
Licha ya kuwa ilikuwa ni shoo maalumu kwa mkali wa michano Bongo Rashird Makwilo Chid Benz, wakali kibao kutoka tasnia ya muziki wa kizazi kipya Bongo walijitokeza kutoa sapoti ya nguvu kwa nyota huyo aliyewahi kushinda mara mbili tuzo ya mwanamuziki bora wa Hip Hop hapa Bongo.
Miongoni mwa mastaa waliokuwepo kwenye shoo hiyo ni pamoja na mkali wa viuno Khalid Mohamed T.I.D 'Mnyamaa' , Albert Mangwea 'Ngwear' na wengine Kibao shuhudia kupitia picha hizo
T.I.D mnyaamaa akiwakilisha
SARAHA WA FUNDI SAMWENGA.... NAYE KAMA KAWA ALITISHA
IZZO B.
(Mzee wa Bistola) 2NDAMAN ALIKUWEPO
DALLAS (A.K.A SUMAKU) KAMA KAWAIDA NA TOTOZ MBILI MATATA
(LEKA DUTIGITE) LINEX.
AMBWENE YESSAYAH (AY)
Comment
Comment by JULIUS on October 7, 2012 at 4:24pm poa sana man chid naona shavu kubwa toka kaw anyamwez
Comment by emmanuel mushi on October 4, 2012 at 10:57am budah chidbenz ametsha one love broo
Comment by chama-baby on October 4, 2012 at 9:25am kul!
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ