
SIKU chache baada ya nyota kutoka tasnia ya filamu Bongo, Irene Uwoya, kufunguka juu ya kutojua mapenzi kwa ‘X-boyfriend’ wake ambaye ni staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Hamis Ramadhan Baba ‘H –Baba’, mwanadada anayemiliki penzi la msanii huyo hivi sasa Flora Mvungi, ameibuka na kumtupia maneno makali mwigizaji huyo akimtaka kuacha tabia hiyo mara moja.
Akizungumza na Teentz.com muda mfupi uliopita Flora amefunguka kuwa yuko ndani ya uhusiano wa mapenzi na H-Baba lakini haja wahi kuona tatizo lolote kuhusiana na mapenzi na anahisi Irene Uwoya kuna kitu anakimiss kwa H- Baba ndiyo sababu haishi kumsema ovyo kila anapokwenda.
Kwa mengi zaidi Bonyeza Video hiyo kusikia alichokisema Flora akimchana Irene Uwoya
Stori na Dismas Ten
Comment
Comment by Alpha Mhagama on October 6, 2012 at 12:04pm vp ni dada po a?
.....mmmmhhhhh...wakubwa wanafaidi!
Comment by Rajabu Inzari Senzia on July 5, 2012 at 1:11pm hovyoooooo.
Comment by CHE OSWARD on July 3, 2012 at 11:37am duh..!sasa ndio nimemuelewa vzr ney wa mitego kuwa makahaba wote wapo BONGO MOVIE,hivi kweli?
Comment by angela sijale on June 30, 2012 at 11:35pm hili pouse binafsi sijalipenda kabisa..!!
Comment by Gastor lyimo on June 30, 2012 at 5:03pm daaaa tafuta hata pozi basi unamkalia nani uchi ndo maana.........................
Comment by wayne augustine muyambo on June 29, 2012 at 4:44pm yoohhhhh!
Comment by Ester Antapa on June 29, 2012 at 4:14pm ulikosa poz ndug mbona una2onyesha mapozi unayo2mia kumtega H-BB?????.....jistir msichana ndomana Ney wa mitego kawachana alf mnalalamika amewadhalilisha oooh sie kioo cha jamii, hivii????
Comment by mody on June 29, 2012 at 12:39am panua paja mkwaju waja mtu mzima jistiri
Comment by stephen mwanyonga on June 28, 2012 at 11:26pm nothing new.........tumewazoea dada zetu.....
Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ