
Usiku wa kuamkia leo, ilifanyika pati ya BBM kwa mara ya kwanza nchini Tanzania na kuandika historia nyingine kwa vijana wa G5 Click kuhamasiha vijana kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii, kama ilivyokuwa kwenye FaceBook miaka kadhaa iliyopita. BBM ni kifupi cha BlackBerry Messaging, ukiwa ni mtandao mpya wa kijamii unaotumiwa na watumiaji wa simu za Blackberry pekee. Mpango mzima ulikuwa pale Mbalamwezi Beach ambako wasanii na vijana kibao waliibuka kama inavyoonekana pichani. Juu ni CEO wa G5 Click, Mutsapha Seleman (kulia) na Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo, Ombeni (kushoto) wakiwa na marafiki zao wakati wa pati hiyo. Kampuni ya G5 ndio waandaaji wa pati hiyo.
...Kwaito time!

DJ mahiri kutoka Pr024 akifanya vitu vyake

...mwimbaji hodari nchini, Linah, akimchezesha shabiki wake.
Mwimbaji wa wimbo 'Ongea na Mshua' Izo Business, nae alikuwepo
Mshiriki wa Project Fame Aneth Kushaba ndani ya BBM Party
Presenta wa Radio Clouds (pili kulia) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Jaffarai (kushoto) wakiachia na fans wao...stali zingine bwana...
...mimi naona haya na staili yangu ya viatu...
BB Me.....
PICHA: Mussa Mateja/GPL
Comment
Comment by Daudy Shushu on October 8, 2011 at 5:26pm
Comment by filbert john festo makune on October 2, 2011 at 1:52pm
Comment by samwel philipo on September 15, 2011 at 2:37pm
Comment by De Masho on September 15, 2011 at 11:50am
Comment by Muxorhymes on September 14, 2011 at 1:10pm Hyo dada ?
Comment by Muxorhymes on September 14, 2011 at 1:09pm Mzux wkubwa bata sna2
Comment by lightness meena on September 13, 2011 at 2:57pm No cmnd
Comment by FRANK JOSEPH on September 12, 2011 at 9:36am safiiiiiiiii sana!
Comment by FREDRISH FELIX on September 11, 2011 at 2:31pm waooh t waz lil nyc bt so painful 2 mic t.........
Added by jenry jeny on May 17, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ