
Ilikuwa ni kama fainali ya michuano ya kombe la Ligi ya mabingwa ulaya kwa njinsi mashabiki walivyokuwa wakishangilia wakati madansi kutoka mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakati wa shindano la kumsaka mkali wa dansi la Fiesta lililochukua nafasi ndani ya club Sun Cirro pande za Sinza.
Akizungumza na Teentz.com muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa shindano na washindi kupatika mmoja wa majaji waliokuwa wakisimamia mpango huo Fundi Samweli kutoka Wasanii Production alifunguka kuwa kulikuwa n aushindani mkubwa kwa vijana waliojitokeza lakini alisikitishwa na kujitokeza kwa wasichana wachache tofauti n amikoa mingine
"Mambo yameenda vizuri, washiriki walikuwa wengi, na walijitahidi kuonyesha uwezo wao kilichonisikitisha ni kujitokeza kwa wasichana wachache lakini kimsingi kila kitu kilikuwa vizuri na kama ulivyoona washindi wamepatika kihalali na wamepewa zawadi zinazostahili" alisema Fundi Samweli
mmoja wa washindi wa Dansi la Fiesta 2012 akizungumza na Clouds Tv
STORI NA DISMAS TEN 0718489260
Added by jenry jeny on May 17, 2013
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ