 fans and supporters around the globe watch GP2 Circuit de Monaco, Monaco 2013 2013 Live Streaming Online. GO THE LINK BELOW TO GET LIVE TV…
39 minutes ago


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

3. zz

Added by Erick Emmanuel on May 20, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service