
VIDEO:MAELFU YA WATU WAKIGOMBANIA TSHIRT YA DIAMOND
Added by Teen Newz on May 24, 2013 at 7:00pm — No Comments
HII NDIYO BARABARA YA HATARI ZAIDI DUNIANI
Added by Teen Newz on May 24, 2013 at 1:24pm — 3 Comments
WEUSI KUJA NA N.G.O YA KUKUZA KIWANGO CHA UFAULU NCHINI
Hakuna ambaye hakuguswa na matokeo mabaya ya kidato cha nne Tanzania.na pengine ndiyo sababu iliyowafanya team nzima ya Weusi kampuni kuja na wazo ambalo kama watanzania wote wenye nafasi watakuwa na mawazo kama hayo,elimu nchini itakuwa kwa level zingine kabisa…

Added by Teen Newz on May 24, 2013 at 12:30pm — 3 Comments
VIDEO:MAELFU YA WATU WAKIGOMBANIA TSHIRT YA DIAMOND
Added by Teen Newz on May 24, 2013 at 12:38am — No Comments
SHOW YA KWANZA YA SPAX HII HAPA
Bila shaka unakumbuka tulikuletea story kumhusu Spax actor na mwanamziki mwenye big name nchini Rwanda
ambapo yupo nchini kujsambaza mziki wake na watanzania wajue nini anafanya,sasa basi jumapil hii kwa mara ya kwanza atafanya show nchini,entrance ikiwa ni 6000 za kitanzania
usipange…

Added by Teen Newz on May 23, 2013 at 12:13am — No Comments
AZAM KULETA BOTI MPYA YA KISASA
Kampuni ya Azam Marine inatarajia kuleta boti mpya ya kisasa itakayoitwa Kilimanjaro 4,nchini, kuanzia ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 700 na kutumia muda wa dakika 70 kwa safari moja ya kati ya Zanzibar na Dar es Salaam. boti hii itakidhi mahitaji ya wasafiri wa eneo hili kwa kuwa inabeba sifa…

Added by Teen Newz on May 22, 2013 at 4:30pm — No Comments
DIAMOND NA NAY WA MITEGO KUPAMBANA TENA NDANI YA MAISHA CLUB
Baada ya mpambano kufanyika Dar live kumtafuta nani anafanya mziki wa kweli between hip hop na wale mchele mchele(bongo fleva)na kukosekana mshindi ishu nzima inahamia Maisha club,show ikiwa tofauti kabisa na zilizopita,hapa kutakuwa na black carpet kwa Hip hop wakiongozwa na Nay wa mitego,pembeni white…

Added by Teen Newz on May 22, 2013 at 2:00pm — No Comments
LEO IKIWA NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA AJALI YA MV BUKOBA,KALLA JEREMIAH KAKUANDIKIA UJUMBE HUU
kESHO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA may 21. LAKINI KWA KUWA TAREHE HIYO NI SAWA NA TAREHE ILIYOTOKEA AJALI KUBWA ILIYOUA WATANZANIA WENGI KATIKA ZIWA VICTORIA AJALI YA MV BUKOBA. NA KWA KUWA MWAKA HUU NILIENDA KUSAFISHA MAKABURI YA WAHANGA HAO. MOJA KATI YA MIKAKATI NILIYOJIWEKEA…

Added by Teen Newz on May 21, 2013 at 2:00am — No Comments
VIDEO&PICHA:HIVI NDIVYO WEUSI WALIVYOMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX MAISHA CLUB
Added by Teen Newz on May 20, 2013 at 4:30am — No Comments
VIDEO&PICHA:HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SHOW YA NAY WA MITEGO VS DIAMOND DAR LIVE
Added by Teen Newz on May 19, 2013 at 4:30am — 2 Comments
MOJA YA SABABU KWA NINI USITUMIE SIMU WAKATI UNA DRIVE
Added by Teen Newz on May 18, 2013 at 4:30pm — No Comments
PICHA:SIKU TAIFA STARS ILIPOCHEZA MECHI YA KIMATAIFA WAKIWA VIFUA WAZI

HII NDIO ILIMFANYA BABA WA TAIFA AKATAE MIALIKO YA MECHI ZA SOKA.1974?? TANZANIA vs SUDAN.ANAEKAGUA TIMU NI RAIS NIMEIRI WA SUDAN.HAO NI TAIFA STARS .NAHODHA NI ABDULRAHMAN JUMA KUTOKA KUSHOTO NI CHUMA,ZIMBWE WENGINE HAWAONEKANI VIZUR
Added by Teen Newz on May 17, 2013 at 4:30pm — 4 Comments
YOU HEARD : JACKLINE WOLPER NA ALI KIBA WAKUTWA WAKI NONIHINO NDANI YA GARI / INASEMEKANA LAKINI
Taarifa ambazo zilifika mezani kwa muhariri wa Gazeti la makorokocho, kutoka chanzo kitakatifu zinasema kuwa eti mwanadada Jackline Wolper pamoja na Ali Kiba weekend iliyopita wakati wakiwa kwenye mechi kati ya wasanii wa Bongo Movie na Taswa, iliyofanyika pande za chang'ombe wawili hao walipigiwa chabo wakati…

Added by Teen Newz on May 16, 2013 at 7:53am — 5 Comments
BIRTHDAY YA BABA JONII:SWALA ZIMA LA KEKI LILIKUWA HIVI.....
Added by Teen Newz on May 16, 2013 at 1:30am — 2 Comments
BAADA YA UK TOUR&CONGO DIAMOND YUKO STUDIO AKIANDAA TRUCK MPYA
Diamond ni hard worker&hard working siku zote hulipa,Baada ya ziara ya UK then Congo&Burundi
amerudi leo siku ya jumatano and TEENTZ imeongea nae usiku huu na kusema yuko studio akipika mzigo mwingine
mpya ,kumbuka kwa mwaka huu kesha achia single mbili zinazofanya vizuri Ukimwona&mapenzi…

Added by Teen Newz on May 15, 2013 at 11:30am — 3 Comments
AFYA CHECK 13/MAY/2013 TOPIC : MIMBA INAYOTUNGA NJE YA UZAZI YAANI ECTOPIC PREGNANCY part 2
Added by Teen Newz on May 15, 2013 at 11:26am — No Comments
KITALE AKIWA KWENYE SEGMENT YA JICHO LA TATU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE CHA CLOUDS TV AKIIELEZEA MOVIE YAKE YA MWISHO ALIYOIGIZA NA MAREHEMU
VIDEO : DEMU WA KIZUNGU NUSURA AMCHAPE HEMED PHD BAADA YA KUMPULIZIA PERFUME BILCANAS
Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage na Hemed alikosea kudhani kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkari huyo wa music na bongo movie kumbe bi dada alimaindi na…

Added by Teentz - Full Mikogo on May 13, 2013 at 3:30pm — 4 Comments
KIPINDI CHA AFYA CHECK CHA CLOUDS TV ,WIKI HII ILIKUWA INAHUSU MIMBA INAYOTUNGA NJE YA UZAZI YAANI ECTOPIC
Added by Teen Newz on May 8, 2013 at 11:25am — No Comments
KALI YA LEO: RAISI WA REAL MADRID MWENYE MIAKA 87 MBIONI KUOA MWANAMKE ALIYEMZIDI MIAKA 50 - FAMILIA YAKE YAPINGA
Raisi wa heshima wa Real Madrid Alfredo Di Stefano, ambaye atatimiza miaka 87 mwezi Julai, anatarajiwa kumuona mwanamke mwenye miaka 36 ambaye alimsadia kutaarisha kitabu cha maisha kilichotolewa mwaka 2010. Di Stefano, ambaye amekuwa akipambana na matatizo kadhaa ya afya, amesema…

Added by Teen Newz on May 6, 2013 at 3:06pm — 2 Comments
2013
2012
2011
2010
1999
Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.