
Siku chache baada ya kuondolewa ndani ya kundi la Tip Tipo Connection, staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdul Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ ametua Bongo Muda mfupi uliopita akitokea A-town (Arusha).
Taarifa ambazo zimeifikia Teentz.com kutoka pande za uwanja wa ndege wa JK Nyerere zinasomeka kuwa Dogo Janja ametua mida ya saa 4:30 kwa pipa (ndege) na kulakiwa na mashabiki wake wliojitokeza kwa wingi.
Akiwa jijini Arusha kabla ya kuanza safarai yake hii ya leo jana Dogo janja aliiposti kupita BBM maneno yaliyosomeka “Ki2 cha dua nini home lazima kieleweke” akimaanisha kuwa yuko kwenye kuomba dua ili safari yake ibarikiwe.
Endelea kufuatilia stori hii hapa Teentz.com habari na picha zaidi zinakujia punde ikiwa ni pamoja na interview ya kwanza akiwa Bongo kwa mara nyingine.
By Dismas Ten.. Teentz.com
Comment
Comment by Mackai Muhibu Mackai [Big M] on June 24, 2012 at 2:14pm
Comment by NEWTON JAMES URASA on June 23, 2012 at 4:06pm dogo salute
Comment by abdulkareem sj on June 23, 2012 at 12:44pm dogo ukasome bana.........
Comment by paul mageta on June 22, 2012 at 5:15pm
Comment by kelvin abdul on June 22, 2012 at 4:34pm dah dogo anatisha kama ndo hivo
Mwache arudimjini kuuzasura maana maisha ameishayakwepa.Nakumbuka ujinga wakwanza alimdharau na kumtusi mwalimuwake shuleni kwakumuita KUBWAJINGA.Ana laana aloipata kwenyeraha za bongo huyo!.
Amuulize mista blue ampe mkanda waujinga wa'kujua bila kusoma'
Comment by KEVIE ZEDONG on June 22, 2012 at 3:11pm dogo go n do ur thing,,,,,!! ila usome jamaa..elimu siu hizi imepewa kipaumbele hata zaidi yaujauzito
Comment by Jerome lister on June 22, 2012 at 3:00pm
Comment by Jerome lister on June 22, 2012 at 2:53pm
janukhan posted a status
janukhan posted a status
janukhan posted a statusAdded by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ