TEEN TZ

ALIYEANDIKA BONGO FLEVA KWENYE MTIHANI AFUNGUKA

Julius Dawson (23) ni jina ambalo linatajwa sana hivi sasa kwenye kila mazungumzo ya wapenda elimu hapa nchini.
na hii inakuja kufuatia hatua ya kijana huyo kuandika mistari ya Bongo fleva kwenye mitihani yake ya kidato cha nne msimu uliopita.

Katika mahojiano ya dakika 20 aliyofanya na kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds Fm kila siku ya Jumapili, Julius alifunguka kinaga ubaga juu ya kilichokuwa moyoni kwake wakati anafanya mtihani huo na pia sababu hasa aliyomfanya kuamua kuandika mistari ya Bongo Fleva alihalia wazazi wake walikuwa wakijua kuwa mtoto wao yuko kwenye mtihani kwa wakati huo.

kwa mengi zaidi Bofya video hizo kumsikiliza

 

HAPA AKITOA MAELEZO KUHUSIANA NA HISTORIA  YAKE

STORI NA DISMAS TEN 0718489260

 

Views: 1239

Tags: AFUNGUKA, ALIYEANDIKA, BONGO, FLEVA, KWENYE, MTIHANI

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by john jeremiah on August 4, 2012 at 11:18pm

kibongo bongo dogo kazingua shule kwanza gemu la bongo dogo atalost sure.

Comment by Mo Mocko on July 31, 2012 at 1:05am

Kila linalotokea limepangwa, naanmini hata hili lilipangwa lije kutokea namaisha mazuri hayategemei elimu, kama muziki anaweza aendelee kukaza, tusihukumu mawazo yake

Comment by matipwili ramadhani on July 26, 2012 at 1:51pm

Daaahhhhh huyu mchizi bonge la bwege muziki bla elimu nothing tena mziki wenyewe wa kibongo bongo duu we noma piga school then muziki upo tu na utaendelea kuwepo ila elimu its matter of time na huwezi kurudisha muda,mbona wasanii wenzio wamesoma hubu cheki mwana fa, niki wa 2, solo thang, na wengine wengi

Comment by Tumaini Chanyika on July 23, 2012 at 9:59pm

mi nahisi ni kichaa...........

Comment by Gullam Mohammed Rashid on July 21, 2012 at 2:09am

muda mchache ujao ndio majuto yatashika nafasi yake

Comment by sharrif Maulidi Ambari on July 19, 2012 at 10:26am

bado hainiingii akilini............!!!!!!!!!!!!

Comment by Ally Said on July 18, 2012 at 1:52pm

anamapungufu kwenye ubongo wake na inavoonekana kakosa mshauri juu ya maisha yake!!!!!!!!!

Comment by WILLY YALEDI on July 17, 2012 at 1:00pm

HUYU DOGO ANASTAHILI ADHABU KWANI MIAKA MINNE AMEKWENDA KUJIFUNZA MISTARI?

Comment by BENNY DAUD on July 17, 2012 at 11:20am

daaa dogo julius mkali anaonesha kipaji.inabidi selikali uchukulie kwa umakini jambo ilo.kama wenze2 ulaya wanaendeleza vipaji kwa vijana.

Comment by jamal on July 17, 2012 at 2:22am

huyu show presenter msenge nini?

kwakua yeye kajaaliwa na kibongo na kikazi chake cha kufutia majasho anaona ndio kasoma 

kwa ku underestimate mwenzake sijui sis tumepitia tuition au viji daftari tunabeba vya notes ana mzalilisha mwenzake kama haja soma au mshamba fulani yaani yeye ndio alokosa masomo na ustaarabu hajua hata kumuinterview mtu 1 same question for the whole 30 minutes waste mannnnn

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service