TEEN TZ

Staa wa Hip Hop Bongo, Godzilla, ameukosoa mfumo wa elimu uliopo nchini ambao anadai hautengenezi wataalam wa kutosha  kutokana na  kutokuwepo kwa  shule zinazofuatailia vipaji vya  watoto

Akizungumza na Teentz.com  Zilla anayefahamika  kama mfalme wa Salasala amefunguka kuwa mfumo wa Elimu ya Kibongo  inabidi ubadilishwe. ili kutoa nafasi kwa  kupevushwa kwa  vipaji vingi ambavyo hivi sasa  vinapotea  kutokana na  mfumo  bwege  wa elimu yetu 

"Elimu ni  ndefu sana na kibaya zaidi  haiko katika kutengeneza wataalam(Experts). Mfano mtu kasoma hadi darasa la 7 akafeli na mtu aliyesoma hadi Form6 akafeli wote wanakuwa sawa coz hawaajiliwi popote  hii ina maana kuwa  miaka yote imepotea bure. Zamani kulikuwa hadi na darasa la  4 la mkoloni wazee waliokifika la 4 wakamaliza  fresh ukikaa nao mwenyewe  utazima zako wako vizuri usipime  alisema  Zilla.

  STORI NA  DISMAS TEN 0718489260

Views: 22

Tags: :, ELIMU, FEKI, GODZILLA, KIBONGO, YA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Latest Activity

htytddffdskd posted a status
"watch Wests Tigers vs North Queensland Cowboys Live stream NRL Rugby Online http://topsportsnewslive.com/"
37 seconds ago
htytddffdskd posted a status
"watch Wests Tigers vs North Queensland Cowboys Live stream NRL Rugby Online http://topsportsnewslive.com/"
46 seconds ago
htytddffdskd posted a status
"watch Wests Tigers vs North Queensland Cowboys Live stream NRL Rugby Online http://topsportsnewslive.com/"
52 seconds ago
htytddffdskd posted a status
"watch Wests Tigers vs North Queensland Cowboys Live stream NRL Rugby Online http://topsportsnewslive.com/"
56 seconds ago

TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

3. roby with yung bro

Added by Robbyweezy John on May 22, 2013

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service