TEEN TZ


Mratibu na jaji wa shindano la kumsaka mkali wa Serengeti Fiesta Mc Shujaa 2012,Reuben Ndege a.k.a Ncha Kali kutoka Clouds FM,akimpa maelekezo mafupi Pacha Great mara baada ya kuibuka kinara wa shindano la kumsaka mkali wa Serengeti Fiesta Mc Shujaa,kwa kuwashinda mahasimu wenzake wapatao 32 waliofika kushirika mchakato wa shindano hilo.shindano la kumsaka mkali wa Serengeti Fiesta Mc Shujaa imeandaliwa na Prime Time Promotions/Clouds FM kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.

Views: 589

Tags: 2012, Fiesta, Mc, Serengeti, Shujaa

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by sande pande themc on July 10, 2012 at 12:29am

haya bwana ncha kali mimi sina tatizo na mtu

Comment by Yuleyule Mabonesho on July 5, 2012 at 6:54am

Big up

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service