TEEN TZ

ROBBY ONE & BIG JAHMAN WAPELEKWA JELA KWA MALI YA WIZI

Mmiliki wa maduka ya Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi... Wajasilia mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na kupelekwa Segerea....

Views: 321

Tags: &, BIG, JAHMAN, JELA, KWA, MALI, ONE, ROBBY, WAPELEKWA, WIZI, More…YA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by emmanuel mushi on September 25, 2012 at 11:36am

eeyoooooooooo robyone its me the president rais wa masharo we are 2gether bro yataisha babuu kisauji ukionamwanao anachka jua kimee

Comment by ROBERT THARDEUS MUSHI on September 23, 2012 at 7:02pm

aah but yataisha tuuu tumuombe mungu si unajua kwenye biashara fitna ni nyingi

Comment by Kenneth Magoma on September 21, 2012 at 3:08pm

Mmh! Jaman! haya ni ya kweli jamani! Doo! camn amn amn!

G5 CLICK - LATEST NEWS

LUDACRIS AACHIA MIXTAPE SIKU MOJA NA MOVIE ALIYOSHIRIKI "FAST AND FURIOUS 6"

Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…


 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service