
SAJUKI: SASA NIKO POA , HII NDIYO NGOMA YANGU MPYA
Ni kitambo sasa tangu kuwepo kwa taarifa kuwa staa wa Bongo Movie, Juma Kilowoko, 'Sajuki' ni mgonjwa , huku pia taarifa za karibuni zikidai kuwa hali ya nyota huyo bado ni tete na kuzua hofu kubwa kwa mashabiki wake.
Kupitia teentz.com pekee taarifa rasmi ni kuwa hali nyota huyo kwa sasa ni…

Added by Teen Newz on October 30, 2012 at 2:30pm — 1 Comment
AUNTY EZEKIEL SASA MKE WA MTU
Picha Mbali Mbali zikionyesha Aunty Ezekieli Akiwa ndani ya Shela ya Arusi ya Kiislam ..Bi Dada ndio Kashaolewa hivyo ..Hongera zake sana Tunawatakiwa maisha mema yeye na Mume Wake ...Safiiiiiiiiiiiiii…




Added by Teen Newz on October 19, 2012 at 1:01pm — 10 Comments
TEMBA SASA ATOKA NA NYOTA NDOGO

MSANII wa muziki kizazi kipya bongo Mh. Temba asema kuwa anatarajia kutoa ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nawachangaya’, huku akiwa amefanya na wasanii Nyota Ndogo na Bob Mapesa kutoka Kenya.
Temba alipozungumza juu ya ujio wa albamu yake ya nne aliyoipa jina la ‘Ufisadi, Maradhi na Ujinga’, ndipo alitoa ishu hiyo ambapo anaamini kuwa ujio wa ngoma hiyo ndiyo hatua ya mwisho ya kutoka kwa albamu yake.
Alisema kuwa ameamua kuwapa shavu wasanii hao…

Added by Teen Newz on September 26, 2012 at 1:21pm — No Comments
UWOYA SASA MATAWI YA JUU ZAIDI

WAKATI msanii Irene Uwoya akiendelea kufanya mchakato wa kutaka kushiriki kwenye filamu za kimataifa, tayari inadaiwa kuwa anatarajia kula shavu kubwa ambalo hajawahi kuliota la kushiriki filamu moja na msanii maarufu Halle Berry kutoka marekani.
Halle Berry ni moja ya wasanii mahiri kabisa ambao wana uwezo mkubwa kwani ameweza kuonesha uwezo wake kwenye filamu kama ‘Die Another Day’, Catwoman, New Year’s Eve, Monster’s Ball na nyingine nyingi.
Ishu ya Uwoya…

Added by Teen Newz on September 25, 2012 at 11:44am — 3 Comments
PHD SASA 'AMTAKA' JACK WA CHUZI
BAADA ya msanii wa filamu Jackline Pantezel ‘Jack wa Chuzi’, kuwatetea wanawake juu ya kuchukuliwa kama samaki na msanii Hemed Suleiman ‘P.H.D’ sasa staa huyo naye ameamua kufunguka na kudai kuwa hakupanga kutembea na mwanadada huyo lakini sasa ajiendae kutoka naye kwani amejipendekeza kwa kuzungumzia…

Added by Teen Newz on September 9, 2012 at 1:18pm — 19 Comments
DIAMOND SASA KUIMBA TAARABU
BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab.
Diamond alisema Jijini Dar es Salaam wiki hii kuwa,amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na…

Added by Teen Newz on July 31, 2012 at 1:30pm — 15 Comments
ZANTEL SASA INTERNET YA 3G NI MWENDO MDUNDO

Added by Teen Newz on May 12, 2012 at 2:07pm — No Comments
RATIBA YA MAZISHI YA MSANII STEVEN KANUMBA ILIYOTUFIKIA MPAKA SASA
Mwili wa marehemu Steven Kanumba utachukuliwa kwa msafara kutoka Hospitali ya Taifa, Muhimbili saa 2:30 asubuhi. Utapitishwa Barabara ya Umoja wa Mataifa na Ali Hassan Mwinyi hadi Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni ambako Misa ya kumuombea itasomwa pamoja na salamu mbalimbali kabla ya watu wote…

Added by Teen Newz on April 9, 2012 at 9:59pm — 5 Comments
2013
2012
2011
2010
1999
Na Chande Abdallah
MSANII wa maigizo, Salma Jabu ‘Nisha,’ amedaiwa kuwatosa watoto yatima waliokuwa wakimsubiri baada ya kuweka ahadi kuwa angekwenda kuwatembelea na kuwapa msaada.…
Added by jenry jeny on May 20, 2013
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.