TEEN TZ

PICHA ZA MATUKIO YA MCHEZO KATI YA SIMBA NA AL AHLY SHANDY: MNYAMA AKICHINJA MWARABU KWA GOLI 3-0

MWENYEKITI WA KLABU YA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AKIMKABIDHI JEZI YA SIMBA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TATU FREDIRICK SUMAYE AMBAYE NI SHABIKI WA KUTUPWA WA SIMBA KABLA YA MCHEZO KUANZA.UJUMBE KUTOKA KWA WANA MSIMBAZI.TIMU ZA SIMBA NA AL AHLY ZIKIIINGIA UWANJANIKIKOSI CHA SIMBA KILICHOANZA JANA.WACHEZAJI WA SIMBA WAKIMPONGEZA HARUNA MOSHI BOBAN BAADA YA KUFUNGA BAO LA KUONGOZA.MOYO WA MASHAMBULIZI YA SIMBA EMMANUEL OKWI AKIPELEKA MASHAMBULIZI KATIKA GOLI LA AL ALHLY

Views: 309

Tags: 3-0, AHLY, AKICHINJA, AL, GOLI, KATI, KWA, MATUKIO, MCHEZO, MNYAMA, More…MWARABU, NA, PICHA, SHANDY:, SIMBA, YA, ZA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service