
BAADA ya msanii wa filamu Jackline Pantezel ‘Jack wa Chuzi’, kuwatetea wanawake juu ya kuchukuliwa kama samaki na msanii Hemed Suleiman ‘P.H.D’ sasa staa huyo naye ameamua kufunguka na kudai kuwa hakupanga kutembea na mwanadada huyo lakini sasa ajiendae kutoka naye kwani amejipendekeza kwa kuzungumzia kauli yake.
Awali kabisa Hemed alidai kuwa endapo akiamua kuoa basi atafanya mchakato kama wa BSS wa kufanya mchujo na kupata yule mwanamke bora zaidi na mrembo kitu ambacho kilimfanya ‘Jack wa Chuzi’ kuinuka na kumtaka Hemed awaombe radhi wanawake kwani asiwachukulie kama samaki wanaopatika kilahisi tena kwa wingi.
Kauli hiyo ya Jack inaonekana kumtokea puani kwani mambo yanazidi kuwa magumu ambapo PHD anadai kuwa atafanya juu chini ili tu amuonesha Jack kuwa yale anayoyazunumza anauwezo wa kufanya na hata yenye anaweza kuwa mmoja kati ya wanawake watakaohitaji kuolewa naye ingawa hana vingezo anavyovihitaji.
“Sikupenda kauli ya Jack kwani namchukulia kama msanii mwenzangu ambaye nafanya naye kazi lakini kitendo chake cha kupinga kauli yangu kumenifanya niwe na hamu ya kutoka naye ili tu ajue kwamba nina uwezo wa kutoka na mwanamke yeyote tena pale ninapomuhitaji tu,” alidai Hemedi.
Hata hivyo mwandishi wa ishu hii baada ya kumtafuta muhusika wa pili wa kideo hiki Jack, alidai kuwa Hemedi hawezi kufanya kitu chochote kwake na anamchukulia kama mtoto anayekuwa na kuanza kujua wanawake hivyo haoni kama anaweza kuleta madhara.
“Hemed ni mtoto hivyo namchukulia kama ndo kwanza anawajua wanawake sasa, kwa sababu mtu mzima awezi kuanza kujisifu kuwa anaweza kurembea na kila mwanamke, kwani tayari ameshapitia huko asa kwa huyo ndo kwanza anawajua wanawamke siyo makosa yake anahaki ya kusema hivyo,” alisema Pentzel.
Comment
Comment by emmanuel mushi on September 25, 2012 at 11:19am phd in da buildingx muoneshe hw de players ar coz anakuchukulia poa
Comment by iskhaz on September 22, 2012 at 4:39am
Comment by mousome jaman on September 15, 2012 at 12:21am
Comment by MOHAMED AZIZ on September 13, 2012 at 7:48pm mwanaume wa kweli mwenye akili hajisifu pia hatangulizagi pesa aache utoto
Comedy..
Comment by daniel n sovero on September 12, 2012 at 2:43pm mamo yako si mchezo
Comment by Bob Black on September 12, 2012 at 11:41am huyo man mi simmaindi kinomaa, anaona raa kuminya wanawake, alafu dharau aache maana asijione amewin dunia hii, kwani kutia ovyoovyo nisifa, shujaa halisi hagongi ovyo, msenge kweli aje achukue wangu nimuoneshe
Comment by Jovinary Rutha on September 11, 2012 at 11:15am Vipi kaka jivutie kama ....
Comment by Emmanuel peter on September 11, 2012 at 8:40am for show thise girl she know what in this men mind so good to here from them
Comment by Eric tegete on September 10, 2012 at 8:35pm mmmmmmmh!!! wanajuana hao wanataka 2 kukuza topic yao!!!
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ