TEEN TZ

Steve Rn'B ft Ngwea - Sitomwacha (LYRICS)

Verse 1:
Nakuhitaji Baby
Sina Raha Ukiwa Mbali Na Mimi Crayz (Yeah)
Nakuhitaji Milele
Njoo Tujipange wote mi na wee
Unipe malavidavi yazidi kilele (Yeah)
Showty u drive me crazy Yeah Yeah
Showty u drive crazy eeh

Pre Chorus:
Ukinibania nitaumia,
Utanifanya daily nalia nalia Baby
Sitovumilia vumilia
Kwani moyo umekuchagua chagua wewe
Ukinibania nitaumia,
Utanifanya daily nalia nalia Baby
Sitovumilia vumilia
Kwani moyo umekuchagua chagua wewe

Chorus
Sitomwacha Sitomwacha , Huyu Mtoto mzuri nikimpata
Ananipagawisha Pagawisha , Anavyowaka uzuri wake kamata
Showty Nikubaliee, Showty Niwe Naee
Showty Nikubalie , Showty niwenaee

Verse 2 (Ngwea)
(yow Cowbama Na East Zoo Yooh, holla)
Ni Zaidi ya Zaybee jinsi alivyo gado
Huyu baby Figure yake role model aah
Anajiheshimu anaheshimika kila nagle
Hakuna NInachofeel kwake zaidi ya mapendo
Sina mkataba nae ila nina malengo
Anajua Ku handle (aaah) Hana Skendo
Body Yake inakubali kila styles ya Pamba
Classicmillion dollar smile
Anachanganya ubongo wangu kama bacteria
Siku Nisipo muona I feel sick like malaria
Sio mi wa kwanza, Yalianza toka enzi,
Wengi wamechanganyikiwa na penzi
She is so sexy, yaani so amazing
She Drve me cryz Baby Baby (Holla)

Chorus
Sitomwacha Sitomwacha , Huyu Mtoto mzuri nikimpata
Ananipagawisha Pagawisha , Anavyowaka uzuri wake kamata
Showty Nikubaliee, Showty Niwe Naee
Showty Nikubalie , Showty niwenaee

Verse 3(Steve RnB)
Moyo unachojali girl, Nikumiliki wee
Najihisi Mwenya bahati, Tuje Tuishi wote milele
Hebu punguza hayo mapozi,
Twende fasta fasta mpaka kwa wazazi
Girl U Drve Me Cryz..oooh ooh u drve me cryz

Chorus
Sitomwacha Sitomwacha , Huyu Mtoto mzuri nikimpata
Ananipagawisha Pagawisha , Anavyowaka uzuri wake kamata
Showty Nikubaliee, Showty Niwe Naee
Showty Nikubalie , Showty niwenaee

Bridge
Ooh oooh, baby ooh ooh
Niwe Nawee
Ooh ooh baby ooh ooh
(Nikubalie)x4

Views: 786

Tags: Rn'B, lyrics2010, ngwea, sitomwacha, steve

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by Rutther Godjohnson on May 17, 2012 at 3:41pm
oya jembe kaza buti mwanangu c unaona jux anavyoanza kuwapoteza kaza jembe langu
Comment by raifa kasim on February 2, 2012 at 10:46am

JAMANI WEKWENI NYIMBO MPYA

Comment by derline julius on November 22, 2011 at 10:03am
oya da song rocks
Comment by http://www.msikecorner.blogspot. on September 18, 2011 at 6:36pm

sina cha ziada i like u brada

 

Comment by Dj-Ndege Kiishweko on September 17, 2011 at 9:41pm
STeve rnb we nitatizo jombaaa!STeve rnb we nitatizo jombaaa!
Comment by dickson juma on August 22, 2011 at 2:19pm
dah umenikosha roho
Comment by george nathaniely on June 17, 2011 at 4:15pm
ebwana ee STEVE kweli wewe ni RnB mwana kama kawa kama dawa mkubwa hicho kichwa cha pili ulichokishirikisha ni Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Comment by crissy kaka on June 16, 2011 at 1:03pm
Ebana dah!hiko tyt ile mbaya yani ni bonge ya R$B ngoma na kitu cha ka obama?!
Comment by Lugiko Lugiko on June 7, 2011 at 11:35pm
hi guys, now tel me, which artist would u wish to party wit in 2011 fiesta?
Comment by Magembe Labani on May 21, 2011 at 8:22pm
kaka ww ni kiboko yanii when i heard dat song yani yayayaaaa!! Kaka keep it up nimeipenda hiyo

G5 CLICK - LATEST NEWS

MASTAA WA K*** BONGO MOVIE… KAMA MAFUNGU YA NYANYA

Na Imelda Mtema
NI sahihi kabisa nikisema kuwa Klabu ya Bongo Movie Unity ndiyo jicho la mashabiki wengi wa filamu za nyumbani. Wasanii waliopo ndani ya umoja huo, wengi wao ndiyo mastaa wakubwa ambao mashabiki hupenda kuwafuatilia ili kujua maisha yao.…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service