
KUTOKA CLOUDS TV MWANADADA SHADEE NDIYO ALIKUWA HOST WA BBM PARTY 2012 HAPA AKIMUHOJI YOUNG NELLY KUTOKA G5click.com
ILE party ya kijanja inayokutanisha mastaa kibao ndani na nje ya Bongo ambayo kwa wiki kadhaa imekuwa ikisubiriwa kwa hamu na mamia ya wapenda Burudani hapa Bongo imefanyika kwa mafaniko makubwa ndani ya Mbalamwezi Beach Club .
Akizungumza na Teentz.com wakati party hiyo ikiendelea , mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya G5click iliyoandaa party hiyo Ahmed Junior amefunguka kuwa BBM Party ya 2012 imefanikiwa kwa kiasi kikubwa tofauti n amsimu uliopta hii ikiw ani baada ya kujitokeza kwa watu wengi zaidi kama ambavyo ilitarajiwa na kufanya event hiyo kuwa nzuri na ya aiana yake.
"mwaka huu tunashukuru Mungu kuwa tumefanikiwa tofauti namsimu uliopita, watu wamejitokeza kwa wingi, tunaswahukuru watu wote waliofika na tunapenda kuwaarifu kuwa msimu ujao tutafanya ubwa zaidi kwa kuwa tayari tunaudhamini wa kampuni ya Rim ambao ndiyo wahusika wakuu wa simu za BlackBerry duniani kote" alisema Junior
Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ