TEEN TZ

Nyimbo Mpya : Rich Mavoko - Follow Me

Sikiliza hii Ngoma mpya kutoka kwa Rich Mavoko kwa Mara ya kwanza alafu utupie Comment yako kuhusu ujio wake huu mpya.....

Views: 2845

Tags: -, :, Follow, Mavoko, Me, Mpya, Nyimbo, Rich

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by Van Varelian on October 31, 2012 at 10:30pm

kijana marry me na follow me mule mule

Comment by shekha nassor on September 1, 2012 at 10:21am

wwooowww nice one ,,,keep it up !!!

Comment by taisy john on August 13, 2012 at 6:39pm

me i lyk yo song bro umegusa mulemule,ggud work!!!!!!1

Comment by shicunzy bantu (SHAKES) on March 13, 2012 at 4:26pm

babkubwa. u rock bwai

Comment by MATUMLA TWALYB on March 8, 2012 at 2:20pm

shabaaaaaaaashi!!! mavoko anajua kuwa hiyo nymbo ka ikiwa unaombwa sana na wackilizaji yy ndo itasemekana ni yake bt chismo anajua kinouma nouma

Comment by peter angumbwike on March 7, 2012 at 8:02am

hii ngoma kali ila ya chismo ni noma zaidi ya richi mavoko yaani baaaaaaaaaaaaaasi

Comment by Francis Simon Malliton on March 6, 2012 at 4:36pm
yap anaweza tangu uzur wako ana do better,keep it up bhana.
Comment by Wiselove D Senyagwa on March 6, 2012 at 9:55am
dats whatsup, allways anaye jua anajua, umedhihirisha uma kuwa unajua so endelea kuwajuza kwamba unajua.
Comment by kiza kimwaga on March 4, 2012 at 11:51am

hakosei toka mwanzo yupo kamil

Comment by Rashidi Juma on March 4, 2012 at 1:03am
Imetulia ile mbaya, anaweza

G5 CLICK - LATEST NEWS

LUDACRIS AACHIA MIXTAPE SIKU MOJA NA MOVIE ALIYOSHIRIKI "FAST AND FURIOUS 6"

Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…


 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service