

WAKATI msanii Irene Uwoya akiendelea kufanya mchakato wa kutaka kushiriki kwenye filamu za kimataifa, tayari inadaiwa kuwa anatarajia kula shavu kubwa ambalo hajawahi kuliota la kushiriki filamu moja na msanii maarufu Halle Berry kutoka marekani.
Halle Berry ni moja ya wasanii mahiri kabisa ambao wana uwezo mkubwa kwani ameweza kuonesha uwezo wake kwenye filamu kama ‘Die Another Day’, Catwoman, New Year’s Eve, Monster’s Ball na nyingine nyingi.
Ishu ya Uwoya kushiriki ndani ya filamu moja na mwanadada huyo inadaiwa kuwa katika mazungumzo anayofanya nchini Uingereza mmoja ya wadau wakubwa ya tasnia hiyo kutoka Marekani ndiye aliyempa ishu hiyo baada ya kuona baadhi ya filamu alizocheza pamoja kujiamini kwake.
Uwoya alidai kuwa bado hajaamini kwani hajapewa ishu kamili na ameambiwa kuwa atajulishwa kwa njia ya email endapo kila kitu kitakuwa sawa kwa sababu ya ratiba ya Berry.
“Naweza kucheza filamu moja na Halle Berry, ingawa sijajua kama ishu hii inaweza kuwa kweli kwa sababu kama unavyojua kila kitu huwa kinaenda kwa ratiba siyo kama sisi bongo filamu tunajitolea bila hata kufuata ratiba,” a lidai.
Comment
Comment by Calvin Wilbert on September 26, 2012 at 12:51pm keep praying
Comment by Sunday Komu on September 25, 2012 at 4:39pm
Comment by chama-baby on September 25, 2012 at 2:42pm kumbe hata hajaambiwa
Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.…
Added by itandfun on May 25, 2013
Added by miste on January 25, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ