TEEN TZ

SHOO ya  nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo Naseeb Abdul 'Diamond' imeingia katka kitabu cha matukio yaliyokusanya watu wengi zaidi katika historia ya mji wa songea  na mkoa wa Ruvuma kwa ujumla.

Akizungumza na Teentz.com mapema leo Mkurugenzi wa Jambo Lee Club  ambayo iliratibu ziara nzima ya mwanamuziki huyo amesema kuwa shoo ya Diamond imevunja rekodi na kuingia kwenye kumbukumbu za watu  kwa kujaza watu wengi na pia  ikiwa ni shoo pekee iliyokuwa na msismko mkubwa  kuliko hata inavyokuwa  wakati wa michezo ya soka inayozihusisha timu kubwa na Simba na Yanga zinapokuja kucheza Songea.

"Shoo imefunika hakika haijawahi kutokea, watu kujaa kwa wingi kiasi kile katika  shoo za muziki hii imevunja rekodi, kwa kweli kama waratibu tumefarijika sana kuona  watu wamejitokeza kwa wingi, kwani hatukutegemea ingawa msisimko uliokuwepo kabla ulikuwa mkubwa kuliko hata ule unaokuwepo wakati Simba na Yanga zikija kucheza hapa Songea" alisema Mukugenzi huyo.

STORI NA DISMAS TEN


Views: 1246

Tags: DIAMOND, REKODI, SHOO, SONGEA, YA, YAVUNJA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by Tumaini Chanyika on July 7, 2012 at 10:22am

'huu kweli mda wake.................

Comment by ngosha leonard muhoja on July 6, 2012 at 12:41am
its ur tym bube! Kept it up! Coz umevunja record kwa mafanikio!
Comment by Baraka Mngazija on July 5, 2012 at 4:46pm

ilikuwa balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Comment by chama-baby on July 4, 2012 at 12:52pm

ts his time now like Mr Nice dat time n now disappear, lol, h has to pul up his stocks otherwise lost in the game.

nice.

Comment by Tally Fuji on July 4, 2012 at 12:36pm

There is little doubt that you have to locate an unexpected source of Raspberry Ketone Supplement is that it gives you just enough Raspberry Ketone Supplement. Inescapably, if you actually reckon about it, how good is Raspberry Ketone Supplement? That is it, pure and simple. This was remarkable craftsmanship. I, professedly, must know Raspberry Ketone Supplement. We'll cut down the problem down to size. Even then, you don't have to overdo it. This was only a portion of Raspberry Ketone Supplement. See, it will take more time with Raspberry Ketone Supplement, although you get the idea.

Comment by abdallawaziri on July 4, 2012 at 11:35am
Daah!! mwana anajua saaaanaa akazee 2 cunajua game la bongo kama pipi acjisahau

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service