
Nyota kutoka tasnia ya filamu Bongo, Latifah Idabu ‘Badra’ ametoa ‘singo’ inayomchana ‘live’ staa wa Bongo Fleva, Ney wa mitego (mbavu nene).
Akizungumza na Teentz.com muda mfupi uliopita Badra amefunguka kuwa ameamua kutengeneza ngoma hiyo kufuatia kauli chafu dhidi ya wasanii wa kike aliyotowa Ney kwenye wimbo wake mpya wa hip hop ujulikanao kama ‘Nasema nao’ unaotamba hivi sasa kwenye vituo mbalimbali vya redio.
“Nimechukizwa mno na kitendo cha Ney kuimba kuwa mastaa wa Bongo move ni makahaba , hawezi kusema hivyo na sisi tukaa kimya, ametushushia hadhi hasa ukizingatia sisi ni kioo cha jamii, ni zamu yake sasa kusikia nilichomwambia na kama kitamuuma atajibu” alisema Badra na kumalizia kwa t***i.
By Dismas Ten..Teentz.com
Comment
Comment by James Patson on July 2, 2012 at 11:32am Bongo movie bongo lala!!!!!!
Comment by nasser i milulu on June 25, 2012 at 7:03pm ney umewapa ya uso ndiyo maana wanakujibu,messege sent kwao,achen tabia zenu,mkiona mpaka mnaimbwa 2meshawachoka tena sanaaaaaaaaa.
Comment by PROSPER PROTACE on June 24, 2012 at 2:42pm NEY KAWACHANA MULEMULEE,COZ CKU HIZ MUVI ZA BONGO HAZIISHI KAMA HAWAJAONYESHA WASIVYOJIHESHIM,MBONA KITAMBO NKILE 2LIKUA 2NAWAANGALIA AKINA WARIDI,KISA NA AKINA SANDRA NA 2NAWAELEWA BILA KU2ONYESHA MAPAJA YAO!BUT NOW DAYS NYIE MNATUIBIA 2 MNA2TANGAZIA BIASHARA MBILIMBILI,SANAA KAZI NA INAJILIPA NA KUKULIPA.BIG UP NEY,WEWEMSANII WA UKWELI NA HUO NDO UTASHI KTK SANAA................CONSIOUSLY!am done...............
Comment by laurent joseph on June 24, 2012 at 1:42pm wabongo ndo zenu ney lazima awaambie ukweli kwani wasanii wa filamu bongo manaboa cause daily manchange mabwana kuna nini
hahhahahha........... muhusika ww...... ungekua sio muhusika hata mshipa wa kujibu usingekuepo,,,,,,
Comment by baraka samuel on June 24, 2012 at 3:26am kama unakipaji ni bora ukatoka kivingine, hachana na diss hazina maana katika game
Comment by Iddi on June 23, 2012 at 9:55am
Comment by Gullam Mohammed Rashid on June 23, 2012 at 3:36am mi naingoja kwa hamu kubwa coz jamaa sidhani kama atajibu shambulizi
Comment by BANYIKWA JOHN on June 23, 2012 at 1:37am uwe na mwendelezo,sio ili mrad track ya diss tu,iwena radha ya kimuzik,,af jiangalie
Comment by steven philip on June 23, 2012 at 12:15am sister mpaka umetoa wimbo inaonekana na wewe ni miongoni mwa wale waliotajwa nini?
Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ