TEEN TZ

DIAMOND AVUTA MKOKO MPYA WA MIL 60

Staa wa muziki wa kizazi kipya  Bongo, Naseeb Abdul  ‘Diamond  Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja  wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni  60 keshi.

Akizungumza na Teentz.com  muda mfupi  baada ya  kupokea  ‘dinga’ hiyo aina ya Land Cruiser Prado TX  kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa  mpango mzima  wa  kuingia kwake  hapa  Bongo, Diamond  alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta  mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini  kuna mambo kadhaa yakawa  yanachelewesha.

“Nashukuru Mungu kuwa  mpango wangu umetimia, nilipanga hivi kitambo lakini kuna baadhi ya mambo yalichelewesha hatua hiyo, najua watu watasenama mengi kuhusu  hili lakini ukweli ni kuwa  huu ni mchuma wangu” alisema Diamond.

Katika hatua nyingine  Diamond  alifunguka kuwa  awali alinunua  mdinga kama hiyo huko visiwani Zanzibar, lakini baada ya kuikagua aligundua kuwa lina matatizo na kuamua  kulirudisha  na kuagiza kitu kipyaaaaaa.

Kwa habari zaidi unaweza kucheki  ..www.thisisdiamond.com

..Stori na Dismas Ten..

Views: 4618

Tags: 60, AVUTA, DIAMOND, MIL, MKOKO, MPYA, WA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by john jeremiah on August 5, 2012 at 9:49am

mmmmmmmmmmmmmmh cio kiiini macho icho

Comment by EMMANUEL FRANK on July 8, 2012 at 11:20am

wasafi classic.........halah........inaumaaaaa......lingine lini .....ila inaummmaaaaaaaaaaaaa....cong......

Comment by Sharobaro Shababi on June 26, 2012 at 10:01am

Ebhana jembe zaiiiidiii....Haaaallllllah!!!!!!!!

Comment by husein m. pima on June 25, 2012 at 11:54pm

aiseee jombaa hiyo ni poa sanaa tu kitu cha TX

Comment by nasser i milulu on June 25, 2012 at 7:50pm

mimi nakupongeza sana tena sana bt remember ii ni bongo,wapi MR nice alikuwa kama ivyo leo kiko wapi??

Comment by nasser i milulu on June 25, 2012 at 7:45pm

hongera mdogo wangu,but jok....t hakufai

Comment by Asafu mkola on June 25, 2012 at 10:38am

mkubwa umetisha kinomer nomer kwa hiyo ndinga............

so, hapo heshimu mziki kama ndo kazi yako kiongozi !!!

byeeee !!!

Comment by Prince Quizo on June 24, 2012 at 2:22pm

big up mzazi kwa kujivutia kitu kama hicho lazima wema azidi kupagawa

Comment by rajabu tamambele on June 23, 2012 at 5:57pm

hongera yake hayo ni matunda ya kazi zake big up

Comment by KIJAZI wa KIJAYO on June 23, 2012 at 5:11pm

kumbuka ulipotoka acha mambo ya kuiga hii ni tanzania kunamengi ya kufanya!! majigambo ya nn kunamengi ya kufanya kwa uwo mkwanja ulio nunulia ndinga....... na jamii ikafaidika na mchango wako 4example hospital na n.k


TOP PHOTOS

1. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

2. IMG_0040

Added by Aysher sas on April 15, 2013

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service