
Nyota wa muziki wa kizazi kIpya Bongo Naseeb Abdul 'Diamond' mwishoni mwa wiki iliyopia alipata mapokezi ya aina yake wilayani Sogea mkoani Ruvuma.
Akizungumza na Teentz.com VIA 4N mara baada ya kuwasili wilayani humo, Diamond alifunguka kuwa amepata mapokezi ya ajabu ambayo hajawahi kuyaona toka alivyoanza kuwajibika ndani ya gemu ya muziki wa kizazi kipya.
"Nimepokelewa kwa msafara wa magari na pikipiki nyingi kama ambavyo hupokelewa viongozi wakuu wa nchi hapa nilipo kuna watu wengi kupita maelezo ambao wamejitokeza kunipokea , hakika sijawahi kuona jambo hilo kabla, namshukuru Mungu kwa kila kinachotokea hii inanipa moyo wa kufanya kazi zaidi ili kuwafurahisha mashabiki wangu" alisema Diamond
STORI NA DISMAS TEN
Comment
Comment by Tumaini Chanyika on July 7, 2012 at 10:01am dah c mchezo..........kaza buti tu hakuan kurudi nyuma...........
Comment by MARIAM MSEMO on July 3, 2012 at 1:59pm Natamani kujua Diamond anavyojisikia watu wakiwa wanamshangilia.
Comment by chama-baby on July 3, 2012 at 12:45pm mh.. jembeeeeeeeeeeee!
Comment by angela sijale on July 3, 2012 at 6:18am mh..
Comment by tito ngomaitara on July 2, 2012 at 7:24pm
Comment by JackY Ndenge on July 2, 2012 at 6:48pm mh. Diamond hongera sn ndo muda wako huu wa kumake chapaaa,,take care bro!!!
Diamond kaza buti mzazi hata Wacko jacko alianza kinamna hiyo.
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ