
Habari za uhakika zinadai kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi ya leo (July 18) kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo.
Taarifa zimedai kuwa kioo hicho kilipasuka wakati ndege hiyo ikijiandaa kwenda Mwanza baada ya kuwa imeshatua KIA. Kioo kilichopasuka ni kile cha pembeni kwa rubani upande wa kushoto kwa mujibu wa vyanzo.
Kutokana na tukio hilo ndege hiyo ilizuiwa kuruka hadi pale marekebisho ya kioo hicho yangefanyika. Haijajulikana iwapo imesharuhusiwa ama bado. Source: Jamii Forums.
Comment
Comment by Ansifrid R. J. Lekundayo on July 19, 2012 at 7:28pm hiv bongo haya mambo lin yataisha jaman?
mwaka wa tabu ni wa tabu 2.
Added by jenry jeny on May 17, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ