TEEN TZ

 NDOTO kufunga pingu za  maisha  siku za  karibuni alizokuwanazo nyota  kutoka 'Bongo moive' Hemed Suleiman 'PHD', zimeota mbawa kufuatia  wazazi wa mlimbwende aliyetaka kumuoa kuweka ngumu.

katika mahojino ya dakika kadhaa aliyofanya  na  teentz.com, Hemed amesema kuwa tayari alikuwa ameanza taratibu za kushughulikia ndoa yake na mrembo huyo iliyopangwa kufungwa  kimya kimya  kwa kuogopa watu wenye nia mbaya   lakini amejikuta akilazimika kustisha harakati hizo kufuatia wazazi wa binti huyo wakaweka ngumu kwa madai kuwa wanataka mtoto wao amalize kwanza  masomo yake  na kupata 'mastaz' kwa kuwa  elimu ya  Degree aliyonayo hivi sasa wanahisi bado haijamtosha.

 "unajua mchumba  wangu hivi sasa ana elimu ya degree hivyo wazazi wamesema kwao hiyo bado ni elimu ndogo hivyo hawezi kuruhusu jambo hilo kwanza  mpaka apate 'mastaz' halafu ndiyo mambo mengine yatafuata, imeniuma sana kwa kuwa wenyewe tulishakubaliana na mwenzangu alikuwa tayari kwa hilo" alisema  Hemed.

 katika hatua  nyingine Hemed ameiambia teentz.com kuwa yuko katika  hatua za mwisho kutoa  muvi yake mpya aliyoibatiza jina  la Mererani ndani yake akiwa amemshirikisha  swahiba wake wa  kitambo Yusuf Mlela sambamba na wakali wengine kibao wanaofanya  kweli na  Bongo movie

wakati huo huo nyota huyo amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula tayari kwa ujio wa ngom ayake mpya  iliyopewa jina  la  Mama Kimbo sambamba na video yake ambayo soon itakuwa hewani  kupitia teentz.com.

 

STORI NA  DISMAS TEN 0718489260 

 

 

Views: 2309

Tags: ELIMU, HEMED, KISA, NDOA, YA, YAKAMWA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by Juma Mdee on August 6, 2012 at 3:59pm

Pole sana mdogo wangu,tambua hili,MJANJA WAKE MPUMBAVU. Elimu kitu gani dogo? Wangapi wameoa na wake zao wanaendelea na masomo? Huyo sio wako,geuka nyuma okota kijiti chapa mwendo.

Comment by Tumaini Chanyika on July 26, 2012 at 9:18pm

no swagaz...........

Comment by briannah meck on July 23, 2012 at 11:49am

don't worry meeen just be patience hopo yoyr wife will be good in education level as the way your good in musics ..big up dudie

Comment by Ivan Ian Ret on July 22, 2012 at 6:01pm
i dont see if the guy is truly mean
Comment by fadhili mpambya on July 21, 2012 at 11:53pm

Bora kuoa bro kuliko kuzini mungu apendi bhanaa king of love

Comment by Asafu mkola on July 20, 2012 at 8:15pm

pole xana but mvumilivu hula mbivu dont pannic

Comment by Facejero Ismai on July 20, 2012 at 2:25pm
Daaah! Pole xana bro yan ungepata wa kukupikia maana mfungo ndo huo unakuja xo vumilia
Comment by Ester Antapa on July 20, 2012 at 2:05pm

mmh watu wanaolewa drsa la 7 sembuse degree? izo ni njama tu hemed we unadhani mzazi gani atakubali mwanae aolewe na msani ukampe presh mtoto wa wa2 na wazazi wake, tena ww???.. iyo ilikua kizuiz akuna cha masters apo we tafuta msani mwezio oa....

Comment by emmanuel mbaga on July 18, 2012 at 2:10pm

KAKA UCKATE TAMAA KAMA UNAMPENDA KWELI VUTA SUBIRA MUDA UTAFIKA CHUKUA TOTOZ WEKA GETTO!!!!!!!!!!!!!!

Comment by Ally Said on July 18, 2012 at 1:35pm

Ucjal jembe km kweli unampenda UTAMSUBILI...!!!!!!!!!!

 

G5 CLICK - LATEST NEWS

Advertisement

Latest Activity


TOP PHOTOS

1. Snapshot_20121007_7

Added by Dee on October 9, 2012

3. geek

Added by Fathima on June 8, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service