TEEN TZ

MMILIKI WA NYUMBA YA WEMA HUYU HAPA

Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.

Akizungumza na Teentz.com mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake.

“Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brazil kibiashara” kilisema chanzo hicho.

Endelea kufuatilia taarifa hiii hapa Teentz.com kwani Soon tutakudondoshea picha za mmiliki huyo wa nyumba ambayo wema anadai ni mali yake.
……………………………………Stori na Dismas Ten………………………………

Views: 8112

Tags: HAPA, HUYU, MMILIKI, NYUMBA, WA, WEMA, YA

Comment

You need to be a member of TEEN TZ to add comments!

Join TEEN TZ

Comment by Hasani Kiga on September 1, 2012 at 12:24am
we never no!
Comment by Hasani Kiga on September 1, 2012 at 12:24am
we never no!
Comment by Dennis njau on August 30, 2012 at 1:02am

kwn ...khvyo si kama analazimisha ka ki2 flani...........(kujshobokesha mwsho wake k2)

Comment by Nasib Chibu West on July 17, 2012 at 10:20pm

I still think its her house..

Comment by ze directer muro on July 14, 2012 at 3:56pm

ITAFAHAMIKA TU KWANI KWENYE UKWEL;I UONGO SI HUJITENGA PEMBENI AU SIO JAMANI TUSUBIRINI TUONE

Comment by Tuzo Engelbert on July 13, 2012 at 2:48pm

usikate tamaa.

Comment by EMMANUEL FRANK on July 8, 2012 at 11:11am

inauma hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah............

Comment by Erick Kibada. on July 1, 2012 at 6:40pm

Na huyu nae kila siku

Comment by fadhili mpambya on June 28, 2012 at 11:55am

woouu! yakwe2 macho kwenye ukweli uwongo pembeni kazi kwenu Teen tz ku2pa ukweli

Comment by Sheby Debelly Jr. on June 28, 2012 at 2:46am

hahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahhahahaaaaaaaaaa.......

 

G5 CLICK - LATEST NEWS

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…


TOP PHOTOS

1. Agnes gerad

Added by Sekion Joseph on July 9, 2012

2. 4.u

Added by Rita on June 16, 2012

3. Agnes Masogange

Added by Sekion Joseph on November 11, 2012

 

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service